Kutoka Ubalozi hadi mkimbizi wa kisiasa: Rekodi nyingine mpya ya Polepole

You don’t have to strive to say things which makes you fit with the crowd (hata crowd yenyewe ya mataahira).

Lissu ni mtu wa hovyo, na asilimia kubwa ya wafuasi wake humu hata siasa hawajui.

Kuna kikundi cha mkumbo kinachomkuza huyo taahira humu; ukiwauliza why 90% can’t justify.

Ushabiki wa Lissu JF ni based on herd thinking ya watu wa chit-chat, vinginevyo Lissu ni mtu wa hovyo and clueless.
Kuna mahali nati zako zimelegea.....afya ya akili ni tatizo kubwa

Kuhusu Lissu, bila kujali upendeleo wa mtu au chuki binafsi ukweli unabaki kuwa Amejijenga kama sauti muhimu ya upinzani hasa kwenye masuala ya haki za binadamu na utawala wa sheria.
 
Balozi ni Ambassador au High Commissioner na Mwambata ni Attachè.

Mwambata anakuwa na kazi maalum katika ubalozi, anaweza kuwa mwambata wa jeshi, au mwambata wa wanafunzi(student attaché)
 
😂huyu ni muhuni tuu
72119007-46fb-483f-b157-29ec3125343d.jpeg
 
Drama za wasanii zilibuma, sasa CCM imetuletea drama za Balozi. Tukistuka itakua October na uchaguzi unapita.

Baada ya uchaguzi remote itasema sote ni wa Watanzania tuijenge nchi yetu. Ooh kumbe bado ni usiku na hii ni ndoto tu!
Unafikiria Ccm wakiamua kufanya drama yaani Spinning wanahitaji kumtumia Polepole na Gwajima ?.

Kwamba pole pole anabidi Kujiuzulu , anabidi kufanya press conference n.k.

Jibu ni hapana Akili kubwa haina uwezo wa kuiongoza akili ndogo hata siku moja na haitotokea .

Zipo njia za kuwazubaisha wananchi Ila sio kumtumia pole pole , Gwajima na Mpina.

Sisi kama Chadema tunasimama na Pole pole haijalishi alikuwaje Nyuma tumemsamehe na hana deni labda akope tena.

Ukijifunza kuupenda ukweli lazima utaukubali haijalishi nani kauongea huo ukweli.
 
Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili

1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili

2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62 iliyopita marehemu Christopher Kassanga Tumbo yeye alirejea nchini Tanganyika na kuendelea na maisha yake
Huyu kaachia ngazi kakimbilia mafichoni kisha kawabagaza viongozi wake vilivyo.. Si kwa matusi wala kejeli bali kwa ukweli wengi walioshindwa kuusema hadharani Kama yeye
Wabezaji watakuja.. Na mijadala kumhusu itachukua muda kupoa.. Lakini vyovyote iwavyo kajitwalia rekodi nyingine adhimu

Swali muhimu la kujiuliza kwanini kafanya hivi sasa na katumwa na nani.. Na je kwenda kuwa Mwambata Cuba ilikuwa ni project ya siri iliyoendeshwa kwa ustadi na umakini mkubwa?
Kuna kitu hapa wengi hawajakiona!

Kuufubaza upinzani (CHADEMA) kwa njia za kikatili na kibabe haya ndio matokeo yake... CHADEMA ingeachwa na harakati zake si Polepole wala Gwajima wangejitokeza hivi walivyojitokeza.. Sana sana wangejikltokeza kujibishana na upinzani
Unapodhibiti upinzani upande mmoja fanya kwa akili kubwa ili uasi usije ukainuka upande mwingine
Uasi na upinzani viko ndani ya nafsi ya binadamu.. Ni lazima kuwasikiliza watu wanataka nini.. Ni ngumu kuwapa vyote lakini hakikisha unawapa vile vya muhimu na vya lazima ili kuweza Ku "control" upinzani kwa upande mmoja na uasi kwa upande mwingine
Ukishindwa kufanya hivyo halafu muasi na mpinzani wakatengeneza uswahiba .. Umekwisha !
Kwassaa kuna tukio moja tu litakaloweza kumfifisha Polepole.. Nalo ni kumwachia huru mwenyekiti wa CHADEMA na kuifutia CHADEMA kesi za kutunga pamoja na viongozi wake.. Kwa kufanya hivi.. Pole pole atasahaulika misa ya kwanza

Kwa hali ilivyo ni wazi sasa "aliyeasi" ana uungwaji mkono nyuma yake tena mkubwa tuu na mpinzani CHADEMA ndio kabisaa... Ikitokea wakaamua kufunga ndoa hata ya mkeka.. Mengine yatabaki historia
Kwakuwa bado kuna mengi bado ya kuandika naomba niishie hapa..
LA mwisho IFIKE MAHALI JF IPEWE MAUA YAKE! Kuna information nyingi muhimu sana humu.. Yanayotokea sasa ni yalisemwa kwa lugha kificho tangu January... Je walijuaje na system isijue!? Ama ni system yenyewe ndio mkandarasi?
Mnawapoteza watu kuwaaminisha harakati hizi za polepole zina manufaa yeyote kwa upinzani. Hata Ssh angewakarimu vipi chadema hii ya 2025 ingetokea hivihivi kama angegombea.

This is a no brainer
 
Sikuzuii kuwaza unavyowaza
 
Kuna mahali nati zako zimelegea.....afya ya akili ni tatizo kubwa

Kuhusu Lissu, bila kujali upendeleo wa mtu au chuki binafsi ukweli unabaki kuwa Amejijenga kama sauti muhimu ya upinzani hasa kwenye masuala ya haki za binadamu na utawala wa sheria.
Unataka twende kazi nikuonyshe Lissu hajui sheria na tupime mimi na wewe nani ni mental case,

Dalili ya kwanza ya mental issue ni kujiaminisha mambo ambayo una uelewa nayo.

Wanaposema Tanzania mental issue ni tatizo unaona kupitia kwa mtu kama wewe.

Prove me wrong ya kuwa Lissu anajua sheria.

Baada ya dakika tano naingia kulała na kuhitimisha wewe ndio mental case.
 
.
Point mkuu.mambo ya intelejensia hayo .hatuwezi kujua usikute idara ndio imeratibu hii script ya chadema ili kuiokoa ccm isimeguke vibaya.hata hivyo bado nature inaindama ccm hadi isambaratike.
Ccm itakufa kifo cha Asili ambacho kitatokana na umri mkubwa na uchakavu na kifo hiki kitatokea mwaka huu yaani tangu polepole aongee jana Ccm wamekosa pakutokea .

Kwa sasa yule kamotee ambaye amekuwa akiambiwa anawashwa washwa litamkuta jambo
 
Unataka twende kazi nikuonyshe Lissu hajui sheria na tupime mimi na wewe nani ni mental case,

Dalili ya kwanza ya mental issue ni kujiaminisha mambo ambayo una uelewa nayo.

Wanaposema Tanzania mental issue ni tatizo unaona kupitia kwa mtu kama wewe.

Prove me wrong ya kuwa Lissu anajua sheria.

Baada ya dakika tano naingia kulała na kuhitimisha wewe ndio mental case.

Pole pole hana deni naona ameamua kuwatoa panya wote shimoni.
 
Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili

1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili

2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62 iliyopita marehemu Christopher Kassanga Tumbo yeye alirejea nchini Tanganyika na kuendelea na maisha yake
Huyu kaachia ngazi kakimbilia mafichoni kisha kawabagaza viongozi wake vilivyo.. Si kwa matusi wala kejeli bali kwa ukweli wengi walioshindwa kuusema hadharani Kama yeye
Wabezaji watakuja.. Na mijadala kumhusu itachukua muda kupoa.. Lakini vyovyote iwavyo kajitwalia rekodi nyingine adhimu

Swali muhimu la kujiuliza kwanini kafanya hivi sasa na katumwa na nani.. Na je kwenda kuwa Mwambata Cuba ilikuwa ni project ya siri iliyoendeshwa kwa ustadi na umakini mkubwa?
Kuna kitu hapa wengi hawajakiona!

Kuufubaza upinzani (CHADEMA) kwa njia za kikatili na kibabe haya ndio matokeo yake... CHADEMA ingeachwa na harakati zake si Polepole wala Gwajima wangejitokeza hivi walivyojitokeza.. Sana sana wangejikltokeza kujibishana na upinzani
Unapodhibiti upinzani upande mmoja fanya kwa akili kubwa ili uasi usije ukainuka upande mwingine
Uasi na upinzani viko ndani ya nafsi ya binadamu.. Ni lazima kuwasikiliza watu wanataka nini.. Ni ngumu kuwapa vyote lakini hakikisha unawapa vile vya muhimu na vya lazima ili kuweza Ku "control" upinzani kwa upande mmoja na uasi kwa upande mwingine
Ukishindwa kufanya hivyo halafu muasi na mpinzani wakatengeneza uswahiba .. Umekwisha !
Kwassaa kuna tukio moja tu litakaloweza kumfifisha Polepole.. Nalo ni kumwachia huru mwenyekiti wa CHADEMA na kuifutia CHADEMA kesi za kutunga pamoja na viongozi wake.. Kwa kufanya hivi.. Pole pole atasahaulika misa ya kwanza

Kwa hali ilivyo ni wazi sasa "aliyeasi" ana uungwaji mkono nyuma yake tena mkubwa tuu na mpinzani CHADEMA ndio kabisaa... Ikitokea wakaamua kufunga ndoa hata ya mkeka.. Mengine yatabaki historia
Kwakuwa bado kuna mengi bado ya kuandika naomba niishie hapa..
LA mwisho IFIKE MAHALI JF IPEWE MAUA YAKE! Kuna information nyingi muhimu sana humu.. Yanayotokea sasa ni yalisemwa kwa lugha kificho tangu January... Je walijuaje na system isijue!? Ama ni system yenyewe ndio mkandarasi?
CUBANISM
 
Lissu ni mwamba....hakimbi nchi
Huyo slow slow leo hii wa kukimbia nchi yake unaomba hifadhi nchi
Zile zile unazo ziita mabeberu 😄
Arudi apambane na hao wahuni ndani ya chama

Ova
Wewe kweli niwakupuuzwa lissu karudi baada ya kifo cha Magufuli tena kwa kufuatwa na Samia huko Ubeligiji, Magufuli ndiye alikuwa amenyosha huyu shujaa wako lissu,ingawa siko upande wa Samia ila lissu na Mbowe ndio walitualibia upinzani halisi,kwa kutuletea fisadi papa Lowassa.
 
Unataka twende kazi nikuonyshe Lissu hajui sheria na tupime mimi na wewe nani ni mental case,

Dalili ya kwanza ya mental issue ni kujiaminisha mambo ambayo una uelewa nayo.

Wanaposema Tanzania mental issue ni tatizo unaona kupitia kwa mtu kama wewe.

Prove me wrong ya kuwa Lissu anajua sheria.

Baada ya dakika tano naingia kulała na kuhitimisha wewe ndio mental case.
Mkuu naposema wewe nati zimelegea sio uongo ni kweli sibahatishi naona bado unaendelea kujivua nguo

Tindu lisu unayesema hajui Sheria, Naomba nitajie kesi yoyote ambayo ameshindwa mahakamani yaani kuna hukumu ya hatia iliyompatia adhabu au kuhukumiwa kwa mashtaka yoyote mpaka sasa yaani Leo Julai 19, 2025

Ukinijibu hili kwa usahihi, mjadala utaendelea
 
Tanzania sio perfect na tuna bahati mbaya ya kupata viongozi wa hovyo at times; ambao wanakera balaa.

Lakini kutumia mapungufu ya nchi yetu kwa maslahi binafsi, na kutaka kuona nchi inaazibiwa na wazungu kisa political mileage zako hapo ndipo nilipomuona Lissu ni mtu wa hovyo

To be specific kipindi serikali inatafuta re-negotiation ya mikataba ya madini na ACCACIA.

Ili kuona jinsi huyu mtu sio mzuri uwe walau na abc za contract law and natural resources industry.

Lissu uelewa huo wa mikataba hana kabisa (trust me) humu JF ni kusifia ujinga na wasifiaji wenyewe ni clueless (ili mradi tu), sio Lissu tu a majority ndio walewale.

Wenzake serikalini wanamwambia tuache tufanye yetu, yeye japo hajui lolote ni kuropoka tu negative na upuuzi wake wa MIGA nonsense na kurudia hadithi zake na Dr Nshala za mazingira huko Mara zama za kale, etc. With stupidity,

He is not a patriot at all but self serving politician at all cost for his political mileage
Acha kubwavwaja leta ushahidi hapa uliodhahiri kuonyesha kuwa lissu alikuwa against dhidi ya maslahi ya taifa mikataba mnaingia wenyewe kwa tamaa ya 10% kuivunja badala ya kufuata njia sahihi mnashatakiwa na kodi za Wanainch zanaanza kulipa sababu ya ya watu wachache kula 10% na kama unaona wazungu watu hovyo kwanini mnaomba misaada kila kukicha mpka matundu ya vyoo
 
Tanzania sio perfect na tuna bahati mbaya ya kupata viongozi wa hovyo at times; ambao wanakera balaa.

Lakini kutumia mapungufu ya nchi yetu kwa maslahi binafsi, na kutaka kuona nchi inaazibiwa na wazungu kisa political mileage zako hapo ndipo nilipomuona Lissu ni mtu wa hovyo

To be specific kipindi serikali inatafuta re-negotiation ya mikataba ya madini na ACCACIA.

Ili kuona jinsi huyu mtu sio mzuri uwe walau na abc za contract law and natural resources industry.

Lissu uelewa huo wa mikataba hana kabisa (trust me) humu JF ni kusifia ujinga na wasifiaji wenyewe ni clueless (ili mradi tu), sio Lissu tu a majority ndio walewale.

Wenzake serikalini wanamwambia tuache tufanye yetu, yeye japo hajui lolote ni kuropoka tu negative na upuuzi wake wa MIGA nonsense na kurudia hadithi zake na Dr Nshala za mazingira huko Mara zama za kale, etc. With stupidity,

He is not a patriot at all but self serving politician at all cost for his political mileage
Tunaongozwa na majambazi...!
 
Tulisha sema...wakimalizana na sisi walala hoi...wataanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe...

Mpaka sasa bado moja tu...tunalingoja wanaojiona viongozi kuanza kufungwa kamba kwa uenda wazimu watakao upata...!​
 
Back
Top Bottom