Naona Diamond sasa ana mpango wa kututoa kijanja kwenye vi modo...Mambo si mambo...!!! New couple in town? Wacha tuendelee kunywa mtori , nyama tutazikuta chini
View attachment 2119674
View attachment 2119675View attachment 2119676
Usidanganyike.. usithubutu kuoa msanii kamwe. Utajitafutia msongo, presha, kisukari, kansa, nk. In fact, utageuka benki ya magonjwa yoote mazito buure!...ila kuoa pisi kama inakuheshimu na kukupenda raha sana asikwambie mtu
Ila Kale Katoto Kana Sura Tamu+Tabasamu Lake.Taaluma za baharini, kupima upepo na kuamrisha matukio. Unaweza kuwa msukule bila kujijua. Ogopa sana wanawake mashangingi wa location!.
Hivi wewe unaona mondi ni wa kuenda na hako kamtu, japo kalisoma upepo kakajilengesha na kupewa support? Uzito wa backup yake unakapa confidence na kama Mond hatajifambua, mwiso wake ni majuto makubwa sana kwa kwake na familia yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wengine wana hangover za kutoshaaKabisa na walioenda sahv wameamka hoi
Wanashanga mbona hali ile ile
Ova
Hata mm nakapenda Sana ka zuchu kanaonekana kanajua sana mambo kitandaniIla Kala Katoto Kana Sura Tamu+Tabasamu Lake.
.
Kalipita mbele Yangu maana nilikuwa seat ya mbele ni pisi Kali mnooo Wa Kwetu.
.
Ugonjwa Wangu ni Aina ya wanawake Kama Zuuh, mm wanawake wanene Kwangu Hapana Mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa Kwetu hakuna Mwanamke Modo asiejua anachokifanya MzeeHata mm nakapenda Sana ka zuchu kanaonekana kanajua sana mambo kitandani
Utamu wa chakula mate yako. Wakati weewe unaona hivo, mwingine anaweza kuona uso unaumbile kama jiwe la kulainisha vyungu, macho kama mbegu, miguu kama nguzo za kichanja, na shape hiyo kwa sasa iko kama pears, akizaa atakuwa kama bear. Yote tisa, tabia za unafiki na u snitch, maneno ya kichini chini mengi, ndiyo tabu kubwa itakayosumbua hawa watu. Inawezekana unasema sahihi lakini kwa mond, siyo kabisa.Ila Kale Katoto Kana Sura Tamu+Tabasamu Lake.
.
Kalipita mbele Yangu maana nilikuwa seat ya mbele ni pisi Kali mnooo Wa Kwetu.
.
Ugonjwa Wangu ni Aina ya wanawake Kama Zuuh, mm wanawake wanene Kwangu Hapana Mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza Comment yenye machukizo. TusipangianeUtamu wa chakula mate yako. Wakati weewe unaona hivo, mwingine anaweza kuona uso unaumbile kama jiwe la kulainisha vyungu, macho kama mbegu, miguu kama meza ya kichanja, na shape hiyo kwa sasa iko kama pears, akizaa atakuwa kama bear. Yote tisa, tabia za unafiki na u snitch, maneno ya kichini chini mengi, ndiyo tabu kubwa itakayosumbua hawa watu. Inawezekana unasema sahihi lakini kwa mond, siyo kabisa.
Sasa mkuu, machukizo vipi wakati tunatoa maoni kwa kitu kilichoko kwenye public domain? Hapa siyo ccm kwamba lazima mpige makofi hata kama mnalia. Una haki ya kusifia na acha wengine watumie haki yao ya kusema wanachokiona.
Mchawi kaziniHuyu dogo anafanya haya yote kwa sababu ya harmonize na ali kiba na zaid wasanii wengine kama marioo wanatoa ngoma kali na zaidi wabongo saiv wanapagawa na nyimbo na wasanii wa kinaijeria na kila siku kuna nyimbo mpya
Sasa dogo lazima aje na kitu cha kupooza huo moto ili akae kwenye headlines.
Mtuache wa znz. Ni watu tunaojali hayo mengine uliyoyaweka humu ni uzushi tu. Kwa maelezo ya watu zuchu anajua sana kupikaPicha inazungumza mengi sana.
Baba is not in love kabisa yuko ki biashara zaidi. Ila mama amekuwa strategic akijisogeza sogeza kwa hila na ushawishi akitafuta love status. Kanaonekana king'ang'anizi lakini pia kinaonekana kinatumia hila na unafiki mwingi wa kichinichini ili kuolewa na mjukuu wangu Mondi.
BTW, ni kwa nini mlio karibu na huyo mtoto wakike msimshauri avae nguo za kujifunika kama mila yakwao ili angalau kuficha maumbile ya miguu yake? Nani alimwambia akikaa uchi anapendeeza?
Mondi umeona madhara ya kujifanya dume la mbegu? Sasa imekula kwako. Unaingizwa kwenye ndoana na wazenji, waliokubuhu kwa mambo yale, kwa lazima bila kujali hata kama mwali angelikuwa na miguu kama mihogo, ama sura kama mbegu na macho kama njegere pori.
Na hapo ndipo unafikia mwisho wa mziki na umaarufu wake. Wengine jifunzeni. Msijichanganye na wanawake wa uzenjini, ni balaa wale.
Sahv wana maumivu tuNa jana aliwapata kweli kweli si mchezo
ππ.
Ugonjwa Wangu ni Aina ya wanawake Kama Zuuh, mm wanawake wanene Kwangu Hapana Mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
inaonekana unapenda sana p* mkuuHata mm nakapenda Sana ka zuchu kanaonekana kanajua sana mambo kitandani
Kujua kupika hiyo ni agenda yako. Hatakivyo kupika, hakumfanyi kuwa na sura, wala umbile zuri. Kama unanijibu,jibu habari ya sura yake, shingo tumbo miguu macho na u snitch wake.Mtuache wa znz. Ni watu tunaojali hayo mengine uliyoyaweka humu ni uzushi tu. Kwa maelezo ya watu zuchu anajua sana kupika
Mke mzuri ni pambo la nyumba,ntaoa demu mbovu kama sina helaMaisha ya ndoa ni zaidi ya mshape na sura nzuri ujue ππ
Pisi kali sio lazima awe msanii,huko tabora na lushoto kuna wanawake wazuri sana na hawajulikani ,watu wa diniUsidanganyike.. usithubutu kuoa msanii kamwe. Utajitafutia msongo, presha, kisukari, kansa, nk. In fact, utageuka benki ya magonjwa yoote mazito buure!
Ukiopoa msanii, piga shoo then piga chini!
Ukitafuta manzi kwa kuzingatia pisi kali, basi utaumia mapemaHata kama mimi kale katoto sijaona uzuri wake,mjini hapa kuna pisi kali sana na zimetulia