inafedhehesha sana na kwakweli inasikitisha sana gentleman,Mbayuwayu ha0....
saa100 ni dikiteta muuaji mwaga damu za watanzania mama katili asiye nahurumamaskini dah,
jamaa ni walemavu wakujitakia na wanaweza kuongeza idadi ya waTegemezi nchini.
Familia husika zinakwenda kubeba mzigo mzito wa fedheha wasioyoistahili, huku chadema kwa unafiki mkubwa wakihadaa familia za majeruhi kwamba hao ni mashujaa, dah,
inasikitisha sana inafedhehesha sana 🐒
Sawa mkuu endelea kula bata kwa pesa za ccm. Mambo Bambam kwako.Tafuta hela mdogo wangu tualikane vikao vya CIROC.... hao akina B0ni ni wajisiriamali wa *miguu ya wenzao.....
Safi sana.Tandika watie akiliHuu mtindo wa sasa ni.unakamatwa halafu hupelekwi kituoni ni kuvunja miguu/mikono juu kwa juu na kutelekezwa barabarani.
Nikikumbuka enzi mnampamba ile March-April 2021.
Mazebe haswaaa....maskini dah,
jamaa ni walemavu wakujitakia na wanaweza kuongeza idadi ya waTegemezi nchini.
Familia husika zinakwenda kubeba mzigo mzito wa fedheha wasioyoistahili, huku chadema kwa unafiki mkubwa wakihadaa familia za majeruhi kwamba hao ni mashujaa, dah,
inasikitisha sana inafedhehesha sana 🐒
Safi sana awanaakili wange tulia makwaoHii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini
View attachment 3314193
Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Tandika kabisa.Watie akili.Mnataka kuleta vurugusaa100 ni dikiteta muuaji mwaga damu za watanzania mama katili asiye nahuruma
Kuna Maisha Baada ya Siasa.Safi sana.Tandika watie akili
kubebwa ufala kifikra na kujitumbukiza mwenyewe kwenye ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kizembe kabisa ni kitu kibaya sana, dah 🐒saa100 ni dikiteta muuaji mwaga damu za watanzania mama katili asiye nahuruma
Ndiyo walivyotumwa na mwenyekiti wa CCM.Aibu Kubwa Sana Kuvunja Watu Miguu
Mahakama Zipo Mmeshindwaje Kuwapeleka
Mnajichukulia Sheria Mkononi Kweli
Kama wangetulia kwenye kazi zao.YasingewafikaSafi sana awanaakili wange tulia makwao
Kweli kabisakubebwa ufala kifikra na kujitumbukiza mwenyewe kwenye ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kizembe kabisa ni kitu kibaya sana, dah 🐒
I learnt thr0ugh hard way.... kuwa haina haja ya TUG 0F WAR maishani...haswa na DOLA....Sawa mkuu endelea kula bata kwa pesa za ccm. Mambo Bambam kwako.
Hawana cha kuwashtaki nacho. Wanajishikia Sheria mkononi.Aibu Kubwa Sana Kuvunja Watu Miguu
Mahakama Zipo Mmeshindwaje Kuwapeleka
Mnajichukulia Sheria Mkononi Kweli
Polisi wanazidi kukoleza madai ya Chadema jinsi CCM inavyotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.Kama kufuatilia kesi tu watu wanavunjwa na kuuliwa huo uchaguzi itakuwaje!?
Mambo yanazidi kuwa waziPolisi wanazidi kukoleza madai ya Chadema jinsi CCM inavyotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
Utu ni UTII....Kuna Maisha Baada ya Siasa.
Siasa zisikutoe utu na roho.
Watakwenda kwani CCM imeanza leo kutumia Polisi kuua wapinzani?Kesi ikipangwa tena hakuna mtu atapeleka pumbu zake kisutu
Acha uogamakwao
KLMYK!!!Wapi CDM wameleta vurugu qma wewe!Yaani kwenda mahakamani kusikiliza kesi ni kileta vurugu???Nyie machoko wa ccm mnaona hii nchi mali yenu qma nyie!!!Wameshashulikiwa.Wanataka kuleta vurugu.Piga kabisa