Kutokana na kauli ya Rais Samia, kuwataka viongozi waige mfano wa uongozi wa Sokoine. Swali la kujiuliza ni viongozi wangapi wa sasa ni waadilifu?

Mystery

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
15,843
Reaction score
31,057
Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.

Hebu viongozi wa sasa mnatakiwa myaishi maisha ya Hayati Sokoine wa kutotamani maisha ya starehe na kutojilimbizia Mali ya aina yoyote Kwa ufisadi.

Hebu tujiulize ni viongozi wangapi wa hivi sasa wanayaishi maisha ya Marehemu Sokoine ya uadilifu wa hali ya juu sana na kutotaka kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi??
 
Wanamwangalia tu halafu wanaenda kuchekea pembeni
Huwa najiuliza hivi huyu Mama huwa anazisoma hizi hotuba, akiwa anamaanisha kweli??

Kwa kuwa yeye mwenyewe ndiyo "kinara" wa ufisadi unaotokea hapa nchini, hivi sasa!

Hivi kama wewe mwenyewe ndiyo unayeongoza kwa kupiga "madili" utawezaje kuwaambia wasaidizi wako waache huo ufisadi??

Wameigeuza hii nchi yetu kama shamba la bibi, viongozi wanashindana kuwa mabilionea Kwa Kula Kwa urefu wa kamba zao!😳
 
Kitu unachoandikiwa hakitoki moyoni
 
Ukweli maza ni zaidi ya tatizo kwa nchi yetu
 
Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.

Hebu viongozi wa sasa mnatakiwa myaishi maisha ya Hayati Sokoine wa kutotamani maisha ya starehe na kutojilimbizia Mali ya aina yoyote Kwa ufisadi.

Hebu tujiulize ni viongozi wangapi wa hivi sasa wanayaishi maisha ya Marehemu Sokoine ya uadilifu wa hali ya juu sana na kutotaka kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi??
Yeye mwenyewe kaji include? Au anaona tayari anaiga mfano wa Sokoine?
 
Kwa kuwa ni lazima wewe kiongozi Mkuu uonyeshe mfano, Ili wasaidizi wako wakuige.

Ni dhahiri, hawa wateule wake Rais, wanafuata nyayo za Boss wao, za kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi😳
 
Uadilifu wa kina Sokoine,Waryoba,Butiku,Kawawa nk ulitokana na uadilifu na uzalendo wa kiongozi wao, Nyerere! Wakati wa Nyerere tuliisikia Butiama kama Kijiji cha Ujamaa tu.

Baada ya hapo tumeona Kila rangi na kusikia wizi kila kona.Tumeona kijiji cha Chato kikijengewa hadi International Airport.Sasa hivi imegeuka Gbadolite ya Tanzania.Huyu anayehubiri uadilifu naye ameanzisha paradise in the jungle huko porini kwao Kizimkazi!
 
Huwa najiuliza hivi huyu Mama huwa anazisoma hizi hotuba, akiwa anamaanisha kweli??

Kwa kuwa yeye mwenyewe ndiyo "kinara" wa ufisadi unaotokea hapa nchini, hivi sasa!

Hivi kama wewe mwenyewe ndiyo unayeongoza kwa kupiga "madili" utawezaje kuwaambia wasaidizi wako waache huo ufisadi??

Wameigeuza hii nchi yetu kama shamba la bibi, viongozi wanashindana kuwa mabilionea Kwa Kula Kwa urefu wa kamba zao!😳
Unakumbuka kauli ya kula kwa urefu wa kamba? Pale ndio kipenga kilipulizwa
 
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyet wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
 
Huwa najiuliza hivi huyu Mama huwa anazisoma hizi hotuba, akiwa anamaanisha kweli??

Kwa kuwa yeye mwenyewe ndiyo "kinara" wa ufisadi unaotokea hapa nchini, hivi sasa!

Hivi kama wewe mwenyewe ndiyo unayeongoza kwa kupiga "madili" utawezaje kuwaambia wasaidizi wako waache huo ufisadi??

Wameigeuza hii nchi yetu kama shamba la bibi, viongozi wanashindana kuwa mabilionea Kwa Kula Kwa urefu wa kamba zao!😳
Unakumbuka kauli ya kula kwa urefu wa kamba? Pale ndio kipenga kilipulizwa

View: https://x.com/TanzaniaLeaks/status/1840571872745824351?t=oeq82o8kY-wE9vQAo_Fr4Q&s=19
 
Huwa najiuliza hivi huyu Mama huwa anazisoma hizi hotuba, akiwa anamaanisha kweli??

Kwa kuwa yeye mwenyewe ndiyo "kinara" wa ufisadi unaotokea hapa nchini, hivi sasa!

Hivi kama wewe mwenyewe ndiyo unayeongoza kwa kupiga "madili" utawezaje kuwaambia wasaidizi wako waache huo ufisadi??

Wameigeuza hii nchi yetu kama shamba la bibi, viongozi wanashindana kuwa mabilionea Kwa Kula Kwa urefu wa kamba zao!😳
Unafiki na uzandiki limekuwa janga la Taifa
Unakuta mpaka viongozi ww Dini wanafanya mambo ya hovyo na wanafurahia maisha kwa unafiki wao
Ukiwa muadilifu wanakuuwa
 
Back
Top Bottom