Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Si ndio hao walitaka kupindua nchi na kumuua Raisi, Nyerere?Tulishawahi kuwa nao huko nyuma lakini hawakufikia madaraka makubwa kiasi hicho enzi za miaka ya 60 na 80s walikuwepo wengi tu. Hanspope na Hatibu Gandhi (Hatty McGee)
Umemsahau bryceson mwana kinondoniMajor Gen Walden, Brigadier Catles, Jullie Manning, Amir Jamal, Al-Noor Kassum
Kusoma kidogo tu matusi ya kingeleza kweli hii nchi ina vilaza wengi.Men of immense wisdom understood my statement perfectly well,if your half-life induced brain fails then its no business of mine.Rubbish ow that's even your monika
Most of Tanzanians are not civilized even dual citizenship is a problemMkuu wa kikosi cha Anga cha jeshi la Zambia, Lt. General Collin Barry.
Rais wa sasa Hakainde Hichilema alipokuwa anakusanya kikosi kazi ameamua kumchukua m_skottish Collin Barry asaidie kuipeleka mbele Zambia.
Pamoja na kukulia na kusomea Zambia na wazazi wake ubaguzi kwa nchini humo haukuwa na nafasi kumfanya asiendeleze hisia na kipaji kilichomfikisha hapo alipo.
Nini kinashindikana hapa nchini?
View attachment 1916496
I've determined your stupidity through the first comment you quoted me.Kusoma kidogo tu matusi ya kingeleza kweli hii nchi ina vilaza wengi.
Hivi mkuu, ule ukoo wa Manning bado upo pale Igurusi Mbeya?Major Gen Walden, Brigadier Catles, Jullie Manning, Amir Jamal, Al-Noor Kassum
Mkuu wa kikosi cha Anga cha jeshi la Zambia, Lt. General Collin Barry.
Rais wa sasa Hakainde Hichilema alipokuwa anakusanya kikosi kazi ameamua kumchukua m_skottish Collin Barry asaidie kuipeleka mbele Zambia.
Pamoja na kukulia na kusomea Zambia na wazazi wake ubaguzi kwa nchini humo haukuwa na nafasi kumfanya asiendeleze hisia na kipaji kilichomfikisha hapo alipo.
Nini kinashindikana hapa nchini?
View attachment 1916496
Ilikuaje mkuu...short story kidogoMmoja alikusanya pembe zetu.
Hatutaki hiyo kitu, uzalendo kwanza.
Mshamba wa wageni ameshapatikanaKwa hatia hiyo ninaamini serikali yake itafanya vizuri.
Ngozi nyeupe Wana kitu cha ziada kichwani kuliko sisi
ndio waafrika tunatakiwa tuwapende waafrika wenzetu tuache shobo na watoto wa wakoloniSi ndio hao walitaka kupindua nchi na kumuua Raisi, Nyerere?
Sio kitu kigeni bongo,unless kama hujuhi historia ya JWTZ,Mkuu wa kikosi cha Anga cha jeshi la Zambia, Lt. General Collin Barry.
Rais wa sasa Hakainde Hichilema alipokuwa anakusanya kikosi kazi ameamua kumchukua m_skottish Collin Barry asaidie kuipeleka mbele Zambia.
Pamoja na kukulia na kusomea Zambia na wazazi wake ubaguzi kwa nchini humo haukuwa na nafasi kumfanya asiendeleze hisia na kipaji kilichomfikisha hapo alipo.
Nini kinashindikana hapa nchini?
View attachment 1916496
Manyonyaji makubwa mlio jivika koti LA uzalendo uchwala ndiyo mnapinga wageni kupewa nafasi nyeti katika serikali.Mshamba wa wageni ameshapatikana
Hao ilikuwa sahihi sababu bado mfumo wa serikali kiutawala ulikuwa bado haujawa na nguvu kusimamiwa na majority kubwa ya wazawa.Tulishawahi kuwa nao huko nyuma lakini hawakufikia madaraka makubwa kiasi hicho enzi za miaka ya 60 na 80s walikuwepo wengi tu. Hanspope na Hatibu Gandhi (Hatty McGee)