PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ali Ubeda alivunjwa y0te kwa ajili ya CUF.... leo ni mlemavu miaka mingi Tandika....
 
Wafungulie kesi huko mahamaka ya kimataifa
 
Eti B0ni mayai anasema sasa wanaitandika mig0ng0 tu.....ha ha ha ha
 
na wote hao ni platform ya chadema kugain public sympathy lakini ni mzigo kwa familia za wahusika, ambao maskini ya Mungu huenda waliaga makwao kwamba wanaenda makazini kutafuta chochote kitu, kumbe wanaelekea kuleta fujo zilizoandaliwa na chadema kisutu,

polisi iliwaonya wakakaidi, haya sasa,
asie skia la mkuu huvunjika guu,
akili za kuambiwa changanya na zako 🐒
 
It is a sign of fall....period
 
Mbayuwayu ha0....
 
saa100 ni dikiteta muuaji mwaga damu za watanzania
 
Tandika kabisa watie akili.
 
Angalau watapumzika kutuletea vurugu
 
Mungu atafanya kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…