Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

Mwanaume anajitunzaje hadi unalinganisha kujitunza kwa mwanaume kuwe sawa na kujitunza kwa mwanamke? [emoji848]
 
Tumekataza kuoa watu kwasababu tumewaonea huruma.
Sijatamka uoe kwa huruma, lakini kuongelea wanawake kila siku kwa madhaifu yao hatuwatendei haki ni wadogo na dada zetu.
Siamini ukimkuta mtu anamsemea mbovu dada yako mliyezaliwa tumbo moja kama utafurahia
 
Sijasema tunakomoana ila tunaishi kutokana na machaguo tuliyofanya nyuma boss.
 
Ni wapi nimesema namzuia. Ni yeye ndie anajizuia. Kumzuia inabidi labda nimteke.
 
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375] N A K A Z I A
 
Nafata kumnyandua nipunguze upwiru.
 
Ukifanya uchaguzi utagundua mwanamke ndie anachagua ni mwanaume gani azae nae. Hakunaga mwanaume anaeamua nani ambebee ujauzito.

Mwanamke anaweza kataa beba ujauzito wa mwanaume tajiri au mwenye uwezo mzuri wa kutunza familia kwa kumeza vidonge vya kumzuia kushika ujauzito hata miaka 5 ila akamuachia bodaboda ampe ujauzito na wakazaa bila shida kisha akaja bambikia ujauzito yule aliyekataa kushika ujauzito wake.

Unatakiwa uelewe wanawake hawapendi accountability ya matendo yao popote pale duniani na ndio maana mifumo ya kuwadhibiti na kuwazuia kujiamulia wanachotaka ilikuwapo siku za kihistoria.

Leo jamii imewapa uhuru wa maamuzi ona madhara yake kila kitu kinafeli.

Sasa ninyi wanaume mnaokuja watetea as if ni watoto wadogo ndio mnawafelisha mabinti wanaojitunza kwa kuona haina haja ya kujitunza kama ambao wamepuyanga na maisha jamii inawatetea.

Wacha sisi wanaume tusiotaka ujinga tushuke nao hadi kwenye misingi. Acheni kutetea upuuzi.
 
Mbona hao wakula pesa zako na wewe kula mzigo wapo tele mtaani wanauza na wanajua wanachokifanya.

Sasa wewe umekwenda kuvuta pisi, kumbe pisi imejipanga kuolewa tu, inahoji ndoa vipi, ghafla unaanza kushangaa na kulalamika.
Hao hao unaosema wanaokula pesa za wanaume huyu wanaenda kwa mwanaume mwingine na kulalamika mbona hataki kumuoa.

Sasa sijui unaongelea wanawake kutoka sayari gani.

Leo ukikutana na binti hayupo ndoani nakupa guarantee hana mwanaume m'moja.

Kama yupo huyo binti njoo uchukue laki hapa sasa hivi.
 
Ni wapi nimesema namzuia. Ni yeye ndie anajizuia. Kumzuia inabidi labda nimteke.
Ok mkuu, Nalimaanisha, kama mwanamke kachezea ujana wake aachwe apambane na matokeo ya maamuzi yake ila isihalalishwe kumdanganya na kumuacha sababu alikosea huko nyuma.
 
"Kuna vitu unachanganya hapa.
Suala la kujitunza linawahusu watu wote, mwanamke na mwanaume. Hivyo sio issue ya upande mmoja tu wa mwanamke."

Nakuonea huruma kam jinsia yako ni ya kike.

Hii ni universal duniani,mwanamke mwenye high body counts anachance ndogo ya kupata ndoa.Ulaya kwenye mademu walio tumika na wanawake wenye elimu wana chance ndogo sana kuolewa na ndio maana US ndoa zimepungua kwa asilimia zaidi ya 50%,sababu mabinti wengi wanatumika sana,hawana nidhamu, 50/50.Sasa hivi kuna lundo la wanaume wa kizungu (Wanaitwa Passport Bros) wanakuja kuoa mabinti wa Kiafrica au Kiasia na wengi wa hao wazungu wakiulizwa wanakwambia wanataka mwanamke mwenye tabia nzuri na mwenye utii kwa mume.

Mwanaume hata awe malaya vipi,ila anapotaka kutulia na mke mmoja atataka binti bikra au mwenye low body counts na mwenye utii na tabia njema.

Mwanamke ndiye anayetakiwa kujitunza sababu mwenye maamuzi ya kuoa ni mwanaume, sasa husiletee sheria za 50/50 haki sawa, kwani mwanamke hachumbii.Duniani kote mwanaume ndiye anaye chumbia.

Hata ndoa za zamani za wazee wetu, kijana wa kiume anapo balehe hutafutiwa binti mwana mwali (bikra) au mwenye tabia nzuri na tena wazee wazamani walienda mbali zaidi,mpaka kuangali tabia za ukoo wao.

Vetting ni muhimu kwa binti utakaye muoa,either kwa kijana mwenyewe kujizihirisha kwa mwenendo wake wa kitabia au umkute na usichana wake.

Ndoa ni process na si kukurupuka sababu binti kasema na ndoa ni moja ya maamuzi magumu sana kwa mwanaume hasa kwa dunia ya sasa na ndio maana Vetting ni muhimu sana.
 
Mkuu
Hakuna hoja hapo. Umeandika utetezi wa kinadharia.

Ninapoongea ama kuandika jambo siokotezi hearsay bali ninakuwa nimeshahakiki facts ninazoziandika.

Jitunze acha kumwaga mwaga mimbegu hovyo, kuwa mtu wa kiasi hakika utabaki na nguvu zako.

Mengine ni hekaya za shetani kutetea ngono hovyo
 
Why unamlaumu mwanaume, wakati bunadamu wote Mungu katupa AKILI na UTASHI.

Issue ni binti kujitambua na kutumia akili na utashi wake,vinginevyo akiendekeza tamaa na kama akiwa ana tabia mbovu ataendelea kutumika na kuachwa.

Kuna binti kibao tu makuzi yake tu ukiyao unajua huyu atakuja kuwa mke mwema na chance ya kuolewa unaiona zaidi ya 99%.Ila kuna mwengine ukikaa nae hata mwezi tuu unajua hamna kitu.

Mabinti wa siku hizi kinacho waponza ni tamaa,hawajui kutumia akili na utashi wao, wanaendekeza maswala ya trending,ambazo haziwasaidii chochote.
 
Mbona mambo ya bikra buyaongelei umeyaruka?
 
Ukifanya uchaguzi utagundua mwanamke ndie anachagua ni mwanaume gani azae nae. Hakunaga mwanaume anaeamua nani ambebee ujauzito.
Mwanamke ambaye sipo tayari abebe mimba yangu, mbegu zangu hazitomgusa, na zikimgusa atameza P2 hata kwa panga.
Inawezekana ila ukifanya ngono kwa miaka 5 na mwanamke ambaye unataka abebe mimba na habebi sababu anameza dawa utajua ndani ya muda mfupi sana. Miezi mitatu tu.
Unatakiwa uelewe wanawake hawapendi accountability ya matendo yao popote pale duniani na ndio maana mifumo ya kuwadhibiti na kuwazuia kujiamulia wanachotaka ilikuwapo siku za kihistoria.
Mkuu, Mwanamke anamtegemea mwanaume katika mambo yake na tabia zao hutegemeana na wanaume. Ipo hivyo nyakati zote. Tabia za mwanamke ni matokeo ya tabia ya wanaume wanaomzunguka. Wanawake wa China ni tofauti na wa Afrika ni tofauti na wa India ni tofauti na wa ulaya n.k Sasa tazama wanaume zao utaelewa kwanini wanawake wapo hivyo.
Leo jamii imewapa uhuru wa maamuzi ona madhara yake kila kitu kinafeli.
Jamii ya wanaume ndo iliyoacha hilo gap na wao kama kawaida yao wanaenda kulingana na wanaume walivyo.
Sasa ninyi wanaume mnaokuja watetea as if ni watoto wadogo ndio mnawafelisha mabinti wanaojitunza kwa kuona haina haja ya kujitunza kama ambao wamepuyanga na maisha jamii inawatetea.
Hakuna utetezi wowote. Ninachokuambia ni kuwa hakuna jamii ya wanawake malaya wanaofanya umalaya bila wanaume. Sijui labda hawa wa jinsia moja.
Wacha sisi wanaume tusiotaka ujinga tushuke nao hadi kwenye misingi. Acheni kutetea upuuzi.
Unatakiwa uelewe kuwa, ukiona jamii inayokuzunguka ina wanawake wapuuzi watazame wanaume wake, utagundua ni wapuuzi zaidi.
 
Why unamlaumu mwanaume, wakati bunadamu wote Mungu katupa AKILI na UTASHI.
Kwanini unasema nimelaumu mwanaume. Iwapo kijana unamwaga shahawa zako hovyo bila kujali nani unataka kuzaa naye, na mwanamke anamwagiwa shawaha hovyo wote ni malaya tu.
Issue ni binti kujitambua na kutumia akili na utashi wake,vinginevyo akiendekeza tamaa na kama akiwa ana tabia mbovu ataendelea kutumika na kuachwa.
Hakuna kutumika na kuachwa. Kuna malaya anayemwaga shahawa hovyo na malaya anayemwagiwa shahawa. Tunajificha kwenye kichaka cha mwanamke ila malaya ni malaya tu awe wa kike au wa kiume. Kijana kwanini usijue wapi pa kumwaga na wapi pa kutumia kinga?
Kuna binti kibao tu makuzi yake tu ukiyao unajua huyu atakuja kuwa mke mwema na chance ya kuolewa unaiona zaidi ya 99%.Ila kuna mwengine ukikaa nae hata mwezi tuu unajua hamna kitu.
Unaona hamna kitu ila unafanya nae ngono na kumpa mbegu zako akuzalie, Hahaha.
Ushaona huyu ni kichaa, ila unaketi naye kitako jalalani unabishana naye siasa.
Mabinti wa siku hizi kinacho waponza ni tamaa,hawajui kutumia akili na utashi wao, wanaendekeza maswala ya trending,ambazo haziwasaidii chochote.
Sawa, sasa vijana hawana akili ya kujua nani wa kuzaa naye na nani si wa kuzaa naye? Wao ni kumwaga tu? Binafsi bado naona kuna tatizo la afya ya akili kwa vijana wengi sana.
 
"Kwanini unasema nimelaumu mwanaume. Iwapo kijana unamwaga shahawa zako hovyo bila kujali nani unataka kuzaa naye, na mwanamke anamwagiwa shawaha hovyo wote ni malaya tu"

Kwanza kaa ukijua kwamba mwanaume malaya bali huitwa rijali na ipo hivyo duniani kote. Kama hujui mwanamme hata awe kitombi vipi ,ila atakapo kuja kufanya maamuzi atahitaji mwanamke aliye tulia, mwenye tabia nzuri mwenye usichana wake au low body counts, ipo hivyo kwa wanaume wote duniani either hutaki au unataka.

Jukumu la kujitunza lipo kwa binti sababu mwenye maamuzi ya kuoa ni mwanaume na duniani kote ipo hivyo.Mwanaume ndiye huamua pindi tu atakapo jilizisha na tabia na mwenendo wa mwanamke.

Acha vitendo viongee na kulilia ndoa wakati tabia yako ni mbovu na kama akiona mwanaume hafai,hajashikiwa bunduki atumie akili na utashi wake kufanya maamuzi juu ya kuutunza usichana wake ila akiendekeza tamaa atatumika.

Kwenye swala la kuoa Vetting ni muhimu,tena zamani swala la ndoa likuwa ni la familia nzima,kwa pamoja wanamchunguza binti mpaka tabia za ukoo ambazo kijana wao anaenda kuoa. Ndoa ni process na si kukurupuka.
 
Siyo kila single mom alichezea maisha, wengine walichezewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…