binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Anakuzidi wewe na wenzio wote na mawakili wa Jamhuri (ukimuondoa katuga) Hamko hata kwenye second best.Huyu Chivundu ndo ndina kwenye haya ya mahakama...labda anajua law of demand and supply, ols, game theory
Kuna adhabu za kuwachamba π€£ (kuleta fujo)
Ndio maana katuga anasisitiza mahakama sio mama yako, na wenyewe wanamjibu sio mama yako pia.
Mahakamani nyie pasikieni tu (Mashahidi wa Lissu wamefanya kazi kubwa, considering walikuwa wanasubiriwa kwa hamu) Lissu mwenyewe huwa anawatania mashahidi wake kuwa mnaliona lile jopo pale? linawasubiri kwa hamu π
Mashimo yote yatafukiwa na Lissu kwenye re-examination. MaCCM yakae kwa kutulia.Hapo sio sehemu ya kutoa ufafanuzi, ufafanuzi upo kwenye Cross Examination Uchaguzi haukuwa na haki kwa asimilia mia moja na walioshinda walishinda kwa sababu ya msukumo wa watu wa kulinda kura na sehemu nyingine ambapo hakukuwa na nguvu ya umma walikuwa wananyongwa haki zao so kushinda kwake hauondoi kuwa Uchaguzi hakuwa na huru na Haki.
Anakuzidi wewe na wenzio wote na mawakili wa Jamhuri (ukimuondoa katuga) Hamko hata kwenye second best.
Kumbe katuga ni kiboko eeAnakuzidi wewe na wenzio wote na mawakili wa Jamhuri (ukimuondoa katuga) Hamko hata kwenye second best.
Mkuu hizi updates tafadhali weka kule juu.WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI JOHN HECHE MAHAKAMANI
SWHE YA 10.
Upande wa Jamhuri wanaendelea kumfanyia cross examination Makam Mwenyekiti Bara John Heche
Katuga anaendelea kusema Waheshimiwa Majaji Shahidi huyu huyu aliomba Mahakama akumbushwe kuhusu nyaraka na alikumbushwa. Sisi cross examination yetu inahusu nyaraka ambazo sisi tunazo na jana tulimuhoji kuhusu card za magari na hakukuwa na pingamizi, kifungu cha 177 sio applicable hapa. Pia waheshimiwa Majaji utaratibu huu mliishautolea maamuzi jana kwahiyo hamuwezi kutoa uamuzi mara mbili kutakuwa na contradiction. Hata wakati wa in chief shahidi alionyeshwa ripoti kadhaa na alizizungumzia.
Waheshimiwa Majaji utaratibu huu tumekuwa tukiutumia katika practice kwahiyo tunaomba turuhusiwe tuendelee na cross examination
Lissu: Waheshimiwa Majaji hoja za wakili wa serikali hazina msingi, anasema wanatumia kifungu cha 164 cha Sheria ya Ushahidi, hakiruhusu kufanya wanachotaka kufanya, kifungu kinazungumzia maswali halali wakati wa cross examination, hakizungumzii namna ya kumkumbusha shahidi on his previous statement. Ukitaka kumkumbusha shahidi on his previous statement be it electronic or document unaenda kwenye section 177, hoja ya wakili wa Serikali is completely out.
Wakili wa Serikali amesema anatumia section 156(2) kuwa anaweza kuuliza swali lolote, hii sio hoja, hoja ni kwamba hauwezi kumkumbusha shahidi under 156(2), ukitaka kumkumbusha shahidi unaenda 163 or 177 hivyo hicho anachoataka kukifanya ni completely dissallowed.
Wakili wa Serikali amesema hiki kilifanyika jana hakukuwa na objection, na kuwa mahakama ilitoa uamuzi jana. Sasa kama anasema hakukuwa na objection sasa ruling ilitokana na nini? Jambo kama hili halikuwepo jana na hakukuwa na ruling
Wakili wa Serikali amesema ni practice na sio sheria. Waheshimiwa majaji it is a matter of law na sio practice. Relevant provisions ni Section 177 au 163 of the Evidence Act kwahiyo sio suala la practice it is a matter of law
Jaji Ndunguru: Tume pitia hoja zote, kifungu cha 177 hakisemi kuwa shahidi ataomba kukumbushwa, hivyo ni sahihi kumkumbusha ili ajibu hivyo tunaelekeza shahidi akumbushwe.
Katuga: anasimama na kuplay video ya east Africa Radio
Katuga: Hicho ulichokisia kina ushahidi wowote unaofana na ushahidi ulioutoa jana?
Heche: Kwenye eneo gani?
Katuga: Ni kweli kuna ushahidi wa kuonana na viongozi wa dini?
Heche: Sahihi
Katuga: Ni kweli nyaraka inasema kwamba mtaonana na watu mbalimbali
Heche: Inasema hivyo
Katuga: Ni kweli kuna maneno mtaonana na viongozi wa dini?
Heche: Ni kweli
Katuga: Ni kweli kuwa huwa unaenda kuzungumza East africa radio?
Heche: Mara nyingi sana
Katuga: Ni lini ulizungumza hayo uliyoyasikia kwenye video?
Heche: Sikumbuki
Katuga: Ni kweli jana ulisema ulisikiliza hotuba ya jaji chande?
Heche: Nilisikiliza
Katuga: Ni kweli hotuba hiyo ilisema kwamba vurugu za Oktoba zililenga kuzuia uchaguzi?
Heche: Sikumbuki eneo hilo
Katuga: Ni kweli hotuba ya Chande ilisema kwamba vurugu zilitokana na madai ya wanasiasa ya muda mrefu
Heche: Sikumbuki
Katuga: Unakumbuka Jaji Chande alisema kuna askari 16 waliuwawa
Heche: Sikumbuki najua tu watu waliuwawa
Katuga: Ni kweli hotuba ya Chande ilisema vurugu za Oktoba 29 zilipangwa na kuratibiwa?
Heche: Nilimsikia
Katuga: Kwenye video kuna maneno uchaguzi hautafanyika?
Heche: Yapo
Katuga: Kuna maneno mko determined?
Heche: Yapo.
Katuga: Kwa uelewa wako kati ya Kanuni ya Adhabu na Katiba ipi inatengeneza makosa ya Jinai?
Heche: Mimi sio Mwanasheria
Katuga: Ulipokuwa unasema unajua je?
Heche: Usiongee na mimi kama mtoto wako, stop harrassment.
Jaji Ndunguru: Twendeleee.
Katuga: Ulipokuwa unajibu wakati wa inchief ulijua ni kwa sheria ?
Heche: Nilisema kwa ufahamu wangu
Katuga: Ni kweli ulitaka Tume ndio iwe na mamlaka ya kupanga majimbo.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Sio mbaya unadhani sisi kama nyie ambao hamjui ku-acknowledge.Kumbe katuga ni kiboko ee
Mbona nilimu-acknowledge yule wa form six na miaka mitatu chuoni kuwa ushahidi upo sawa!Sio mbaya unadhani sisi kama nyie ambao hamjui ku-acknowledge.
Heche: Usiongee na mimi kama mtoto wako, stop harrassment. πWAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI JOHN HECHE MAHAKAMANI

Huyo ndo mkuria banaHeche: Usiongee na mimi kama mtoto wako, stop harrassment. π
Ameona wanazingua πHuyo ndo mkuria bana
Si itajaa ukurasa mmoja Bora hivi anavyofanyaMkuu hizi updates tafadhali weka kule juu.
Katuga anaweka majalo heche anaanza rafuWAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI JOHN HECHE MAHAKAMANI

Shukran πWAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI JOHN HECHE MAHAKAMANI
SEHEMU YA 12.
Upande wa Jamhuri wanaendelea kumfanyia cross examination Makam Mwenyekiti Bara John Heche
Katuga: Kichwa cha barua kimeandikwaje?
Heche: Kuwasilisha Ushahidi kwenye Tume kuhusu matukio ya Oktoba??
Katuga: Naomba nimuonyeshe barua ya pili
Jaji Ndunguru: sawa
Katuga: hicho ni nini?
Heche: Barua
Katuga: Ni ya tarehe ngapi?
Heche: Januari 2026
Katuga: Ilikuwa inaenda kwa nani?
Heche: John Wegesa Heche
Katuga: Barua hiyo imeandikwaje?
Heche: Wito wa kukutana na Tume ya Rais ya kuchunguza matukio kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025
Katuga: Imesainiwa na nani?
Heche: Honorious Njole
Katuga: Naomba nimuonyeshe shahidi barua nyingine ya mwisho
Jaji Ndunguru: sawa
Heche: Nimeiona
Katuga: Hiyo barua inatoka wapi?
Heche: Tume ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29
Katuga: Ni ya tarehe ngapi?
Heche: 2 Januari 2026
Katuga: Addressee alikuwa ni nani?
Heche: Katibu Mkuu Chadema
Katuga: Barua hiyo ilikuwa inataka nini?
Heche: Kukutana na Tume ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29.
Katuga: Hizo barua ungependa ziwe sehem ya ushahidi wako?
Heche: Hapana
Katuga: Unafahamu Tume ilitangaza kuwa mtu asiyetaka kwenda atume picha, nyaraka au video kuhusu hayo matukio?
Heche: Sijui
Katuga: Naomba nimuonyeshe nyaraka nyingine
Jaji Ndunguru: sawa
Katuga: Hiyo ni nini?
Heche: Taarifa kwa umma
Katuga: Inawaalika nini umma?
Heche: anasoma, ni kualika watu kutoa ushahidi kuhusu matukio ya Oktoba 29
Katuga: Njia gani zimetajwa?
Heche: Sms hata kwa WhatsApp, sms , email etc
Katuga: Wewe ni sehemu ya umma?
Heche: Mimi ni sehem ya umma
Katuga: Naomba nimuonyeshe nyaraka nyingine
Jani Ndunguru: sawa
Katuga: Hiyo nyaraka ni ipi?
Heche: Taarifa kwa Umma
Katuga: Imeandikwaje
Heche: Tume ya Uchunguzi
Mhe. Lissu: Hivi sasa ni saa saba kamili naba twende break
Jaji Nsunguru: amalizie hapo
Katuga: Taarifa hiyo ililenga kubainisha umma nini?
Heche: Anasoma kuwa kumekuwa na watu wanaowashawishi watu kutokushiriki kutoa taarifa kwenyw tume kuhusu matukio ya Oktoba 29β¦β¦β¦ β
Katuga: Ni kweli ulisema hamkuikubali Tume ya Jaji Chande
Heche: Ni sahihi
Katuga: Je Tume mliipa ushirikiano?
Heche: Unampaje mtu ushirikiano bila kualikwa?
Mhe. Lissu: Waheshimiwa Majaji wakiwa wanafanya cross examination upande wa mashtaka wao wanaruhusiwa kuendelea tu?
Jaji Ndnguru: Amalizie swali la mwisho, au sawa tumekuelewa mshtakiwa
Jaji Ndunguru: Shauri linaahirishwa hadi 14:40 tunaongeza na dakika 5.
Inapigwa High Coooouuuuurrrrrttttt
Majaji wanasimama na kutoka.
TUKUTANE SAA 8:45
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
TUKUTANE SAA 8