Kutoka Mahakamani - 15 Septemba, 2026: John Heche aendelea kutoa ushahidi

Kutoka Mahakamani - 15 Septemba, 2026: John Heche aendelea kutoa ushahidi

Unaweza nisaidia nielewe kidogo binti kiziwi

Jamuhuri walishamaliza kutoa ushahidi,

izi ma videos katuga analeta tangu jana na Bank statements si ni kama vile ushahidi mpya ?🙄

wanaruhusiwa kuleta ushahidi mpya kesi ipo kwenye progress?

Heche: Usiongee na mimi kama mtoto wako, stop harrassment. 😃

cocastic Pameanza kuchangamka kwa Heche 😃
ndio nini sasa, mwambie asipanik wakati anaongea east africa radio alijiona mwamba sana?
 
Ushahidi wa Mnyika ndio ushahidi wenye nguvu na mantiki na aliweza kuwa control hao mawakili kwa kiasi kikubwa..!!

Alimvua nguo Katuga na bachelor yake ya MU 😹
Kweli kabisa, hawa wengine jau kabisa. Huyo sasa anaanza kupanick kitu ambacho kinamuondolea credibility. Mnyika anastahili kuwa Mwenyekiti
 
Back
Top Bottom