Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.
Hebu viongozi wa sasa mnatakiwa myaishi maisha ya Hayati Sokoine wa kutotamani maisha ya starehe na kutojilimbizia Mali ya aina yoyote Kwa ufisadi.
Hebu tujiulize ni viongozi wangapi wa hivi sasa wanayaishi maisha ya Marehemu Sokoine ya uadilifu wa hali ya juu sana na kutotaka kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi??