Unamaanisha nini unapomtaja Polepole kama mwambata?Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili
1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili
2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62 iliyopita marehemu Christopher Kassanga Tumbo yeye alirejea nchini Tanganyika na kuendelea na maisha yake
Huyu kaachia ngazi kakimbilia mafichoni kisha kawabagaza viongozi wake vilivyo.. Si kwa matusi wala kejeli bali kwa ukweli wengi walioshindwa kuusema hadharani Kama yeye
Wabezaji watakuja.. Na mijadala kumhusu itachukua muda kupoa.. Lakini vyovyote iwavyo kajitwalia rekodi nyingine adhimu
Swali muhimu la kujiuliza kwanini kafanya hivi sasa na katumwa na nani.. Na je kwenda kuwa Mwambata Cuba ilikuwa ni project ya siri iliyoendeshwa kwa ustadi na umakini mkubwa?
Kuna kitu hapa wengi hawajakiona!
Kuufubaza upinzani (CHADEMA) kwa njia za kikatili na kibabe haya ndio matokeo yake... CHADEMA ingeachwa na harakati zake si Polepole wala Gwajima wangejitokeza hivi walivyojitokeza.. Sana sana wangejikltokeza kujibishana na upinzani
Unapodhibiti upinzani upande mmoja fanya kwa akili kubwa ili uasi usije ukainuka upande mwingine
Uasi na upinzani viko ndani ya nafsi ya binadamu.. Ni lazima kuwasikiliza watu wanataka nini.. Ni ngumu kuwapa vyote lakini hakikisha unawapa vile vya muhimu na vya lazima ili kuweza Ku "control" upinzani kwa upande mmoja na uasi kwa upande mwingine
Ukishindwa kufanya hivyo halafu muasi na mpinzani wakatengeneza uswahiba .. Umekwisha !
Kwassaa kuna tukio moja tu litakaloweza kumfifisha Polepole.. Nalo ni kumwachia huru mwenyekiti wa CHADEMA na kuifutia CHADEMA kesi za kutunga pamoja na viongozi wake.. Kwa kufanya hivi.. Pole pole atasahaulika misa ya kwanza
Kwa hali ilivyo ni wazi sasa "aliyeasi" ana uungwaji mkono nyuma yake tena mkubwa tuu na mpinzani CHADEMA ndio kabisaa... Ikitokea wakaamua kufunga ndoa hata ya mkeka.. Mengine yatabaki historia
Kwakuwa bado kuna mengi bado ya kuandika naomba niishie hapa..
LA mwisho IFIKE MAHALI JF IPEWE MAUA YAKE! Kuna information nyingi muhimu sana humu.. Yanayotokea sasa ni yalisemwa kwa lugha kificho tangu January... Je walijuaje na system isijue!? Ama ni system yenyewe ndio mkandarasi?
Chadema wakimwona mtu anaendana na slogan yao bc hao wanambeba mabegani kumuona ni Masiha wao, ngoja ghafla hao akina Gwajima, polepole na Mpina wabadili gia angani Ndo watashtuka mana wanajifanya kusahau Yale ya 2015 na lowassa wao na kama sasa wanavyomuona Mbowe wakati ndo alikuwa mastermind wao πDrama za wasanii zilibuma, sasa CCM imetuletea drama za Balozi. Tukistuka itakua October na uchaguzi tarantula.
Baada ya uchaguzi remote itasema sote ni wa Watanzania tuijenge nchi yetu. Ooh kumbe bado ni usiku na hii ni ndoto tu!
Drama za wasanii zilibuma, sasa CCM imetuletea drama za Balozi. Tukistuka itakua October na uchaguzi unapita.
Baada ya uchaguzi remote itasema sote ni wa Watanzania tuijenge nchi yetu. Ooh kumbe bado ni usiku na hii ni ndoto tu!
Katika yote yanayoendelea, CCM wamefanikiwa Jambo moja kubwa sana. Kitendo cha chadema kujiondoa kwenye uchaguzi kimewakosesha platform ya kusemea au chama cha kujiunga watu wote walio CCM ambao wanampinga mama.Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili
1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili
2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62 iliyopita marehemu Christopher Kassanga Tumbo yeye alirejea nchini Tanganyika na kuendelea na maisha yake
Huyu kaachia ngazi kakimbilia mafichoni kisha kawabagaza viongozi wake vilivyo.. Si kwa matusi wala kejeli bali kwa ukweli wengi walioshindwa kuusema hadharani Kama yeye
Wabezaji watakuja.. Na mijadala kumhusu itachukua muda kupoa.. Lakini vyovyote iwavyo kajitwalia rekodi nyingine adhimu
Swali muhimu la kujiuliza kwanini kafanya hivi sasa na katumwa na nani.. Na je kwenda kuwa Mwambata Cuba ilikuwa ni project ya siri iliyoendeshwa kwa ustadi na umakini mkubwa?
Kuna kitu hapa wengi hawajakiona!
Kuufubaza upinzani (CHADEMA) kwa njia za kikatili na kibabe haya ndio matokeo yake... CHADEMA ingeachwa na harakati zake si Polepole wala Gwajima wangejitokeza hivi walivyojitokeza.. Sana sana wangejikltokeza kujibishana na upinzani
Unapodhibiti upinzani upande mmoja fanya kwa akili kubwa ili uasi usije ukainuka upande mwingine
Uasi na upinzani viko ndani ya nafsi ya binadamu.. Ni lazima kuwasikiliza watu wanataka nini.. Ni ngumu kuwapa vyote lakini hakikisha unawapa vile vya muhimu na vya lazima ili kuweza Ku "control" upinzani kwa upande mmoja na uasi kwa upande mwingine
Ukishindwa kufanya hivyo halafu muasi na mpinzani wakatengeneza uswahiba .. Umekwisha !
Kwassaa kuna tukio moja tu litakaloweza kumfifisha Polepole.. Nalo ni kumwachia huru mwenyekiti wa CHADEMA na kuifutia CHADEMA kesi za kutunga pamoja na viongozi wake.. Kwa kufanya hivi.. Pole pole atasahaulika misa ya kwanza
Kwa hali ilivyo ni wazi sasa "aliyeasi" ana uungwaji mkono nyuma yake tena mkubwa tuu na mpinzani CHADEMA ndio kabisaa... Ikitokea wakaamua kufunga ndoa hata ya mkeka.. Mengine yatabaki historia
Kwakuwa bado kuna mengi bado ya kuandika naomba niishie hapa..
LA mwisho IFIKE MAHALI JF IPEWE MAUA YAKE! Kuna information nyingi muhimu sana humu.. Yanayotokea sasa ni yalisemwa kwa lugha kificho tangu January... Je walijuaje na system isijue!? Ama ni system yenyewe ndio mkandarasi?
Sasa mbona hayo mengine umeongea weweUmemsikiliza Polepole vizuri, mbona kaweka wazi Lissu ni roporopo tu siku zote.
Ni mtu anaetoa kauli za utata zinazoweza kumletea shida kisheria, sema huko nyuma; walijua hana hayo madhara ndio msingi wa kumuacha tu.
Safari hii uropokaji wake kakutana na watu wasio na huruma; wacha wamtie adabu, if you ask me.
Nenda kamsikilize Polepole full interview yake ipo JF. Mods have gone to great length kuhakikishwa members wao atupitwi.Sasa mbona hayo mengine umeongea wewe
Ana hadhi gani sasa hivi ya ukazi huko aliko?Polepole sio mkimbizi wa kisiasa, na Wala hajakimbilia popote. Hii nadharia umeibeba jumlajumla
Lissu alikufanya nini wewe kilaza mbona kama una conflict of interest naye kwa mtazamo wa akili yako hata lissu afanye jambo jema kiasi gani still hutaridhikaNenda kamsikilize Polepole full interview yake ipo JF. Mods have gone to great length kuhakikishwa members wao atupitwi.
Polepole akutaka ata kuongelea mambo ya Lissu kwa kisingizio hawezi ongelea mambo yaliyo mahakamani atakuwa anaingilia sheria.
Sana sana alitoa mfano tu huyo mtu ni mkorofi na mropokaji 2020 alisema asipotangazwa mshindi atavamia Ikulu; sema wao wanamjua ni taahira wakamuacha lakink wangeweza mpa kesi.
Safari kakutana na wahuni kwa uropokaji wake (aina maana na-support) mashitaka yake ambayo ni exaggerated ya uhaini.
Polepole yeye ata mambo ya serikali (ambayo yana mmbana kwa kiapo ajayagusia) yeye kafunguka na mambo ya CCM tu.
Tanzania sio perfect na tuna bahati mbaya ya kupata viongozi wa hovyo at times; ambao wanakera balaa.Lissu alikufanya nini wewe kilaza mbona kama una conflict of interest naye kwa mtazamo wa akili yako hata lissu afanye jambo jema kiasi gani still hutaridhika
ππππPolepole sio mkimbizi wa kisiasa, na Wala hajakimbilia popote. Hii nadharia umeibeba jumlajumla
βοΈacha taarabu Ww mzee.
Michezo ya siasa,hivi hujiulizi mtu msomi tu ana akili zake au mfanyabiashara kubwa tu anaingia kwenye siasa,unaamini kabisa ana uchungu wa nchi au wananchi hasa Africa hii tunayoishi?wakati ana familia yake anayopaswa kuitunza na kuraise ifikie malengo makubwa,i have never been trusting politicians and their dramas,never ever....Katika yote yanayoendelea, CCM wamefanikiwa Jambo moja kubwa sana. Kitendo cha chadema kujiondoa kwenye uchaguzi kimewakosesha platform ya kusemea au chama cha kujiunga watu wote walio CCM ambao wanampinga mama.
Chadema ingekuwa hai leo ingekuwa ya moto maana hawa magwajima wangeweza kujiunga huko wakaitikisa CCM.
Leo Lissu ni shujaa kaiokoa CCM maana hawa "mashujaa" hawana chama chenye "hadhi" yao kujiunga na muda wa kuanzisha chama kipya haupo.
Hii NRNE campaign imekuwa mkombozi mkubwa kwa CCM.
Point mkuu.mambo ya intelejensia hayo .hatuwezi kujua usikute idara ndio imeratibu hii script ya chadema ili kuiokoa ccm isimeguke vibaya.hata hivyo bado nature inaindama ccm hadi isambaratike.Katika yote yanayoendelea, CCM wamefanikiwa Jambo moja kubwa sana. Kitendo cha chadema kujiondoa kwenye uchaguzi kimewakosesha platform ya kusemea au chama cha kujiunga watu wote walio CCM ambao wanampinga mama.