Kutoka Ubalozi hadi mkimbizi wa kisiasa: Rekodi nyingine mpya ya Polepole

Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili

1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili

2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62 iliyopita marehemu Christopher Kassanga Tumbo yeye alirejea nchini Tanganyika na kuendelea na maisha yake
Huyu kaachia ngazi kakimbilia mafichoni kisha kawabagaza viongozi wake vilivyo.. Si kwa matusi wala kejeli bali kwa ukweli wengi walioshindwa kuusema hadharani Kama yeye
Wabezaji watakuja.. Na mijadala kumhusu itachukua muda kupoa.. Lakini vyovyote iwavyo kajitwalia rekodi nyingine adhimu

Swali muhimu la kujiuliza kwanini kafanya hivi sasa na katumwa na nani.. Na je kwenda kuwa Mwambata Cuba ilikuwa ni project ya siri iliyoendeshwa kwa ustadi na umakini mkubwa?
Kuna kitu hapa wengi hawajakiona!

Kuufubaza upinzani (CHADEMA) kwa njia za kikatili na kibabe haya ndio matokeo yake... CHADEMA ingeachwa na harakati zake si Polepole wala Gwajima wangejitokeza hivi walivyojitokeza.. Sana sana wangejikltokeza kujibishana na upinzani
Unapodhibiti upinzani upande mmoja fanya kwa akili kubwa ili uasi usije ukainuka upande mwingine
Uasi na upinzani viko ndani ya nafsi ya binadamu.. Ni lazima kuwasikiliza watu wanataka nini.. Ni ngumu kuwapa vyote lakini hakikisha unawapa vile vya muhimu na vya lazima ili kuweza Ku "control" upinzani kwa upande mmoja na uasi kwa upande mwingine
Ukishindwa kufanya hivyo halafu muasi na mpinzani wakatengeneza uswahiba .. Umekwisha !
Kwassaa kuna tukio moja tu litakaloweza kumfifisha Polepole.. Nalo ni kumwachia huru mwenyekiti wa CHADEMA na kuifutia CHADEMA kesi za kutunga pamoja na viongozi wake.. Kwa kufanya hivi.. Pole pole atasahaulika misa ya kwanza

Kwa hali ilivyo ni wazi sasa "aliyeasi" ana uungwaji mkono nyuma yake tena mkubwa tuu na mpinzani CHADEMA ndio kabisaa... Ikitokea wakaamua kufunga ndoa hata ya mkeka.. Mengine yatabaki historia
Kwakuwa bado kuna mengi bado ya kuandika naomba niishie hapa..
LA mwisho IFIKE MAHALI JF IPEWE MAUA YAKE! Kuna information nyingi muhimu sana humu.. Yanayotokea sasa ni yalisemwa kwa lugha kificho tangu January... Je walijuaje na system isijue!? Ama ni system yenyewe ndio mkandarasi?
Mkuu Mshana Kuna utofauti baina ya Balozi na Mwambata, Balozi ni Balozi kwenye nchi husika, na Mwambata ni afisa kwenye ubalozi attached officer, mara nyingi wanakuwa ni wanajeshi kwenye ubalozi.

Kwahiyo Polepole ni Balozi sio Mwambata,🙏
 
Kuna kile chama Sam Sitta kilianzishwa kama spare, kikiishia wapi. Kulikuwa Chama Cha Wananchi Tanzania kama sikosei.
 
Attachments

  • Screenshot_20250719-111606.jpg
    Screenshot_20250719-111606.jpg
    174.2 KB · Views: 22
calm down ! Moshi uliopo ndani ya CCM hakuanza leo tena kuelekea uchaguzi..Atashinda kiongozi kutoka CCM.. haya yaliozungumzwa yatarekebishwa taratibu..Hoja ya kusema Wenyewe kwa wenyewe hawakosoani inaendelea kufutwa...Upinzan nao wataendelea kusema yakwao yatafanyiwa kazi, lakini kwa upande wa kiongozi kuchukua nchi hakuna kitakacho badilika siku zinakwenda...kingine cha kubadili ni Wanachama Watu fulani kuhamia chama fulani ambao ni utaratibu wa miaka yote..Sasa kilele zinavopigwa humu jf unaweza ukadhani kunajipya la kuiangusha CCM..Kumbe hzo kelele zinaendelea kuimarisha zaidi japokuwa zinatusaidia sisi wananchi na taifa kwa ujumla lakini kwenye swala la mabadiliko ngazi ya juu ipo palepale...Mimi kwa kuishauri CCM niombe hayo yote yanayozungumzwa ikiwapendeza wayafanyie kazi..lakini pia upinzani msichoke kuibua mapungufu ya wenzenu lakini niwaombe mnapoyasilisha iwe kistaarabu.
Tatizo mwaka huu mmejwenda nje kabisa ya mstqri
1: Fomu moja
2: Kuuwa wanaowakosoa
3:kukandamiza Democrasia
4:Kuwafunga wapinzani
5: Kunfunga mpinzani wenu wa chama cha upinzani
6:Hamtaki kabisa kukoseolewa
ALL IN ALL hii haijawahi kuyokea toka 5/2/19977
 
Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili

1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili

2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62 iliyopita marehemu Christopher Kassanga Tumbo yeye alirejea nchini Tanganyika na kuendelea na maisha yake
Huyu kaachia ngazi kakimbilia mafichoni kisha kawabagaza viongozi wake vilivyo.. Si kwa matusi wala kejeli bali kwa ukweli wengi walioshindwa kuusema hadharani Kama yeye
Wabezaji watakuja.. Na mijadala kumhusu itachukua muda kupoa.. Lakini vyovyote iwavyo kajitwalia rekodi nyingine adhimu

Swali muhimu la kujiuliza kwanini kafanya hivi sasa na katumwa na nani.. Na je kwenda kuwa Mwambata Cuba ilikuwa ni project ya siri iliyoendeshwa kwa ustadi na umakini mkubwa?
Kuna kitu hapa wengi hawajakiona!

Kuufubaza upinzani (CHADEMA) kwa njia za kikatili na kibabe haya ndio matokeo yake... CHADEMA ingeachwa na harakati zake si Polepole wala Gwajima wangejitokeza hivi walivyojitokeza.. Sana sana wangejikltokeza kujibishana na upinzani
Unapodhibiti upinzani upande mmoja fanya kwa akili kubwa ili uasi usije ukainuka upande mwingine
Uasi na upinzani viko ndani ya nafsi ya binadamu.. Ni lazima kuwasikiliza watu wanataka nini.. Ni ngumu kuwapa vyote lakini hakikisha unawapa vile vya muhimu na vya lazima ili kuweza Ku "control" upinzani kwa upande mmoja na uasi kwa upande mwingine
Ukishindwa kufanya hivyo halafu muasi na mpinzani wakatengeneza uswahiba .. Umekwisha !
Kwassaa kuna tukio moja tu litakaloweza kumfifisha Polepole.. Nalo ni kumwachia huru mwenyekiti wa CHADEMA na kuifutia CHADEMA kesi za kutunga pamoja na viongozi wake.. Kwa kufanya hivi.. Pole pole atasahaulika misa ya kwanza

Kwa hali ilivyo ni wazi sasa "aliyeasi" ana uungwaji mkono nyuma yake tena mkubwa tuu na mpinzani CHADEMA ndio kabisaa... Ikitokea wakaamua kufunga ndoa hata ya mkeka.. Mengine yatabaki historia
Kwakuwa bado kuna mengi bado ya kuandika naomba niishie hapa..
LA mwisho IFIKE MAHALI JF IPEWE MAUA YAKE! Kuna information nyingi muhimu sana humu.. Yanayotokea sasa ni yalisemwa kwa lugha kificho tangu January... Je walijuaje na system isijue!? Ama ni system yenyewe ndio mkandarasi?
Inaweza kuwa rekodi mpya duniani na ya kipekee kabisa!
 
Tatizo mwaka huu mmejwenda nje kabisa ya mstqri
1: Fomu moja
2: Kuuwa wanaowakosoa
3:kukandamiza Democrasia
4:Kuwafunga wapinzani
5: Kunfunga mpinzani wenu wa chama cha upinzani
6:Hamtaki kabisa kukoseolewa
ALL IN ALL hii haijawahi kuyokea toka 5/2/19977
Wataelewa wanapo kosea,ama walipokosea?
 
Tatizo mwaka huu mmejwenda nje kabisa ya mstqri
1: Fomu moja
2: Kuuwa wanaowakosoa
3:kukandamiza Democrasia
4:Kuwafunga wapinzani
5: Kunfunga mpinzani wenu wa chama cha upinzani
6:Hamtaki kabisa kukoseolewa
ALL IN ALL hii haijawahi kuyokea toka 5/2/19977
namba 1 mengine ni yale yale..watarekebisha tu usijali..Asante kwa kushiriki.
 
Nenda kamsikilize Polepole full interview yake ipo JF. Mods have gone to great length kuhakikishwa members wao atupitwi.

Polepole akutaka ata kuongelea mambo ya Lissu kwa kisingizio hawezi ongelea mambo yaliyo mahakamani atakuwa anaingilia sheria.

Sana sana alitoa mfano tu huyo mtu ni mkorofi na mropokaji 2020 alisema asipotangazwa mshindi atavamia Ikulu; sema wao wanamjua ni taahira wakamuacha lakini wangeweza mpa kesi.

Safari kakutana na wahuni kwa uropokaji wake (aina maana na-support) mashitaka yake ambayo ni exaggerated ya uhaini.

Polepole yeye ata mambo ya serikali (ambayo yana mmbana kwa kiapo ajayagusia) yeye kafunguka na mambo ya CCM tu na utaratibu wao.
Sawa meya nimekupata 🙏
 
Ana hadhi gani sasa hivi ya ukazi huko aliko?
Kaacha kazi kwa kanuni alipaswa kurudi nchini aendelee na majukumu mengine.. Nje ya hapo popote alipo kwasasa ni mkimbizi wa kisiasa na Kama hajaomba hifadhi ya ukimbizi basi yuko kwenye mchakato
Kwa nn unaamini kuwa hayupo nchini?
 
Umemsikiliza Polepole vizuri, mbona kaweka wazi Lissu ni roporopo tu siku zote.

Ni mtu anaetoa kauli za utata zinazoweza kumletea shida kisheria, sema huko nyuma; walijua hana hayo madhara ndio msingi wa kumuacha tu.

Safari hii uropokaji wake kakutana na watu wasio na huruma; wacha wamtie adabu, if you ask me.
wasira umepotea
 
Shida ni pale mtu anagomesha kuchambia maji machafu, na kusahau kinachotolewa ni kichafu zaidi kuliko maji machafu, anyway hebu kila mtu akae na mgando wa mavi yake!
 
Kajitambua huyo tumpe sifa. Kuishi ndani ya CCM ni sawa na kuweka ubongo wako stoo afu unatumia ubongo wa machawa.
 
Mkuu Mshana Kuna utofauti baina ya Balozi na Mwambata, Balozi ni Balozi kwenye nchi husika, na Mwambata ni afisa kwenye ubalozi attached officer, mara nyingi wanakuwa ni wanajeshi kwenye ubalozi.

Kwahiyo Polepole ni Balozi sio Mwambata,🙏
Asante kwa ufafanuzi nilishaomba @ moderator arekebishe tangu asubuhi
 
Back
Top Bottom