Hussein Mbega
JF-Expert Member
- Jun 7, 2026
- 562
- 1,253
Tunasuburi.
hamkutegemea hali ingekuwa hivi, mlishajiaminisha kuwa mnajua sheria kuliko wengine, kama mnajiamini kwann mnakataa video yenu ya east africa?Sawa hawara ake Katuga, mahakama si yenu sisi nani tupinge? 😹
Mkuu,Huyu Fala katuga anakaa wapi tukapige nyumba yake kiberiti?
we huna?MATAKO YAKO.
Yupo kazini anatimiza wajibu wake.Tusifike huko Katuga anafukuzia ugali
Sahihi ila asiwe mnoko sana 😄Yupo kazini anatimiza wajibu wake.
Heche hana utulivu na temper iko juu..!!Kweli kabisa, hawa wengine jau kabisa. Huyo sasa anaanza kupanick kitu ambacho kinamuondolea credibility. Mnyika anastahili kuwa Mwenyekiti
Sahihi ila asiwe mnoko sana
Huu ndio ujinga wenu mkipigwa mtaanza kulia, kesi ipo Mahakamani mpendwa wenu kama hana hatia ataachiwa kurudi nyumbani.Huyu Fala katuga anakaa wapi tukapige nyumba yake kiberiti?
Ila Katuga...Mtu pekee aliyetaka kumuokoa tundu ni yule form six na miaka mitatu chuoni...wengne ni porojo na uongo uongo..
Anakataa kuwa tecdema haikuitwa na tume halafu anaonyeshwa na barua anabaki tu kutumbua macho...
Anakoroma pale anadhani anaongoza bavichaa
Heche hata interview zake za kwenye tv huwa anapenda aongee yeye tu huwa hapendi challenge, sasa hapo akae akijua ni Mahakamani sio sehemu ya kubwata atakavyo.Heche hana utulivu na temper iko juu..!!
Maswali kama hayo yanataka utulivu na akili kubwa kuyajibu..!!
Kuna sehemu hakutakiwa kusema sijui angejibu kwa style ya kumuachia swali wakili ili ajae mwenyewe kwenye mfumo..!!
Matako yenu wote CCM Hii kesi tunashindaUshahidi wa Mnyika ndio ushahidi wenye nguvu na mantiki na aliweza kuwa control hao mawakili kwa kiasi kikubwa..!!
Alimvua nguo Katuga na bachelor yake ya MU 😹
Alisema anamaswali machache lkn leo siku ya pili.Ila Katuga...
CHADEMA hawampendi tu lkn ...
Ila tusimlaumu Heche, ht ungekuwa kwa maswali ya Katuga ungechemka tu...Heche hana utulivu na temper iko juu..!!
Maswali kama hayo yanataka utulivu na akili kubwa kuyajibu..!!
Kuna sehemu hakutakiwa kusema sijui angejibu kwa style ya kumuachia swali wakili ili ajae mwenyewe kwenye mfumo..!!
Mtu yeyote anayejinasibisha na maccm ni adui wa taifa, and so ni adui wa chadema!!.Ila Katuga...
CHADEMA hawampendi tu lkn ...
Na kweli ni machache tu ila Heche ndo anazalisha maswali zaidi. Mfano anakana hakuitwa Tume, hamfahamu Salman, ana magari mawili tu nk.Alisema anamaswali machache lkn leo siku ya pili.
Rafiki yangu katuga amesababisha wakurya wote tuonekane hamnazo kwa sababu ya mbuzi mmoja huyu aitwaye heche!Ila Katuga...
CHADEMA hawampendi tu lkn ...
Fikra mbovuMtu yeyote anayejinasibisha na maccm ni adui wa taifa, and so ni adui wa chadema!!.
Mtu pekee aliyetaka kumuokoa tundu ni yule form six na miaka mitatu chuoni...wengne ni porojo na uongo uongo..
Anakataa kuwa tecdema haikuitwa na tume halafu anaonyeshwa na barua anabaki tu kutumbua macho...
Anakoroma pale anadhani anaongoza bavichaa
Ilitakiwa ampe majibu in short tu au jibu la "sijui! Kuna maswali mengine wala hakutakiwa kumjibu kwa usahii!Heche alimchekea Katuga toka siku ya kwanza, huyo mpuuzi ilitakiwa aende naye sawa toka mwanzo..!!
Kuna maswali ilitakiwa ampe jibu kwa style ya kumkatisha kuendelea na lingine..!!