PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Safi sana, hakuna aliyevunjwa mguu? We vp hujaenda au ulifanikiwa kutoroka? Bàdo zamu yako bloodfuckin
 
saa100 ni dikiteta muuaji mwaga damu za watanzania
maskini dah,
jamaa ni walemavu wakujitakia na wanaweza kuongeza idadi ya waTegemezi nchini.

Familia husika zinakwenda kubeba mzigo mzito wa fedheha wasioyoistahili, huku chadema kwa unafiki mkubwa wakihadaa familia za majeruhi kwamba hao ni mashujaa, dah,

inasikitisha sana inafedhehesha sana 🐒
 
Aibu Kubwa Sana Kuvunja Watu Miguu
Mahakama Zipo Mmeshindwaje Kuwapeleka
Mnajichukulia Sheria Mkononi Kweli
Na bado, mtoto akililia wembe mpe, Pemba waĺiluawa wangapi mwaka au ulikuwa mtoto? Mwulize Hamad Rashid mwenyekiti wa ADC ambaye anajutia kushiriki ktk ule upuuzi wakati akiwa CUF. Na kuuawa mtauawa, nyumbu wana faida gani
 
Kuna tengenezwa hofu ya nini? mbona nchi inaonekana iko salama au tuu.Yanayofanywa ni matumizi mabaya ya nguvu ya dola
 
Tandika kabisa.Watie akili
 
Safi sana.Tandika kabisa watie akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…