Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka ulaya na marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.

Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na huyo jamaa isiyoeleweka visifanye jambo kubwa litakaloathiri usalama bila kuwasiliana na Dodoma. Najua jamaa akifika ataanza kutoa amri za vitisho, karaha kwa kila mtu aliyepo Arusha.

Hii watalii hawapendi. Ni angalizo tu
Waache watende kwa pupa. CIA is watching very carefully
 
Kule alienda kununua mbegu za kiume ili mkewe apandikizwe mimba, alizalia hapahapa
hana hiyo ban tena US hawanaga gubu wala ustahimilivu ya kung"ang"ana na tuhuma za kusadikika kwa kipindi kirefu...
 
Naunga mkono hoja, japo sio muuaji kwasababu hajashitakiwa popote!, ila ni kweli sio busara kumpeleka Geneva yetu mtu mwenye makandokando.

Huyu Makonda ana nyota kali sana!.
Safari ya mafanikio ya huyu kijana, inaendelea..., sasa ni Arusha, soon atarejea DSM, 2025 atashika jimbo na kuingia mjengoni.

Nampongeza huyu Mwamba, Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa yaani
RC, ila ilikuwa sio mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa!, kumpeleka mtu mwenye makandokando ya kunyimwa visa ya Marekani, kunaweza kusiwe na matokeo chanya kwa watalii wa Marekani ambao ndio watalii matajiri zaidi baada ya Waarabu!. Angeweza kurejeshwa DSM au mkoa mwingine wowote lakini sio Arusha!.

Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.

My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.

Japo siungi mkono hizi teua leo badilisha kesho, Waenezi 5, ndani ya miaka 5!
1. Polepole
2. Shaka
3. Mjema
4. Makonda
5. The upcoming one!.

Hi sio picha nzuri!, ila nasisitiza kuna tatizo kidogo mahali Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda tuendelee kumpa muda, ata stabilize.

Hongera Paul Makonda kurudishiwa u RC, very soon itathibitika huyu aliyepo kwenye u RC wa Mkoa wetu hawezi!, soon utarudishwa RC DSM, jiji litanyooka!.
P
P
Hatumtaki DSM

Aende hukohuko mikoani.

Chalamila mtu wa watu kiuhalisia

Makonda ni kwenye media tu, kiutendaji ni msanii tu.

Chalamila abakie DSM kwa miaka 10
 
Ikulu sio pango la wezi na wauaji, kuwa maarufu alikuwa Lowassa, but the system (not the voters) said Noooo!!! The system must feed the public with the best candidate for public interest
Eti the system, hii hii ambayo imeruhusu nchi iendeshwe kwa rimoti Toka msoga!? Huwezi kuwa serious!
 
hizo mambo za marekani ziliisha na mwanae ni raia wa huko wa kuzaliwa na kwahivyo anaweza kwenda at any time...
Kwa hiyo mwanae ndiye yeye!? Wewe unaweza kwenda kutumikia kifungo cha mwanao Gerezani!? Mbona akili zenu fyatu namna hii!
 
Naunga mkono hoja, japo sio muuaji kwasababu hajashitakiwa popote!, ila ni kweli sio busara kumpeleka Geneva yetu mtu mwenye makandokando.

Huyu Makonda ana nyota kali sana!.
Safari ya mafanikio ya huyu kijana, inaendelea..., sasa ni Arusha, soon atarejea DSM, 2025 atashika jimbo na kuingia mjengoni.

Nampongeza huyu Mwamba, Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa yaani
RC, ila ilikuwa sio mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa!, kumpeleka mtu mwenye makandokando ya kunyimwa visa ya Marekani, kunaweza kusiwe na matokeo chanya kwa watalii wa Marekani ambao ndio watalii matajiri zaidi baada ya Waarabu!. Angeweza kurejeshwa DSM au mkoa mwingine wowote lakini sio Arusha!.

Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.

My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.

Japo siungi mkono hizi teua leo badilisha kesho, Waenezi 5, ndani ya miaka 5!
1. Polepole
2. Shaka
3. Mjema
4. Makonda
5. The upcoming one!.

Hi sio picha nzuri!, ila nasisitiza kuna tatizo kidogo mahali Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda tuendelee kumpa muda, ata stabilize.

Hongera Paul Makonda kurudishiwa u RC, very soon itathibitika huyu aliyepo kwenye u RC wa Mkoa wetu hawezi!, soon utarudishwa RC DSM, jiji litanyooka!.
P
P
Hao wa Marekani wana usafi gani?

Wauaji wakubwa, karibia kila vita za nchi, kuna mkono wa Marekani

Kwanini wamwone Makonda muuaji na wamwogope kufanya utalii? Kwani ataua kila mtalii?

Mbona mawazo hasi sana hayaa.
 
Naona CHADEMA nzima mmechaganyikiwa kwa sasa maana mnajuwa kuwa mwakani hampati kitu katika uchaguzi mkuu
Mpumbavu wewe! Magufuli alidhulumu chaguzi nchi nzima bila Makonda! Unakumbuka wakati huo Makonda alikuwa nani!? Wajinga mnapenda kumpa ukuu ambao hana. Mna memory ya kuku.
 
Naunga mkono hoja, japo sio muuaji kwasababu hajashitakiwa popote!, ila ni kweli sio busara kumpeleka Geneva yetu mtu mwenye makandokando.

Huyu Makonda ana nyota kali sana!.
Safari ya mafanikio ya huyu kijana, inaendelea..., sasa ni Arusha, soon atarejea DSM, 2025 atashika jimbo na kuingia mjengoni.

Nampongeza huyu Mwamba, Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa yaani
RC, ila ilikuwa sio mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa!, kumpeleka mtu mwenye makandokando ya kunyimwa visa ya Marekani, kunaweza kusiwe na matokeo chanya kwa watalii wa Marekani ambao ndio watalii matajiri zaidi baada ya Waarabu!. Angeweza kurejeshwa DSM au mkoa mwingine wowote lakini sio Arusha!.

Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.

My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.

Japo siungi mkono hizi teua leo badilisha kesho, Waenezi 5, ndani ya miaka 5!
1. Polepole
2. Shaka
3. Mjema
4. Makonda
5. The upcoming one!.

Hi sio picha nzuri!, ila nasisitiza kuna tatizo kidogo mahali Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda tuendelee kumpa muda, ata stabilize.

Hongera Paul Makonda kurudishiwa u RC, very soon itathibitika huyu aliyepo kwenye u RC wa Mkoa wetu hawezi!, soon utarudishwa RC DSM, jiji litanyooka!.
P
P
📌📌🔨
 
Hatumtaki DSM

Aende hukohuko mikoani.

Chalamila mtu wa watu kiuhalisia

Makonda ni kwenye media tu, kiutendaji ni msanii tu.

Chalamila abakie DSM kwa miaka 10
The mission atakua Arusha for sometimes,
then Mwanza, na kalafu atahitimisha kazi maalumu akiwa Dar es Salaam.....
 
Hakuna upinzani Arusha bali kulikuwa na wahuni na matapeli aina ya Lema , ambao sasa mwisho wao umefika .
Hao mnaowaita wahuni mnawaogopa hata kufanya uchaguzi huru na WA haki hamtaki. Mnawaogopa wahuni na matapeli, kwani wananchi si ndio wanaowachagua!
 
Back
Top Bottom