Kutokana na kauli ya Rais Samia, kuwataka viongozi waige mfano wa uongozi wa Sokoine. Swali la kujiuliza ni viongozi wangapi wa sasa ni waadilifu?

Yeye mwenyewe anamuiga Edward Moringe Sokoine au ni kauli ya "kisiasa"
 
Atoe agizo kila kiongozi serikalini na CCM lazima anunue na atembee nacho kitabu hicho mkononi mwake.
 
Tuanzie na yeye kwanza ni muadilifu? Mzalendo? Anachukia wizi na rushwa? Anaonyesha kwa vitendo?
 
Samaki huoza kuanzia kichwani πŸ˜‚,,, nadhani yeye na mvaa tai ya bendera wangeanza kuyaishi maisha ya Sokoine kwa kuuza vyote walivyonavyo na kubakia na mshahara na usafiri wa ofisi ya umma tu.
 
Samaki huoza kuanzia kichwani πŸ˜‚,,, nadhani yeye na mvaa tai ya bendera wangeanza kuyaishi maisha ya Sokoine kwa kuuza vyote walivyonavyo na kubakia na mshahara na usafiri wa ofisi ya umma tu.
Ngoja tumalizie Kizimkazi maana vifaa vipo njiani.
 
Sokoine hakupenda majambazi na wauwaji.mambo ya utekaji hayakuwepo kabisa tofauti na hii awamu ya mama mauwaji yamekuwa Kila siku.
 
Huyo mwamba mmempa bia alafu malipo yake sasa mnamchom humid mtandaoni.Hapo mmeshamuuza kesho na keshokutwa akidakwa na Wasiojulikana mtaanza kushangaa.
Wewe isipende kutoa vitisho.

Kwani kosa lake huyo mwamba ni Nini??

Je kutoa mawazo yako, imekuwa ni kosa ambalo unastahili kupotezwa??πŸ˜—
 
yeye amesema hajawahi kuua hata sisimizi!
Hii lugha inaumiza sana sana!
Tena unaumiza sana tena sana tuuu...........

Hivi wewe kama ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote, utawezaje kujiepusha na hiyo kashfa, wakati hutaki kuunda Tume Huru ya kuchunguza kifo Cha Medy Kibao, Wala hutaki kuviagiza vyombo vyake vya ulinzi na usalama, viwarejeshe wakiwa hai au wamekufa, kina Soka na wenzie??

Vile vile hutaki kuwawajibisha Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni na mwezie IGP Camilius Wambura??
 
Wewe isipende kutoa vitisho.

Kwani kosa lake huyo mwamba ni Nini??

Je kutoa mawazo yako, imekuwa ni kosa ambalo unastahili kupotezwa??πŸ˜—ma hakuna toshio basi hilo ndio ombi langu.

Wewe isipende kutoa vitisho.

Kwani kosa lake huyo mwamba ni Nini??

Je kutoa mawazo yako, imekuwa ni kosa ambalo unastahili kupotezwa??πŸ˜—
Basi kama hakuna kitisho chochote kwake hiyo ndio sala yangu.
 
Yy mwenyewe kauza loliondo na bandari zetu kwa wajomba zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…