Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

,Shunie ,Nakadori ,IBRA wa PILI ,Antonnia mkuje nyingine hii
 
Chugga nilipapenda sana yaani tengeru sokoni t-shirt ni bukubuku ila ukiipandisha town huko sanawari bila 15000 huitoi dukani,Kiatu cha 5000 Tengeru ukifika Clock on bila 70000 hupati kiatu.....wazee wa fursa wanazitumia haswa
Wauzaji wa viatu viksli huwa wanawahi Tengeru sokoni 05:00 wanachagua viatu bomba kwa 10k na town wanauza kuanzia 50 hadi 90k
 
Hakikaa.. Huo mto kama mto themi..hivi ndo unaitwa hivyo..nimesahau long tym..ila hzo mboga ni maarufu..
Saladi tena ukieka na nazi hatari kabisa, sema inabidi uziandae mapema la sivyo utakula saladi nyama (vikonokono vidogo na vyura) bibi angu alikua mkiandaa saa kumi na mbili jioni hali anahofia asile saladi nyama😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…