Kutoka rubani wa ndege nchini Marekani hadi muokota makopo nchini Kenya

Rubani alikuwa mjinga.
 
Kwa kawaida mimi najua gharama za kozi yoyote ya rubani as long as ni wa kampuni fulani basi uwa wanagharamikiwa na kampuni husika ,sasa nashindwa kumuelewa huyu mwanaume mwenzangu kiasi cha kuamua kujilipia hizo gharama na kuwa mwanzo wa anguko lake .

Ila nashindwa kuelewa kuwa ujuzi wote na elimu yake yote afikie hatua ya kuokota makopo kazi wanayofanya ndugu zangu tunda moja keko ila kifo kitaturudisha .

Stori ibadilishwe niangalie namna ya kumwambia pole mwanaume mwenzangu au ibaki kama ilivyo niseme kuna uswahili uliendelea kwa huyu mwamba ila haujulikani au imefichwa kwa makusudi
 
Uko sahihi. Kenya kugumu mno kupata pesa. Kule hakuna huruma kabisa.
 
Hizi familia zetu za kiafrika ni kwikwi asee, zikiona mmojawapo kaenda kiwanja wanahisi unaenda kuokota hela barabarani, kumbe msoto wake ni afadhali aliyeko bongo..mindset ya ovyo kweli
 
Kwa akili za kipu

Sio kweli. Huyo jamaa ni upumbavu wake mwenyewe tu.
 
Kwa upumbavu wa huyu jamaa muanze kumbebesha mizigo sherani kwa ujinga wa huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ