Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Waache watende kwa pupa. CIA is watching very carefullyMkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka ulaya na marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.
Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na huyo jamaa isiyoeleweka visifanye jambo kubwa litakaloathiri usalama bila kuwasiliana na Dodoma. Najua jamaa akifika ataanza kutoa amri za vitisho, karaha kwa kila mtu aliyepo Arusha.
Hii watalii hawapendi. Ni angalizo tu
hana hiyo ban tena US hawanaga gubu wala ustahimilivu ya kung"ang"ana na tuhuma za kusadikika kwa kipindi kirefu...Kule alienda kununua mbegu za kiume ili mkewe apandikizwe mimba, alizalia hapahapa
hahahah chadema kwa mawazo mgadoTushapoteza Watalii tayari , Kwaheri Royo Tuwa !
mulamula alishamaliza mambo kitambo tu..Huyo hakanyagi hata American Chips kinondoni
Bwana wako Daudi Albert Bashite ndiye muhalifu aliyepewa ukuu wa mkoa.Wewe ndiye mhalifu
π€π€π€.. Siyo kila Mda uchawi unafanya kazi...Sisi tunachoma samaki aina ya nguru(ananuka balaa) miksa ubani mashtaka na chumvi ya mawe, vitajibu tu
Daaah aiseeKule ataanza kuinda magenge ya kuteka watalii wenye mapesa mengi
Hatumtaki DSMNaunga mkono hoja, japo sio muuaji kwasababu hajashitakiwa popote!, ila ni kweli sio busara kumpeleka Geneva yetu mtu mwenye makandokando.
Huyu Makonda ana nyota kali sana!.
Safari ya mafanikio ya huyu kijana, inaendelea..., sasa ni Arusha, soon atarejea DSM, 2025 atashika jimbo na kuingia mjengoni.
Nampongeza huyu Mwamba, Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa yaani
RC, ila ilikuwa sio mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa!, kumpeleka mtu mwenye makandokando ya kunyimwa visa ya Marekani, kunaweza kusiwe na matokeo chanya kwa watalii wa Marekani ambao ndio watalii matajiri zaidi baada ya Waarabu!. Angeweza kurejeshwa DSM au mkoa mwingine wowote lakini sio Arusha!.
Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.
My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.
Japo siungi mkono hizi teua leo badilisha kesho, Waenezi 5, ndani ya miaka 5!
1. Polepole
2. Shaka
3. Mjema
4. Makonda
5. The upcoming one!.
Hi sio picha nzuri!, ila nasisitiza kuna tatizo kidogo mahali Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda tuendelee kumpa muda, ata stabilize.
Hongera Paul Makonda kurudishiwa u RC, very soon itathibitika huyu aliyepo kwenye u RC wa Mkoa wetu hawezi!, soon utarudishwa RC DSM, jiji litanyooka!.
P
P
Eti the system, hii hii ambayo imeruhusu nchi iendeshwe kwa rimoti Toka msoga!? Huwezi kuwa serious!Ikulu sio pango la wezi na wauaji, kuwa maarufu alikuwa Lowassa, but the system (not the voters) said Noooo!!! The system must feed the public with the best candidate for public interest
Nalo hili nenoWaache watende kwa pupa. CIA is watching very carefully
Kwa hiyo mwanae ndiye yeye!? Wewe unaweza kwenda kutumikia kifungo cha mwanao Gerezani!? Mbona akili zenu fyatu namna hii!hizo mambo za marekani ziliisha na mwanae ni raia wa huko wa kuzaliwa na kwahivyo anaweza kwenda at any time...
Hao wa Marekani wana usafi gani?Naunga mkono hoja, japo sio muuaji kwasababu hajashitakiwa popote!, ila ni kweli sio busara kumpeleka Geneva yetu mtu mwenye makandokando.
Huyu Makonda ana nyota kali sana!.
Safari ya mafanikio ya huyu kijana, inaendelea..., sasa ni Arusha, soon atarejea DSM, 2025 atashika jimbo na kuingia mjengoni.
Nampongeza huyu Mwamba, Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa yaani
RC, ila ilikuwa sio mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa!, kumpeleka mtu mwenye makandokando ya kunyimwa visa ya Marekani, kunaweza kusiwe na matokeo chanya kwa watalii wa Marekani ambao ndio watalii matajiri zaidi baada ya Waarabu!. Angeweza kurejeshwa DSM au mkoa mwingine wowote lakini sio Arusha!.
Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.
My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.
Japo siungi mkono hizi teua leo badilisha kesho, Waenezi 5, ndani ya miaka 5!
1. Polepole
2. Shaka
3. Mjema
4. Makonda
5. The upcoming one!.
Hi sio picha nzuri!, ila nasisitiza kuna tatizo kidogo mahali Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda tuendelee kumpa muda, ata stabilize.
Hongera Paul Makonda kurudishiwa u RC, very soon itathibitika huyu aliyepo kwenye u RC wa Mkoa wetu hawezi!, soon utarudishwa RC DSM, jiji litanyooka!.
P
P
Mpumbavu wewe! Magufuli alidhulumu chaguzi nchi nzima bila Makonda! Unakumbuka wakati huo Makonda alikuwa nani!? Wajinga mnapenda kumpa ukuu ambao hana. Mna memory ya kuku.Naona CHADEMA nzima mmechaganyikiwa kwa sasa maana mnajuwa kuwa mwakani hampati kitu katika uchaguzi mkuu
relax bas,Kwa hiyo mwanae ndiye yeye!? Wewe unaweza kwenda kutumikia kifungo cha mwanao Gerezani!? Mbona akili zenu fyatu namna hii!
πππ¨Naunga mkono hoja, japo sio muuaji kwasababu hajashitakiwa popote!, ila ni kweli sio busara kumpeleka Geneva yetu mtu mwenye makandokando.
Huyu Makonda ana nyota kali sana!.
Safari ya mafanikio ya huyu kijana, inaendelea..., sasa ni Arusha, soon atarejea DSM, 2025 atashika jimbo na kuingia mjengoni.
Nampongeza huyu Mwamba, Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa yaani
RC, ila ilikuwa sio mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa!, kumpeleka mtu mwenye makandokando ya kunyimwa visa ya Marekani, kunaweza kusiwe na matokeo chanya kwa watalii wa Marekani ambao ndio watalii matajiri zaidi baada ya Waarabu!. Angeweza kurejeshwa DSM au mkoa mwingine wowote lakini sio Arusha!.
Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.
My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.
Japo siungi mkono hizi teua leo badilisha kesho, Waenezi 5, ndani ya miaka 5!
1. Polepole
2. Shaka
3. Mjema
4. Makonda
5. The upcoming one!.
Hi sio picha nzuri!, ila nasisitiza kuna tatizo kidogo mahali Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda tuendelee kumpa muda, ata stabilize.
Hongera Paul Makonda kurudishiwa u RC, very soon itathibitika huyu aliyepo kwenye u RC wa Mkoa wetu hawezi!, soon utarudishwa RC DSM, jiji litanyooka!.
P
P
The mission atakua Arusha for sometimes,Hatumtaki DSM
Aende hukohuko mikoani.
Chalamila mtu wa watu kiuhalisia
Makonda ni kwenye media tu, kiutendaji ni msanii tu.
Chalamila abakie DSM kwa miaka 10
Hao mnaowaita wahuni mnawaogopa hata kufanya uchaguzi huru na WA haki hamtaki. Mnawaogopa wahuni na matapeli, kwani wananchi si ndio wanaowachagua!Hakuna upinzani Arusha bali kulikuwa na wahuni na matapeli aina ya Lema , ambao sasa mwisho wao umefika .
Shekhe Yahya! Wewe 2030 utakuwa nani!?Jibu ni moja tu Mwamba Makonda ni Rais wa Tanzania kuanzia 2030