Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Si ndio hao walitaka kupindua nchi na kumuua Raisi, Nyerere?Tulishawahi kuwa nao huko nyuma lakini hawakufikia madaraka makubwa kiasi hicho enzi za miaka ya 60 na 80s walikuwepo wengi tu. Hanspope na Hatibu Gandhi (Hatty McGee)