Kutoka Ubalozi hadi mkimbizi wa kisiasa: Rekodi nyingine mpya ya Polepole

Kutoka Ubalozi hadi mkimbizi wa kisiasa: Rekodi nyingine mpya ya Polepole

You don’t have to strive to say things which makes you fit with the crowd (hata kama crowd yenyewe ya mataahira).

Lissu ni mtu wa hovyo, na asilimia kubwa ya wafuasi wake humu hata siasa hawajui.

Kuna kikundi cha mkumbo kinachomkuza huyo taahira humu; ukiwauliza why 90% can’t justify.

Ushabiki wa Lissu JF ni based on herd thinking ya watu wa chit-chat, vinginevyo Lissu ni mtu wa hovyo and clueless.
Haha bado hujasema au ndo nyie mlikuwa kwenye squad ya kumuangamiza dodoma
 
Drama za wasanii zilibuma, sasa CCM imetuletea drama za Balozi. Tukistuka itakua October na uchaguzi unapita.

Baada ya uchaguzi remote itasema sote ni wa Watanzania tuijenge nchi yetu. Ooh kumbe bado ni usiku na hii ni ndoto tu!
Not this time
😅Kwa polepole Wala sio drama
Just watch
 
Sijui huko ndani kukoje, huo moshi ni ishara ndani moto unawaka
calm down ! Moshi uliopo ndani ya CCM hakuanza leo tena kuelekea uchaguzi..Atashinda kiongozi kutoka CCM.. haya yaliozungumzwa yatarekebishwa taratibu..Hoja ya kusema Wenyewe kwa wenyewe hawakosoani inaendelea kufutwa...Upinzan nao wataendelea kusema yakwao yatafanyiwa kazi, lakini kwa upande wa kiongozi kuchukua nchi hakuna kitakacho badilika siku zinakwenda...kingine cha kubadili ni Wanachama Watu fulani kuhamia chama fulani ambao ni utaratibu wa miaka yote..Sasa kilele zinavopigwa humu jf unaweza ukadhani kunajipya la kuiangusha CCM..Kumbe hzo kelele zinaendelea kuimarisha zaidi japokuwa zinatusaidia sisi wananchi na taifa kwa ujumla lakini kwenye swala la mabadiliko ngazi ya juu ipo palepale...Mimi kwa kuishauri CCM niombe hayo yote yanayozungumzwa ikiwapendeza wayafanyie kazi..lakini pia upinzani msichoke kuibua mapungufu ya wenzenu lakini niwaombe mnapoyasilisha iwe kistaarabu.
 
Michezo ya siasa,hivi hujiulizi mtu msomi tu ana akili zake au mfanyabiashara kubwa tu anaingia kwenye siasa,unaamini kabisa ana uchungu wa nchi au wananchi hasa Africa hii tunayoishi?wakati ana familia yake anayopaswa kuitunza na kuraise ifikie malengo makubwa,i have never been trusting politicians and their dramas,never ever....
Ndo maana waliomuelewa Gwajima wachache, alisema watu Wana familia jmn , unategemea watafanya nn km sio kufuata amri.....

Kwani sisi waafrika tuna shida Gani jmn, mbona wazungu wamejenga nchi zao?
 
calm down ! Moshi uliopo ndani ya CCM hakuanza leo tena kuelekea uchaguzi..Atashinda kiongozi kutoka CCM.. haya yaliozungumzwa yatarekebishwa taratibu..Hoja ya kusema Wenyewe kwa wenyewe hawakosoani inaendelea kufutwa...Upinzan nao wataendelea kusema yakwao yatafanyiwa kazi, lakini kwa upande wa kiongozi kuchukua nchi hakuna kitakacho badilika siku zinakwenda...kingine cha kubadili ni Wanachama Watu fulani kuhamia chama fulani ambao ni utaratibu wa miaka yote..Sasa kilele zinavopigwa humu jf unaweza ukadhani kunajipya la kuiangusha CCM..Kumbe hzo kelele zinaendelea kuimarisha zaidi japokuwa zinatusaidia sisi wananchi na taifa kwa ujumla lakini kwenye swala la mabadiliko ngazi ya juu ipo palepale...Mimi kwa kuishauri CCM niombe hayo yote yanayozungumzwa ikiwapendeza wayafanyie kazi..lakini pia upinzani msichoke kuibua mapungufu ya wenzenu lakini niwaombe mnapoyasilisha iwe kistaarabu.
Atashindia akishindana na nani?
 
Tanzania sio perfect na tuna bahati mbaya ya kupata viongozi wa hovyo at times; ambao wanakera balaa.

Lakini kutumia mapungufu ya nchi yetu kwa maslahi binafsi, na kutaka kuona nchi inaazibiwa na wazungu kisa political mileage zako hapo ndipo nilipomuona Lissu ni mtu wa hovyo

To be specific kipindi serikali inatafuta re-negotiation ya mikataba ya madini na ACCACIA.

Ili kuona jinsi huyu mtu sio mzuri uwe walau na abc za contract law and natural resources industry.

Lissu uelewa huo wa mikataba hana kabisa (trust me) humu JF ni kusifia ujinga na wasifiaji wenyewe ni clueless (ili mradi tu), sio Lissu tu a majority ndio walewale.

Wenzake serikalini wanamwambia tuache tufanye yetu, yeye japo hajui lolote ni kuropoka tu negative na upuuzi wake wa MIGA nonsense na kurudia hadithi zake na Dr Nshala za mazingira huko Mara zama za kale, etc. With stupidity,

He is not a patriot at all but self serving politician at all cost for his political mileage
😅Lisu Hana uelewa wa mikstaba?
Aisee hii Kali

Una person conflict,au Kuna lingine?
 
Mkuu naposema wewe nati zimelegea sio uongo ni kweli sibahatishi naona bado unaendelea kujivua nguo

Tindu lisu unayesema hajui Sheria, Naomba nitajie kesi yoyote ambayo ameshindwa mahakamani yaani kuna hukumu ya hatia iliyompatia adhabu au kuhukumiwa kwa mashtaka yoyote mpaka sasa yaani Leo Julai 19, 2025

Ukinijibu hili kwa usahihi, mjadala utaendelea
JF inasomwa na watu wazito.

Wengine tunaona imitation ya hoja zetu kurudiwa na watu wazito (hatustiki tena).

Tupo kwa sababu ya kuwakumbusha hao watu kuona mapungufu yao.

Muda wa kuangaika na viazi kama wewe tena sina at this point in my life..

View: https://m.youtube.com/watch?v=rzAgrsoy9cg

Ukiona umechoka nenda YouTube kuna so many educational documentaries. Sio lazima hiyo niliyoweka (that’s for me baada ya hapa). Kuliko kuumiza kichwa chako na watu usiowajua na kutaka kuanza mjibizane ujinga.

Believe or not hii ID yako inaweza kuwa miaka ndani ya JF lakini kwangu ni kama ngeni ndio maana sio ngumu kuipeleka kwenye list ignore list from thereon.

IMG_7876.jpeg

Bado hapo kwenye ma file yangu nina soft copy ya vitabu kama 400 ambavyo non-fictional ku-stimulate akili yangu.

You actually think nina muda wa kumfikiria member yeyote wa JF nikimalizaga kuchangia humu na kujaza ujinga kichwani kwangu kama mnavyojijaza.

You are ignored after this, mna matatizo kweli baadhi ya members humu.

In your pathetic little head you think ppl have time to entertain whatever the nonsense is running your head.

IMG_7880.jpeg

Watu wana elekeza akili zao nje ya JF wewe huna nafasi kwenye vichwa vyao.

Hii nikuwasaida tu baadhi ya members humu kudhani fikra zilizo kwenye vichwa vyao ndio za kila mtu humu.
 
Unataka twende kazi nikuonyshe Lissu hajui sheria na tupime mimi na wewe nani ni mental case,

Dalili ya kwanza ya mental issue ni kujiaminisha mambo ambayo una uelewa nayo.

Wanaposema Tanzania mental issue ni tatizo unaona kupitia kwa mtu kama wewe.

Prove me wrong ya kuwa Lissu anajua sheria.

Baada ya dakika tano naingia kulała na kuhitimisha wewe ndio mental case.
Tukubaliane tu kwamba Lissu haijui sheria na wewe ndiye unayeijua sheria! Are you happy now?
 
Tukubaliane tu kwamba Lissu haijui sheria na wewe ndiye unayeijua sheria! Are you happy now?
Extraordinary claims, require extraordinary proof.

Mimi nimesema Lissu hajui ‘contract law’ prove me wrong (the burden is on you).
 
JF inasomwa na watu wazito.

Wengine tunaona imitation ya hoja zetu kurudiwa na watu wazito (hatustiki tena).

Tupo kwa sababu ya kuwakumbusha hao watu kuona mapungufu yao.

Muda wa kuangaika na viazi kama wewe tena sina at this point in my life..

View: https://m.youtube.com/watch?v=rzAgrsoy9cg

Ukiona umechoka nenda YouTube kuna so many educational documentaries. Sio lazima hiyo niliyoweka (that’s for me baada ya hapa). Kuliko kuumiza kichwa chako na watu usiowajua na kutaka kuanza mjibizane ujinga.

Believe or not hii ID yako inaweza kuwa miaka ndani ya JF lakini kwangu ni kama ngeni ndio maana sio ngumu kuipeleka kwenye list ignore list from thereon.

View attachment 3410530

Bado hapo kwenye ma file yangu nina soft copy ya vitabu kama 400 ambavyo non-fictional ku-stimulate akili yangu.

You actually think nina muda wa kumfikiria member yeyote wa JF nikimalizaga kuchangia humu na kujaza ujinga kichwani kwangu kama mnavyojijaza.

You are ignored after this, mna matatizo kweli baadhi ya members humu.

In your pathetic little head you think ppl have time to entertain whatever the nonsense is running your head.

One of the great thinkers is not you, Lakini ukiwahiwa mapema kuna uwezekano mkubwa wa kupona. Ukichelewa inaweza kuwa hatari.
 
Kwassaa kuna tukio moja tu litakaloweza kumfifisha Polepole.. Nalo ni kumwachia huru mwenyekiti wa CHADEMA na kuifutia CHADEMA kesi za kutunga pamoja na viongozi wake.. Kwa kufanya hivi.. Pole pole atasahaulika misa ya kwanza
Polepole hatapoa katu! Sidhani kama amekurupuka. Ana supporters ndani ya CCM, tena vigogo. It is a matter of time!

Kuna ule upande mwingine sidhani kama wako null, blind, dumb, thinkless .................... ingawaje huko sikupendi sana kujiingiz siasani....tme will tell
 
Extraordinary claims, require extraordinary proof.

Mimi nimesema Lissu hajui ‘contract law’ prove me wrong (the burden is on you).
Kutokana na mtizamo wako (you are not wrong), yeye hajui na wewe ndio unayejua. Pamoja na kumuona hajui ila he is an icon na ndio maana haishi kutamkwa katika vinywa vya watu kila kukicha. Na hapa mimi, wewe na wengine tunamjadili yeye. Ni YEYE. You are not of his league.

Nakushauri pia upunguze bragging kuna haja gani ya kutueleza na kutuonesha una vitabu 400 vya non fiction?
 
I don’t have time for this (in summary 👇)

Umeni quote kwa madsi ya kunipongeza sawa ‘mimi najua kushinda, Lissu’

Nikalujibu ‘sijasema tu bure bure, prove me wrong’

Umerudi na praises badała ya ‘legal argument ambayo unadhani ni sahihi, ili nionyeshe mapungufu yake’ vinginevyo nikishindwa uhitimishe mimi ndio nine shida.

Listening to documentary make sense kuliko kuendelea na senseless arguments.

Good morning 👋
 
You don’t have to strive to say things which makes you fit with the crowd (hata kama crowd yenyewe ya mataahira).

Lissu ni mtu wa hovyo, na asilimia kubwa ya wafuasi wake humu hata siasa hawajui.

Kuna kikundi cha mkumbo kinachomkuza huyo taahira humu; ukiwauliza why 90% can’t justify.

Ushabiki wa Lissu JF ni based on herd thinking ya watu wa chit-chat, vinginevyo Lissu ni mtu wa hovyo and clueless.
But huo u-hovyo wake doesn't surpass yours. Wewe ni zaidi.
 
Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili

1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili

2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62 iliyopita marehemu Christopher Kassanga Tumbo yeye alirejea nchini Tanganyika na kuendelea na maisha yake
Huyu kaachia ngazi kakimbilia mafichoni kisha kawabagaza viongozi wake vilivyo.. Si kwa matusi wala kejeli bali kwa ukweli wengi walioshindwa kuusema hadharani Kama yeye
Wabezaji watakuja.. Na mijadala kumhusu itachukua muda kupoa.. Lakini vyovyote iwavyo kajitwalia rekodi nyingine adhimu

Swali muhimu la kujiuliza kwanini kafanya hivi sasa na katumwa na nani.. Na je kwenda kuwa Mwambata Cuba ilikuwa ni project ya siri iliyoendeshwa kwa ustadi na umakini mkubwa?
Kuna kitu hapa wengi hawajakiona!

Kuufubaza upinzani (CHADEMA) kwa njia za kikatili na kibabe haya ndio matokeo yake... CHADEMA ingeachwa na harakati zake si Polepole wala Gwajima wangejitokeza hivi walivyojitokeza.. Sana sana wangejikltokeza kujibishana na upinzani
Unapodhibiti upinzani upande mmoja fanya kwa akili kubwa ili uasi usije ukainuka upande mwingine
Uasi na upinzani viko ndani ya nafsi ya binadamu.. Ni lazima kuwasikiliza watu wanataka nini.. Ni ngumu kuwapa vyote lakini hakikisha unawapa vile vya muhimu na vya lazima ili kuweza Ku "control" upinzani kwa upande mmoja na uasi kwa upande mwingine
Ukishindwa kufanya hivyo halafu muasi na mpinzani wakatengeneza uswahiba .. Umekwisha !
Kwassaa kuna tukio moja tu litakaloweza kumfifisha Polepole.. Nalo ni kumwachia huru mwenyekiti wa CHADEMA na kuifutia CHADEMA kesi za kutunga pamoja na viongozi wake.. Kwa kufanya hivi.. Pole pole atasahaulika misa ya kwanza

Kwa hali ilivyo ni wazi sasa "aliyeasi" ana uungwaji mkono nyuma yake tena mkubwa tuu na mpinzani CHADEMA ndio kabisaa... Ikitokea wakaamua kufunga ndoa hata ya mkeka.. Mengine yatabaki historia
Kwakuwa bado kuna mengi bado ya kuandika naomba niishie hapa..
LA mwisho IFIKE MAHALI JF IPEWE MAUA YAKE! Kuna information nyingi muhimu sana humu.. Yanayotokea sasa ni yalisemwa kwa lugha kificho tangu January... Je walijuaje na system isijue!? Ama ni system yenyewe ndio mkandarasi?
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Unataka twende kazi nikuonyshe Lissu hajui sheria na tupime mimi na wewe nani ni mental case,

Dalili ya kwanza ya mental issue ni kujiaminisha mambo ambayo una uelewa nayo.

Wanaposema Tanzania mental issue ni tatizo unaona kupitia kwa mtu kama wewe.

Prove me wrong ya kuwa Lissu anajua sheria.

Baada ya dakika tano naingia kulała na kuhitimisha wewe ndio mental case.
Kama ulivyosema, Tanzania mental issue ni tatizo, hakika nakubaliana nawe, Kwa sababu naziona dalili zote za mental case kwako.
 
Ipsilateral internal mammary lymph node involved
Cancer have metastatitised
 
Back
Top Bottom