Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

Alikuambia ile ni kampeni nani ?? Mbona mnaweweseka sana nyinyi chadomo!! K
Like ni Tamasha tu , hata nyinyi mnaweza kuandaa mkawaita wasanii wenu wamsupport huyo Tundu!.. Hakuna kampeni hapo.
 
Wasalaam, najua hapa ban inanihusu.

Jana nimeangalia tamasha la ccm uwanja wa Uhuru kiukweli lilifana maana lilikua live kupitia TV ya taifa TBC, naomba kuuliza tu kwa anaejua kila msanii aliliopwa sh ngapi? Ile sio bongo?
 
Hakuna malipo ni amri tu wanapewa,mwaka huu watatumikishwa kama punda ujira ni kula,kunywa,kulala bure
 
Itakusaidia nini? Si afadhali uende waulize ama matatu wewe wataka kuwa msanii?
 
Wasalaam, najua hapa ban inanihusu.

Jana nimeangalia tamasha la ccm uwanja wa Uhuru kiukweli lilifana maana lilikua live kupitia TV ya taifa TBC, naomba kuuliza tu kwa anaejua kila msanii aliliopwa sh ngapi? Ile sio bongo?
Milioni 200 kwa kila mwezi mpaka siku ya kuapishwa yethu
 
Wasalaam, najua hapa ban inanihusu.

Jana nimeangalia tamasha la ccm uwanja wa Uhuru kiukweli lilifana maana lilikua live kupitia TV ya taifa TBC, naomba kuuliza tu kwa anaejua kila msanii aliliopwa sh ngapi? Ile sio bongo?
Mchomvu CHADEMA tumeongezea Dau kwa kutuangushia lile Nyumbu Mbasha
 
Mchomvu alikuwa na gadhabu kubwa baada ya kuona familia yake ya CMG kubamizwa faini na kufungiwa kipindi na CCM ya Magu..so njaa imemfanya awe mc kishingo upande kwenye like tamasha lao

Halafu huyo Mbasha anamjia kiboyaboya tu hata ningekuwa Mimi ningembutua na dochi juu ningemkandamizia.
 
Wasalaam, najua hapa ban inanihusu.

Jana nimeangalia tamasha la ccm uwanja wa Uhuru kiukweli lilifana maana lilikua live kupitia TV ya taifa TBC, naomba kuuliza tu kwa anaejua kila msanii aliliopwa sh ngapi? Ile sio bongo?
Ha in a kulipwa hio.
Ukijiweeka pembeni au nyuma nyuma unaletewa koddi ya tea bili ndefu
 
Thithiem
 
Attachments

  • IMG-20200815-WA0021.jpg
    IMG-20200815-WA0021.jpg
    83.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom