PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aibu Kubwa Sana Kuvunja Watu Miguu
Mahakama Zipo Mmeshindwaje Kuwapeleka
Mnajichukulia Sheria Mkononi Kweli
Hatuna mahakama kila kitu bongo ni mavi tu. Mfano mahakama haijazuia watu kwenda kisikiliza kesi alafu polisi wanazuia na mahakama hiyo hiyo ipo kimyaa utasema Kuna mahakama au uozo tu.
 
Hatuna mahakama kila kitu bongo ni mavi tu. Mfano mahakama haijazuia watu kwenda kisikiliza kesi alafu polisi wanazuia na mahakama hiyo hiyo ipo kimyaa utasema Kuna mahakama au uozo tu.
UOZO
 
Hamna jeuri ya kupeleka mtu nje ya nchi!.
 
Kesi ikipangwa tena hakuna mtu atapeleka pumbu zake kisutu
Wewe ni mpumbavu, yuko wapi babu na bibi wa babu zako?

Dunia imemeza mabilioni ya watu na bodo itaendelea itawameza mpaka hao viongozi wako wa ccm na unayemwamini sana
 
Polisi hawa waliowafanyia vitendo hivi vya kinyama wafuasi wa Chadema ni Watanzania! Huwezi kuamini kilichofanyika ni majonzi matupu!

Aibu! Aibu! Aibu!

Watanzania wenzetu wametupwa porini na polisi na sasa wanaomba msaada!
Aibu!
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…