Kukiwa na level playing field, risk ya CCM kung’olewa ni kubwa kuliko unavyofikiria. Ni hulka ya binadamu kuchoshwa na status quo na kutaka mabadiliko even if that means change for the sake of it!Sawa kabisa.
Kwa sasa wale wa DUNIA ya kwanza wamejidhihirisha kuwa utawala wa sasa ni kandamizi, katili na wanyima haki kwa raia. Watajumlisha na kutekwa na kuteswa kwa dada yake., ambalo limeshangaza sana sana watu wengi, kweli chukuwachakomapema imefikia hapo?! Wanaogopa ninj hasa maana uchaguzi ukifanyika bado watashinda tu, wanaogopa nini hasa?!
Drama za wasanii zilibuma, sasa CCM imetuletea drama za Balozi. Tukistuka itakua October na uchaguzi unapita.
Baada ya uchaguzi remote itasema sote ni wa Watanzania tuijenge nchi yetu. Ooh kumbe bado ni usiku na hii ni ndoto tu!
"hayupo nchini trust me"Hayupo trust me
Weka nuktaPolepole sio mkimbizi wa kisiasa, na Wala hajakimbilia popote. Hii nadharia umeibeba jumlajumla
Mimi hukuniamini, lakini Polepole mwenyewe alisema kuwa hawezi kwenda popote,yupo hapahapa na Kuna siku alorekodi video alfajiri akiwa posta, mkasema ya zamani.Ana hadhi gani sasa hivi ya ukazi huko aliko?
Kaacha kazi kwa kanuni alipaswa kurudi nchini aendelee na majukumu mengine.. Nje ya hapo popote alipo kwasasa ni mkimbizi wa kisiasa na Kama hajaomba hifadhi ya ukimbizi basi yuko kwenye mchakato