KUTOKA ZAMBIA: Hii ifungue njia kwa Watanzania wenye asili ya Kihindi na Kiarabu kuwa wakuu wa Majeshi

KUTOKA ZAMBIA: Hii ifungue njia kwa Watanzania wenye asili ya Kihindi na Kiarabu kuwa wakuu wa Majeshi

Mkuu wa kikosi cha Anga cha jeshi la Zambia, Lt. General Collin Barry.

Rais wa sasa Hakainde Hichilema alipokuwa anakusanya kikosi kazi ameamua kumchukua m_skottish Collin Barry asaidie kuipeleka mbele Zambia.

Pamoja na kukulia na kusomea Zambia na wazazi wake ubaguzi kwa nchini humo haukuwa na nafasi kumfanya asiendeleze hisia na kipaji kilichomfikisha hapo alipo.

Nini kinashindikana hapa nchini?

View attachment 1916496
Most of Tanzanians are not civilized even dual citizenship is a problem
 
Hawa watu wametuumiza sana..hakuna kuwapa nafasi ndani ya serikali au utumishi waumma..historia itufunze.

#MaendeleoHayanaChama
 
Major Gen Walden, Brigadier Catles, Jullie Manning, Amir Jamal, Al-Noor Kassum
Hivi mkuu, ule ukoo wa Manning bado upo pale Igurusi Mbeya?

Walden au "Black mamba" bado kidogo awe mkuu wa majeshi wakati mzee Mwinyi alipoingia baada ya Nyerere.

Nafikiri kulikuwa na kampeni fulani hivi juu yake na jina lake likapigwa chini.

Na inasemwa kuwa Mzee Mwinyi alimwita Walden na kumwambia yeye ana sifa zote za kuwa mkuu wa majeshi lakini isingewezekana.

Sidhani kama Mzee Mwinyi ameeleza hii kitu kwenye kile kitabu chake.

Walden ndie aliehakikisha baada ya Amini kuondolewa Kampala kwenye vita ya Uganda mji unatulia na kuna kuwa na amani akitumia kikosi chake maalum.

Pia Walden ndie akiehakikisha majeshi yote ya Tanzania yanarudi salama nchini baada ya vita.
 
Mkuu wa kikosi cha Anga cha jeshi la Zambia, Lt. General Collin Barry.

Rais wa sasa Hakainde Hichilema alipokuwa anakusanya kikosi kazi ameamua kumchukua m_skottish Collin Barry asaidie kuipeleka mbele Zambia.

Pamoja na kukulia na kusomea Zambia na wazazi wake ubaguzi kwa nchini humo haukuwa na nafasi kumfanya asiendeleze hisia na kipaji kilichomfikisha hapo alipo.

Nini kinashindikana hapa nchini?

View attachment 1916496

John Butler Walden.jpg

Major General John Butler Walden (Black Mamba)
 
Zâmbia imekuwaje tena!? Hivi unaanzajeanzaje kumwamini mdosi,mwarabu na Mungu!?
Nalog off
 
Mkuu wa kikosi cha Anga cha jeshi la Zambia, Lt. General Collin Barry.

Rais wa sasa Hakainde Hichilema alipokuwa anakusanya kikosi kazi ameamua kumchukua m_skottish Collin Barry asaidie kuipeleka mbele Zambia.

Pamoja na kukulia na kusomea Zambia na wazazi wake ubaguzi kwa nchini humo haukuwa na nafasi kumfanya asiendeleze hisia na kipaji kilichomfikisha hapo alipo.

Nini kinashindikana hapa nchini?

View attachment 1916496
Sio kitu kigeni bongo,unless kama hujuhi historia ya JWTZ,
Alikuwepo General Warden,huyu alikuwa chotara(mzungu na mhehe)alikuwepo Kapten Kashimir,muarab kabisa,
 
Mshamba wa wageni ameshapatikana
Manyonyaji makubwa mlio jivika koti LA uzalendo uchwala ndiyo mnapinga wageni kupewa nafasi nyeti katika serikali.
Hamna exposure, wevi na wajinga wa kutupwa ndiyo mmekabidhiwa nchi.
Mkisikia watu wenye exposure wanapewa nafasi mnanuna.
Shame on you na ccm wenzio
 
tulishawahi kuwa na generali JB waden maarufu kama black mamba alikuwa ni mzungu mwenye asiri ya uingereza, alitamba sana kwenye vita ya kagera ila kwa sasa ni marehemu
 
Tulishawahi kuwa nao huko nyuma lakini hawakufikia madaraka makubwa kiasi hicho enzi za miaka ya 60 na 80s walikuwepo wengi tu. Hanspope na Hatibu Gandhi (Hatty McGee)
Hao ilikuwa sahihi sababu bado mfumo wa serikali kiutawala ulikuwa bado haujawa na nguvu kusimamiwa na majority kubwa ya wazawa.

So tunataka kizazi kipya cha kihindi, kiarabu chenye damu ya Kikulya, Kimang'ati, Kichaga, Kingoni as unaona damu ya kizanzibari iliyokulia kisarawe inajinasibu ni Mtanganyika.
JUAN MANUEL
 
Back
Top Bottom