MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
The fish rots from the head
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye mwenyewe anamuiga Edward Moringe Sokoine au ni kauli ya "kisiasa"Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.
Hebu viongozi wa sasa mnatakiwa myaishi maisha ya Hayati Sokoine wa kutotamani maisha ya starehe na kutojilimbizia Mali ya aina yoyote Kwa ufisadi.
Hebu tujiulize ni viongozi wangapi wa hivi sasa wanayaishi maisha ya Marehemu Sokoine ya uadilifu wa hali ya juu sana na kutotaka kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi??
Kwa hiyo wana mchomekea kwa faida ya wasikilizajiKitu unachoandikiwa hakitoki moyoni
Mtani nimecheka hapa ofisini mpaka watu wananishangaa duh!Wanamwangalia tu halafu wanaenda kuchekea pembeni
Wana mipango yao, kiongozi anaetoa madini kutoka kichwan si rahis kufanganyikaKwa hiyo wana mchomekea kwa faida ya wasikilizaji
Atoe agizo kila kiongozi serikalini na CCM lazima anunue na atembee nacho kitabu hicho mkononi mwake.Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.
Hebu viongozi wa sasa mnatakiwa myaishi maisha ya Hayati Sokoine wa kutotamani maisha ya starehe na kutojilimbizia Mali ya aina yoyote Kwa ufisadi.
Hebu tujiulize ni viongozi wangapi wa hivi sasa wanayaishi maisha ya Marehemu Sokoine ya uadilifu wa hali ya juu sana na kutotaka kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi??
Tuanzie na yeye kwanza ni muadilifu? Mzalendo? Anachukia wizi na rushwa? Anaonyesha kwa vitendo?Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.
Hebu viongozi wa sasa mnatakiwa myaishi maisha ya Hayati Sokoine wa kutotamani maisha ya starehe na kutojilimbizia Mali ya aina yoyote Kwa ufisadi.
Hebu tujiulize ni viongozi wangapi wa hivi sasa wanayaishi maisha ya Marehemu Sokoine ya uadilifu wa hali ya juu sana na kutotaka kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi??
Unakumbuka kauli ya kula kwa urefu wa kamba? Pale ndio kipenga kilipulizwa
View: https://x.com/TanzaniaLeaks/status/1840571872745824351?t=oeq82o8kY-wE9vQAo_Fr4Q&s=19
Samaki huoza kuanzia kichwani 😂,,, nadhani yeye na mvaa tai ya bendera wangeanza kuyaishi maisha ya Sokoine kwa kuuza vyote walivyonavyo na kubakia na mshahara na usafiri wa ofisi ya umma tu.Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu mkubwa na hakupenda kabisa ufisadi na yeye mwenyewe alikuwa ni mfano Kwa kutojilimbikizia Mali ya aina yoyote Ile.
Hebu viongozi wa sasa mnatakiwa myaishi maisha ya Hayati Sokoine wa kutotamani maisha ya starehe na kutojilimbizia Mali ya aina yoyote Kwa ufisadi.
Hebu tujiulize ni viongozi wangapi wa hivi sasa wanayaishi maisha ya Marehemu Sokoine ya uadilifu wa hali ya juu sana na kutotaka kujilimbikizia Mali Kwa njia ya ufisadi??
Anavichukia ila kwa sasa nalo analiangalia.Tuanzie na yeye kwanza ni muadilifu? Mzalendo? Anachukia wizi na rushwa? Anaonyesha kwa vitendo?
Ngoja tumalizie Kizimkazi maana vifaa vipo njiani.Samaki huoza kuanzia kichwani 😂,,, nadhani yeye na mvaa tai ya bendera wangeanza kuyaishi maisha ya Sokoine kwa kuuza vyote walivyonavyo na kubakia na mshahara na usafiri wa ofisi ya umma tu.
yeye amesema hajawahi kuua hata sisimizi!Sokoine hakupenda majambazi na wauwaji.mambo ya utekaji hayakuwepo kabisa tofauti na hii awamu ya mama mauwaji yamekuwa Kila siku.
Wewe isipende kutoa vitisho.Huyo mwamba mmempa bia alafu malipo yake sasa mnamchom humid mtandaoni.Hapo mmeshamuuza kesho na keshokutwa akidakwa na Wasiojulikana mtaanza kushangaa.
Tena unaumiza sana tena sana tuuu...........yeye amesema hajawahi kuua hata sisimizi!
Hii lugha inaumiza sana sana!
Wewe isipende kutoa vitisho.
Kwani kosa lake huyo mwamba ni Nini??
Je kutoa mawazo yako, imekuwa ni kosa ambalo unastahili kupotezwa??😗ma hakuna toshio basi hilo ndio ombi langu.
Basi kama hakuna kitisho chochote kwake hiyo ndio sala yangu.Wewe isipende kutoa vitisho.
Kwani kosa lake huyo mwamba ni Nini??
Je kutoa mawazo yako, imekuwa ni kosa ambalo unastahili kupotezwa??😗
Hakuna mwadilifu hata mmoja sahvUnafiki na uzandiki limekuwa janga la Taifa
Unakuta mpaka viongozi ww Dini wanafanya mambo ya hovyo na wanafurahia maisha kwa unafiki wao
Ukiwa muadilifu wanakuuwa