Kutoka Mahakamani - 15 Septemba, 2026: John Heche aendelea kutoa ushahidi

Katuga ni Messi wa law practise
 
Kosa alilofanya Heche katika siku mbili za meanzo za kufanyiwa cross examination, alijaribu kuwa Muungwana, lao amebadilika, aneamua kwenda na Katuga vile anavyokuja matokeo yake ni Katuga kupaliwa, alichosnza nacho Heche leo ndiyo kile alikifanya Brenda Rupia
 
Muuh Heche mbona kama unataka kutuangusha kaka!
Kwamba ulikubali kutangazwa katika uchaguzi ambao haukuwa wa haki?

..uchaguzi ni mchakato.

..kama ktk kila hatua kulikuwa na ukiukaji wa haki halafu mwisho wa uchaguzi ukabahatika kutangazwa huo uchaguzi utakuwaje wa haki?

..au kwa mfano madiwani wako wameenguliwa, mgombea wako wa uraisi amepigwa mabomu, na kuzuiwa kufanya kampeni, huo uchaguzi utakuwa wa haki?
 
Heche kashaona huyu Katuga analeta mazoea ya kiwaki ameamua sasa kwenda nae sambamba, na Katuga kashaona umma was Tz bado uko na heche, regardless na blah blah zake za jana, kaamua nae apanick tuu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakili uchwaraa bichwa cabbage.
 
Duuuh mbona hatarii kabisaa, yaan mie najiona hapo ningeishia kuwachamba toka mawakili hadi majaji wenyewe, siwezi vumilia upuuzi.
Udugu ushawahi kupanda kizimbani?

Hata kuongea kwa kuchezesha mikono haitakiwi..!! Ukifanya hivyo unaonekana unaleta fujo na kuzuia mahakama kuendelea wanakuitia polisi unaenda segerea siku 14 kisha unarudishwa kuendelea na kesi..!! 😹
 
TO BE HONEST NIMETOKEA KUMCHUKIA SANA JAMAA.

Angekuwa ni jirani yangu hata salamu yangu asingeipata.
 
Udugu ushawahi kupanda kizimbani?

Hata kuongea kwa kuchezesha mikono haitakiwi..!! Ukifanya hivyo unaonekana unaleta fujo na kuzuia mahakama kuendelea wanakuitia polisi unaenda segerea siku 14 kisha unarudishwa kuendelea na kesi..!! 😹
Hii nayo ndy naijua Leo sijuwahi kuijua kabla
 
Udugu ushawahi kupanda kizimbani?

Hata kuongea kwa kuchezesha mikono haitakiwi..!! Ukifanya hivyo unaonekana unaleta fujo na kuzuia mahakama kuendelea wanakuitia polisi unaenda segerea siku 14 kisha unarudishwa kuendelea na kesi..!! 😹
Sasa mbona kama nkisimama hapo naweza fungwa siku 365 Kwa Hilo tu bila hata ya kuhukumiwa 😁😁😁😁. Siwezi ongea bila kutikisha mikono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…