ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Serikali haigawi pesa,sema wewe huyaoni usijumuishe na wanaojituma nyie wapiga domo hamtakiwi kuona hata mia 🤣🤣Kwenye akaunti zenu kuna mlima wa hela na uchumi mzuri
Lakini sisi wenye nchi hayo madubwasha hatuyaoni. Hebu tupatieni tochi tutafute hizo margins za ukuaji uchumi
Kwa hiyo hao uliowanakili ndiyo hao wapuuzi wanaolizamisha Taifa letu bila soni wala aibu?Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.
Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani
Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila soni wala aibu
Lucas mwashambwa ChoiceVariable johnthebaptist Mshana Jr
Unajitekenya then unacheka mwenyeweCcm? [emoji2961][emoji2961]
Napenda sana nikisikia ulalamishi wa nyie nyumbu Kwa sababu mshaambiwa Kuna upungufu wa megawatt 300 plus sababu ya ukame na umeme utatengamaa baada ya miezi 6 yet mnalalamika kama Watoto wadogo wasiojitambua.huku walikata ijumaa, jmosi ukawaka, wakakata jpili, j3 ukawaka
leo wamekata asubuhi, wakarudisha saa 7
wamekata tena mda huu swafi kabisa
Siyo umeme tu. Kashindwa kusimamia kodi zetu. Watu wanajipigia tu.Ndio kazi iliyobaki baada ya Serikali ya sa100 kufeli kwenye umeme
Nchi imekuwa ya ajabu snKabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.
Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani
Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila soni wala aibu
Lucas mwashambwa ChoiceVariable johnthebaptist Mshana Jr
Uchumi wa kina Dr Mpango wa kwenye makaratasiKabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.
Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani
Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila soni wala aibu
Lucas mwashambwa ChoiceVariable johnthebaptist Mshana Jr
Ni wale wale tu. Ni kama Mkurugenzi wa Tanesco akienda Somalia ataisifia Kwa kuimarisha Amani ili hali anajua ukweli.Lini Tanzania hii umeme ukiacha kukatika au haukuwahi kukatika? Harafu usikariri kwamba Kila Mkoa umeme unakatika.
Uliza wanaopata umeme kutoka Uganda na Zambia kama umeme unakatika.
Mwisho hakuna Cha uchawa ni facts kwenda mbele au kwenu huko hakuna shule za Samia?
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1714315415386562693?t=8ynwPl-_TSpTg9KAEwg3Jw&s=19
Kama hakuna amani angewezaje kwenda sasaNi wale wale tu. Ni kama Mkurugenzi wa Tanesco akienda Somalia ataisifia Kwa kuimarisha Amani ili hali anajua ukweli.
Tanzania haijawahi kuwa na uchumi wa kati zile zilikuwa fix tu jpm na hakuna aliyekuwa na uwezo wa kuhoji chochote. Nchi ilikuwa ianendeshwa gizani japo umeme ulikuwepo. Sasa hivi nchi inaendeshwa kwenye mwanga japo umeme haupoKabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.
Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani
Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila soni wala aibu
Lucas mwashambwa ChoiceVariable johnthebaptist Mshana Jr
WB na IMF walikuwa nao wanaburuzwa na JPM?Tanzania haijawahi kuwa na uchumi wa kati zile zilikuwa fix tu jpm na hakuna aliyekuwa na uwezo wa kuhoji chochote. Nchi ilikuwa ianendeshwa gizani japo umeme ulikuwepo. Sasa hivi nchi inaendeshwa kwenye mwanga japo umeme haupo
Ndiyo. Kwa sababu walitoa maoni Yao jpm akagoma yasisomwe popote mpaka bungeni wakapigwa Pini halafu baada ya siku kadhaa akatangaza tumeingia uchumi wa kati mpaka WB na IMF wakashangaa.WB na IMF walikuwa nao wanaburuzwa na JPM?
Fix au wewe ndio unaleta fix? Tanzania tuko uchumi wa kati since then up to now.Tanzania haijawahi kuwa na uchumi wa kati zile zilikuwa fix tu jpm na hakuna aliyekuwa na uwezo wa kuhoji chochote. Nchi ilikuwa ianendeshwa gizani japo umeme ulikuwepo. Sasa hivi nchi inaendeshwa kwenye mwanga japo umeme haupo
Income unaijua maana yake? Tofautisha kati ya income, money, fund,bliquidity, capital.Fix au wewe ndio unaleta fix? Tanzania tuko uchumi wa kati since then up to now.
Kutoka wastani wa Dola 2 Kwa siku Sasa tuko Dola 3 Kwa siku sawa na 2.8m income per year
Unajua vigezo vya kuwa Lower Middle Income? Per Capita ya Tanzania ni ngapi?Income
Income unaijua maana yake? Tofautisha kati ya income, money, fund,bliquidity, capital.
Uchumi wa kati kwa Dola 3 kwa siku sawa na $1080/mwaka? Uko serious au unaota?Fix au wewe ndio unaleta fix? Tanzania tuko uchumi wa kati since then up to now.
Kutoka wastani wa Dola 2 Kwa siku Sasa tuko Dola 3 Kwa siku sawa na 2.8m income per year
Itakuwa China ya Chinangali. Iko mkoa wa dodomaChina gani hiyo ambayo ukame ulitokea ukasababisha mgao wa umeme?
Au China ya mitaa yenu... Kenya penyewe hawana shida ya umeme, alafu unalinganisha China na Tanzania... Yani china kuwe na shida ya mgao wa umeme... Mwaka juzi gani, weka link hapa ya kuonesha China kulikuwa na mgao mwaka juzi? China ukikatika umeme hata nusu saa ni hasara kwa taifa
Sawa na mil.2.8 Kwa mwaka ambayo ndio average ya Taifa.Uchumi wa kati kwa Dola 3 kwa siku sawa na $1080/mwaka? Uko serious au unaota?
Kigwa naye ameona apige uchawa, ili mama amkumbuke kwenye teuzi zake?Sio kazi ya Rais kukulimia tena nasikiyika saizi imeshuka kidogo ilitakiwa ipande zaidi Ili tupige pesa.
Samia anatuheshimisha wakulima anaitwa mama wa Taifa game changer
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1714285962182946922?t=VbMNtWRWpBefZ6qddUH23w&s=19