PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Usijishighulishe na siasa kama sio mwanasiasa, wenzako wanalipwa ,na kufaidika moja Kwa moja na siasa , hivyo basi wenzenu wapo kazini wewe unakuwa mwendawazimu kumsaidia mwenzako kufanya KAZI yake unaacha ya kwako.Wanasiasa waacheni wafanye siasa mkijiingiza mkavunjwa miguu utawekewa wa bandia.Narudia ukiingilia KAZI isiyo yakwako yakikukuta umoja wa mataifa na BBC hawana la kukusaidia .Nawasilisha
 
Aibu Kubwa Sana Kuvunja Watu Miguu
Mahakama Zipo Mmeshindwaje Kuwapeleka
Mnajichukulia Sheria Mkononi Kweli
Kwahiyo ulitaka waharibu amani? Mahakama inachukua watu wangapi? Umeona mahakama gani duniani ambayo inaendeshwa namna hiyo?
 
Sawa sawa mkuu....enjoy
No...I don't enjoy anything....na0ngelea UHALISIA wa maisha...si u0ng0 wa ha0 wanasiasa k0k0 na vibaraka....wat0t0 wa0 kamwe hawataki wavunjwe miguu...

Unakuwa mlemavu ili watoto wa Lissu WAISHI KIFAHARI?!!

UZWAZWA HU0....
 
Hizi stunts tungezitumia goma drc zingetusaidia sana kibiashara kwenye bandari yetu
 
Umemaliza.....
 

 
The hague inawahusu wote waliohusika kwa uhalifu dhidi ya raia
Yaan hata mbumbumbu asiye na MAARIFA hawezi kufanya yaliyo fanywa na Hawa police..

Watakua wamechukua maharamia na kuyapa gwanda za Police..

Ndio maana police huchukua very low IQ PERSONNEL mtu mwerevu hawezi fuata oda ZITAKAZO mpa LAANA YA MILELE.
 
This is no longer politics, it's a test of our humanity.How long will we watch this bullshits??
 
Yaan hata mbumbumbu asiye na MAARIFA hawezi kufanya yaliyo fanywa na Hawa police..

Watakua wamechukua maharamia na kuyapa gwanda za Police..

Ndio maana police huchukua very low IQ PERSONNEL mtu mwerevu hawezi fuata oda ZITAKAZO mpa LAANA YA MILELE.
Majeshi y0te ni 0DA tu... uwe wa f0rm 4 ama Phd......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…