Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
Unataka kuona Lozari za mbao misalaba subiri Padre Slaa akienda kuchukuwa fomu ya urais.
Wewe acha hizo,kwa sasa Baba wa Taifa hana uhai?Sasa Membe aliongea vipi na mtu ambae hana uhai?View attachment 258169
Membe na Nyerere wana historia ndefu sana. Hivyo ni muhimu kwake kutafuta busara za baba wa taifa pamoja na kwamba ni hayati sasa.
Kichwani ni empty hana ubongo imebaki fuvu
Membe: Nitakomesha ulevi
hahahahaha eti kuwapa uwezo wanawake waache wanaume!!! Huyu Mwehu Category A ...