Lastmost
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 802
- 919
Mrombo haswa wewe,hahaahahuletrisha kasi yeveelya umbe na mburu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrombo haswa wewe,hahaahahuletrisha kasi yeveelya umbe na mburu
Shusha vitu jombaaSehemu ya 4
Nilifika arusha na maisha yangu yalianza rasmi ambapo nilikuwa nakaa maeneo ya ngarenaro oysterbay na geto jingine lilikuwa ungalimited. Hiyo nakumbuka ilikuwa mwaka 2002 ambapo shughuli kubwa pale chuga ilikuwa ni wizi. Hao ambao nilikuwa nao mmoja ni mmeru na wawili ni waarusha. Hivo kwa kipindi hicho kwa sababu mimi nilikuwa mdogo nilikuwa napewa kazi ya unyokaa. Yaani kuchumpa dirishani na kuzama ndani kuangalia vya maana nakuiba.
Nyakati za mchana tulikuwa tuderee maeneo ya kilombero na kuwapiga watu finga kuchomoa wallet zao mfukoni. Hayo ndio yalikuwa maisha ukishtukiwa mtu akiita mwizi basi sisi tunakimbilia kule mtoni hakuna anayekuja na hupati msaada maana kipindi hicho kwa pale maeneo ya kilombero mgeni ukiibiwa wenyeji hawakusaidii.
Biashara hiyo ikaendelea nikaanza kuuza bangi na mirungi ambayo ilikuwa inalipa sana maana kama gomba wachanjaji walikuwa wengi. Na stimu zetu ilikuwa lazima utumie kuberi au ugoro unachanganya kwenye mbege. Siku ya jumapili mchana nikiwa maeneo ya soko mjinga naangalia mamangulo nimkware mmoja, nilifatwa na jamaa wawili wakaniambia wanamaongezi namimi na mimi bila hiyana nilikubali. Hivyo tuliondoka hapo na kuelekea mianzini ukiwa unataka kutokea sakina. Huko niliwakuta wale wenzangu hivo tukapewa msuko na ramani nzima ya kwenda kupiga tukio kwa bensonii tajiri mmoja wa vifaa vya simu maredio tv camera n.k
Sisi tulikuwa 4 kundi letu na wale jamaa kundi lao walikuwa watatu. Msuko wa hiyo ramani ni lazima mmoja ajifanye ni mteja ile mida ya jioni, mwingine atakuwa na pikipiki aina ya baja akiangalia uelekeo wa kwenda mawingu na mwingine atakuwa na gari ambayo itakuwa uelekeo wa kwenda kilombero na wa mwisho yeye atakuwa na pikipiki nayo baja yeye uelekeo wake na mjini kati. Kumbuka tuko 7 waliobaki watatu kazi yao ni silaha tu.
Kutokana na umbo langu kuwa dogo niliambiwa niwe mteja na kwakuwa English najua hivo nitavaa nipendeze siku ya tukio na hela ntakuwa nayo ya shopping. Wengine waliingia kwenye mazoezi ya kupigwa msasa namna ya kuchezea piki piki na gari. Mafunzo yakiendelea huku pia namimi nikiendesha shughuli zangu za kimagendo na uwizi.
Ilipita miezi miwili siku ya alhamisi tulikubaliana kuwa leo ndio ile siku ya kuushinda umasikini, hivyo tulipeana moyo na kwa mtu mwenye uwoga maana ulikuwepo tulitumia bangi na kuberi ili kuondoa uwoga. Tulikaa pamoja tukikumbushana majukumu yetu na kiongozi ambaye tulimuita jombaa, yeye alikuwa ana imani sana huku akisema hakuna kushindwa jambo. Muda ulienda na ilipotimu saa 8 tulianza kujisogeza eneo la tukio taratibu huku wale wa vyombo vya usafiri wakikagua njia na kuangalia mapai wamekaa eneo gani foleni ya magari ikoje na mizunguko ya watu. Majira ya sa 9 tulipewa vidonge aina ya benzodiazepine kwaajili ya kutuliza wenge kichwani. Nilitoka kwenye gari nimevaa jeans na tshirt nikaingia ndani kwa muhindi kwa nia ya kununua camera. Ile nikiwa nachagua chagua naonyeshwa na ufanisi wake nilisikia mlio wa bunduki hapo ndani paa! Wote laleni chini!
Je? Nini kitaendelea usikose kufuatana nami hadi mwisho.
Kweli ata sisi tulikuwa tunawahi ila unakuta raia wameisha jibebea mizigo wanapanda town..Wauzaji wa viatu viksli huwa wanawahi Tengeru sokoni 05:00 wanachagua viatu bomba kwa 10k na town wanauza kuanzia 50 hadi 90k
Kwa benson wazee wetu hata simu auziwe duka lingine 100000 na kwa benson 200000 yan kama walilogewa lile duka
Hahaha hii ni kweli 100%Kwa benson wazee wetu hata simu auziwe duka lingine 100000 na kwa benson 200000 yan kama walilogewa lile duka
Sehemu ya 6
Tulisubiri ishara bila mafanikio ikabidi turudi location yetu tukiwa tumefura hasira ile mbaya. Asubuhi palikucha na mankah ndo alikuja wa kwanza nakuanza kulalama sana juu ya warombo kuwa mama huruma na kwamba Adela amesema hatoshiriki nasisi kwenye huo mpango kwa kuwa ameahidiwa kuolewa na ima pamoja na kujengewa nyumba, hivo tuliambilia hela ya nauli ya kuondokea mererani. Wote tulitawanyika na kila mtu alishika 50 zake mchongo ulifeli.
Siku ya jumamosi nikiwa mitaa ya ngusero napuyanga huku na huko palangyo alinifata na kuniambia twende iliboru karibia na shule ya iliboru ilipo kuna ramani tuliondoka na gari aina ya pegeout504 mpaka iliboru. Kule tulimkuta mroso na mimi na palangyo na fidee ambaye ndio alikuwa anaendesha hiyo pegeout.
Mchongo tuliusuka vizuri baada ya kupata taarifa kuna wakenya wamekuja kununua maparachichi Tanzania, na wapo mizani pale back town ngarenaro. Tuliondoka na kwenda mpaka mitaa ya kona ya eso ambapo tulipaki na kwenda kuzengea zengea ili kujua kunaingilika? Na dere naye alienda kuweka full tanka pamoja na mengine kwenye dumu kama dharura. Kweli fuso ile aina ya tandam ilikuwa imeshiba na walikuwa ni wakenya ambao walikuwa wanasubiri jua lizame waanze safari ya kurudi kwao kenya kupitia namanga.
Sisi tuliamua kutangulia na gari ilikuwa ikipepea haswa mpaka tulipofika oldonyosambu tukapaki pale huku tunachanja gomba na kushtua bangi ili akili zikae sawa tulipoteza kama nusu saa kisha tukaendelea mbele mpaka longido, pale tulikuta road block tukasimamishwa kwaajili ya ukaguzi kwa kuwa tulikuwa tuna gomba na bangi tukaona tusipotezeane muda tukampooza askari kiasi cha pesa akatabasamu na kututakia kila la kheri.
Tulienda mpaka mbele kuna kamsitu pale tulisimama na kupaki gari barabarani kanakwamba limeharibika tulikaa kama masaa mawili kisha tukaliona gari la wakenya tandam likija lilikuwa kwa juu pale limeandikwa Michelin Naivasha. Gari iliwashwa na kusogezwa katikati ya barabara alafu likazimwa kama limeharibika tena huku tukijaribu kulisukuma. Dereva alianza kupunguza mwendo mdogo mdogo upande huu mwingine gari za kutoka namanga zilikuwa zinakuja tukaona hapa ndio penyewe tukalirudisha saiti yetu kuyapisha magari yanayotoka namanga kwenda arusha yapite. Palangyo alienda kwa wakenya yule dereva kuomba msaada yule dereva aligoma ndipo mroso akaona muda unazidi kupotea akazumguka upande wa abiria siti nyingine hizi akachomoa bunduki ambayo tuliikodi hapo hapo Arusha. Akapiga moja juu na palangyo naye alichomoa yakwake kumtisha dereva maana alikuwa ameshaanza kuingiza gia.
Dereva naye wa pegeout hakuwa mzembe aliirudisha reverse gari mpaka ikaigonga ile tandam kwa mbele kidogo.
Tuliwashusha wote chini na hakukuwa na kupoteza muda kwani tuliwapiga na kuwataka watoe pesa, pesa ilikuwa kwenye mkoba nyuma ya siti maeneo ya cabin. Tuliibeba na kupiga risasi moja juu tena kisha tukatimua vumbi kurudi longido, kufika longido tulishika njia moja ya vumbi ya kuelekea kiserian ili kukwepa polisi ambao wangetufata. Gari ilikuwa inatembea haswa tulikuja kutoboa lariboro na kuelekea mpaka olmotoni kisha kuelekea mateves ambapo tulipaki mitaa hiyo na kusikilizia kwanza. Tuliamua kutafta nyumba ya kulala wageni maalum kwaajili ya kuhesabu pesa hizo ambazo zilikuwa milioni 27 na chenchi zake. Mgawanyo ulikuwa 6*6*6*9. Palangyo ndio alikuwa na mchongo hivo alikuwa anakula cha juu zaidi. Hakukuwa na ubishi sana katika mgawanyo kwani mapatano yamwanzo ni kuwa mwenye ramani ndio mshika hela na ndiyo atagawa kutokana na ugumu wa kazi.
Je nini kitafata usikose kufuatana nami hadi mwisho.
Ongezea nyingine basi usitiache hivi hiviSehemu ya 6

Dah kama movie vile damn!Sehemu ya 6

Ndio umeanzaImeisha?
Weka nyingine Poker hatulali hadi kukucheSehemu ya 7
Asubuhi na mapema niliondoka na kwenda ngarenaro nikiwa na mzigo wa milioni 6 hapo kila mtu ashashika njia yake. Pale nilikuwa nina chumba changu mwenyewe kabisa na sikai kule tena kwa waarusha ila wakiwa na ramani huwa wananiita.
Nikaona hii hela nyingi sana wale jamaa wanaweza nizunguka nikanunua cement na mwiko, ile sakafu nikaivunja kidogo kutengeneza shimo ambako ndio nilipoifazi hizo hela na kiasi cha matumizi yangu na wadogo zangu nyumbani. Nikatoka hapo mpaka kwa muhindi bensonii kitu cha kwanza kununua ni ockman zile za kusikilizia muziki ila unaweka cd na head phones. Nikatoka hapo nikaenda kuzengea kilombero na kuchagua nguo zangu na viatu. Nikaona niko bomba nikaenda dandia basi la moshi-arusha mpaka town moshi ambapo nilipanda kihaisi cha Rombo.
Nilifika kule nikakuta maisha kidogo madogo wameshazoea na kilugha kama yule mdogo anakielewa vizuri washakuwa wazoefu nilikaa nao kama wiki nzima hapo katikati tulikuwa tukienda mjini nawanunulia nguo na viatu na msosi mzuri, pocket money ilikuwa haikosi. Bibi alianza madodoso sana, umepata kasi wapi hawezi kusema kazi anasema kasi. Mpelekeeni kaka yenu subu hapo akimaanisha supu! Alinichagamkia sana kwa kweli namimi nilipokuwa naondoka sikumwacha kinyonge.
Nilirudi town nikiwa kwenye basi nikawa naskia stori za wale wakenya waliovamiwa, kila mtu anasema yakwake huku watu wengi wakilalamika kukithiri kwa vitendo vya ujambazi mkoani Arusha. Nilipofika mjini tamaa ikanijia na hamu ya kutaka tena kupiga mshindo mwingine ukanijia hivo nilimtafuta palangyo maana alikuwa na ramani sana. Nilimpata huko sekei anaponda mali tuu yupo na mroso nami nikaungana kusogeza masaa.
Kesho yake kwa mara ya kwanza niliitwa maeneo ya town katika hotel maarufu ya pm, pale nikamkuta mshua mmoja amekaa pamoja na mroso na palangyo wanayajenga nami nikaungana nao kusikilizia kikao kinaendaje. Kwa muhtasari niliopewa wa kikao ni kuwa kuna gari aina ya VX landcruiser ya msukuma mmoja lazima tupite nayo na tuhakikishe inafika kisumu Kenya. Na ikifika kuna gari nyingine aina ya nissan patrol inatakiwa kuja Tanzania. Na tukifanikiasha basi kila mtu atalamba milioni 10. Wote kwa pamoja tuliguna ila tukasema ngoja tifikirie na kuagana na huyo mdosi.
Njiani tulishauriana kuwa pesa ni ndogo sana nayeye ndio atapiga mpunga mrefu sana. Palangyo akasema yupo mdosi mwingine maeneo ya duluti tutamcheki alafu tuangalie yupi anadau zuri. Palangyo alienda kucheki nae na huyo mdosi alisema kuna ramani nzuri ya hela hapa hapa town, na ramani yenyewe ipo njiro ppf kule ndio palikuwa pameanza kujengeka sana na washuwa wengi walikuwa huko. Hivo kuna hela tulitakiwa kwenda kumwibia muhindi huko njiro. Huyo muhindi alikopa hela kwa mdosi kwa riba nafuu, ilipofikaribia wakati wa marejesho muhindi alimtafuta mdosi, mdosi akadai amesafiri hivyo asubiri arudi ndio arejeshe pesa zake. Kumbe mdosi yupo anasuka namna ya kwenda kuzichukua zile hela kwa muhindi na bado abaki anamdai muhindi. Kwa hiyo mchongo ulikuwa hivyo na tulipewa siku 3 za kwenda kusoma raket na kudekeree maeneo hayo ya ushuani kwa arusha kabla ya kwenda kupiga tukio la kihistoria. Palangyo aliuliza mapatano na mgao ila akaambiwa na mdosi huku akicheka kwa dharau umeshaleta hela chalii?
Je? Nini kitaendelea usikose kufuatana nami hadi mwisho.
Dah inazidi kunogaSehemu ya 7