Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

Naunga mkono hii paragraph yako. Ndani ya kipindi kifupi Makonda alikuwa tayari ameanza kuwafanya wananchi walo wengi (wapiga kura) waanze kuipenda CCM. Alikuwa ameanza kuifufua CCM ndani ndani ya mioyo ya wapiga kura.

Ukubwa wa mafuriko ya wanananchi (nyomi) kwenye kila sehemu alikopita, hayajawahi kutokea kwa kiongozi yo yote wa chama cho chote cha kisiasa hapa Tanzania. Alikuwa amewafunika kwa mbali hao wapinzani wakuu kutoka chama cha chadema na tulishuhudia mapovu yakiwatoka, wakilalamikia uteuzi wake kwenye nafasi hiyo. Waliona kuwa mtu huyu atatokomeza ndoto zao za kuchukua dola 2025.

Hivyo kuondolewa kwa Makonda kwenye kazi hiyo, chadema sasa wameshusha pumzi sambamba na wale wanafiki wa ccm waliotajwa na Makonda kwenye hotuba yake kwenye mapokezi ya ile ndege. Ni jambo jema kwake kwani alichokuwa anafanya ilikuwa inahatarisha usalama wake. Ni bora sana kwa usalama wake kwa kupewa hicho cheo cha uRC. Rais kafanya jambo jema kwake. Ni mchapakazi mzuri kwenye kila eneo. Tutegemee uchumi wa mkoa wa Arusha kupaa zaidi. Arusha haitakuwa na kero za wananchi, haitakuwa na mafisadi, wabadhilifu wa fedha za serikali, Arusha itakuwa ni ya Hapa Kazi Tu na kuwa mfano kwa mikoa mingine.

CCM ina watu wengj wenye vipaji vya kila aina. Hivyo wala hakuna wasi wasi wa kupata muenezi wa chama mwenye kiwango kikubwa. Na bado kwenye final match kuelekea uchaguzi wa 2025 ikibidi bado Makonda anaweza kupelekwa front line.
Mafuriko ya konyo, hao walikuwa wanasombwa kwenye malori kutoka kata zote, kwa hiyo hata yale magari zaidi ya 100 kwenye msafara yake ni sehemu ya mafuriko? Hovyo kabisa, hovyo kabisa, hovyo sana
 
Tatizo la kufikiria kisiasa badala ya kufikiria kitaifa. Makonda siyo muda wenzetu wa Kenya watawakumbusha wageni kwamba huyu yuko kwenye list ya Marekani na Ulaya kama haruhusiwi kwenda nchi zao.

Hii haitasaidia wageni wetu wa Arusha na Mbuga zetu.

Wangempeleka Mwanza.
MKUU UPO SAHIHI huyu mtu alipaswa kufichwa Lindi huko?
 
Tatizo la kufikiria kisiasa badala ya kufikiria kitaifa. Makonda siyo muda wenzetu wa Kenya watawakumbusha wageni kwamba huyu yuko kwenye list ya Marekani na Ulaya kama haruhusiwi kwenda nchi zao.

Hii haitasaidia wageni wetu wa Arusha na Mbuga zetu.

Wangempeleka Mwanza.
Au Nkasi na Namtumbo......ingependeza zaidi....awe DC
 
Utake usitake mamilioni ya watanzania wameshaamua kumpeleka ikulu Mwamba Mwenyewe Makonda

Mwanasiasa mzuri ni yule anayekubalika na wananchi na sio kupendwa na wanasiasa wenzie. Hii tabia ya kuwachafua watu wanakubalika na wananchi imepitwa na wakati.
Reality hapa bongo kupendwa na wanchi hakukupi uhakika wa kushika uongozi, halmashauri ikiamua haushiki nafasi yoyote, wananchi wa tz hawana power for a very long time
 
Hata km utalii utakufa potelea mbali kikubwa Ccm ishinde uchaguzi....

Ccm ni mbwa kabisa
 
Tatizo la kufikiria kisiasa badala ya kufikiria kitaifa. Makonda siyo muda wenzetu wa Kenya watawakumbusha wageni kwamba huyu yuko kwenye list ya Marekani na Ulaya kama haruhusiwi kwenda nchi zao.

Hii haitasaidia wageni wetu wa Arusha na Mbuga zetu.

Wangempeleka Mwanza.
Hakuna cha Mwanza, Shinyanga wala Tabora!
Huyu wangemtupa Kuleee!
🤬🤬🤬🤬🤬
 
Makonda bado MARUFUKU yake aliyopewa na TAIFA KUBWA la MAREKANI ipo pale pale.Marufuku hiyo ni kutokana na Vitendo vyake.

ARUSHA ni Jiji la WATALII wakiwemo wa kutoka MAREKANI na ULAYA

Je, Usalama wa hao WATALII chini ya RC MAKONDA Mtu hatari kwa MAREKANI aliyepigwa MARUFUKU itakuwaje?

Kama CCM inampenda sana MAKONDA imhamishie MKOA wa RUKWA au LINDI.
 
• Muda mwingine tujaribu kupunguza chuki..... Sioni faida yakumusema huyu jamaa kila sekunde..

• Ndani ya Siku mbili hizi, Ni Zaidi ya Threads 10, anajadiliwa Makonda... ☹️☹️

Nyota yake inawakaaaaa kama kawaida.. Ndivyo ilivyo, hakuna wa kuondoa hili.. tufurahie na yake 😅

Kazi iendelee...
 
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.
Bila shaka wahafidhina wa Ccm ni wale polepole aliwaita wahuni!
Kama ndio hao hawana malengo marefu mh, wanataka safari yake iwe fupi kwa kumsababisha afanye maamuzi yenye matokeo yalio tofauti na matarajio.
 
US akisema kitu sio lazima kiwe ndio kweli. Alituhumiwa kwa kuwanyima watu haki ya kuishi. Serikali ilipaswa kuchunguza hizo tuhuma za kimataifa.

Maana US aliwahi kusema Iraq kuna silaa za maangamizi, kumbe hazipo. Waliwahi kumuita mandela gaidi etc

Kimsingi US ni wajanjawajanja, vitu vyao vinatakiwa kuchunguzwa kabla ya kutumika kama rejea ya maamuzi ya kitaifa.
 
Makonda bado MARUFUKU yake aliyopewa na TAIFA KUBWA la MAREKANI ipo pale pale.Marufuku hiyo ni kutokana na Vitendo vyake.ARUSHA ni Jiji la WATALII wakiwemo wa kutoka MAREKANI na ULAYA
Je Usalama wa hao WATALII chini ya RC MAKONDA Mtu hatari kwa MAREKANI aliyepigwa MARUFUKU itakuwaje?
Kama CCM inampenda sana MAKONDA imhamishie MKOA wa RUKWA au LINDI.
Marufuku yake ni kuingia marekani si kuto kuteuliwa tanzania. Marekani hawana mandate ya nani tunamteua nchini, kuhusu watalui hatoeza kuhatarisha, labda kama haipendi kazi yake
 
Makonda atawanyoosha tu wenye kibri na jeuri huko Arusha, kiarusha ni kidogo sana kwa Dar and Mwz cities ila kana mambo, kuna watu wenye kibri sana, majambazi, wala unga na mauwaji ya wivu wa kimapenzi.
Actualy sema arusha mjini ndio dogo kwa dar, ila kwa ukubwa wa ardhi arusha ni kubwa kuliko dar, just asilimia kubwa ya mji ni mapori including vivutio
 
CHADEMA mmepagawa kabisa yaani,Threads 100 za makonda mshaziandika tangu apelekwe Arusha. Mbona hamjiamini..?
Sio kuwa hawajiamini bali wanasukumwa na uzalendo.
Maslahi ya Arusha na utalii kwa ujumla ni kwa manufaa ya Taifa na uelewe kuwa RC ni utumishi wa umma sio wa chama chenu ccm.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ni mwisho wenu mliokuwa mnafanya kazi ya ujambazi na utapeli wa magali.nilazima mtafute kazi halali kwa sasa
Kwa hiyo unataka kutudhibitishia kuwa chama chenu ni cha kipuuzi na hakifai kuwa madarakani?
Yaani watu ni wezi wa magari na ujambazi mnawajua huku mna vyombo vyote vya ulinzi na usalama mnashindwa kuwakamata na kuwapeleka mahakamani?
Sasa huo kama sio upuuzi ni nini? Mtaweza kweli kulinda rasilimali za nchi kama madini, miradi ya umma na mikataba?
We Lucas naona ni kama unatangaza ujinga wa chama chako tuu na jinsi kilivyo cha hovyo huku ukidhani unakipa promo.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja, japo sio muuaji kwasababu hajashitakiwa popote!, ila ni kweli sio busara kumpeleka Geneva yetu mtu mwenye makandokando.

Huyu Makonda ana nyota kali sana!.
Safari ya mafanikio ya huyu kijana, inaendelea..., sasa ni Arusha, soon atarejea DSM, 2025 atashika jimbo na kuingia mjengoni.

Nampongeza huyu Mwamba, Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa yaani
RC, ila ilikuwa sio mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa!, kumpeleka mtu mwenye makandokando ya kunyimwa visa ya Marekani, kunaweza kusiwe na matokeo chanya kwa watalii wa Marekani ambao ndio watalii matajiri zaidi baada ya Waarabu!. Angeweza kurejeshwa DSM au mkoa mwingine wowote lakini sio Arusha!.

Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.

My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.

Japo siungi mkono hizi teua leo badilisha kesho, Waenezi 5, ndani ya miaka 5!
1. Polepole
2. Shaka
3. Mjema
4. Makonda
5. The upcoming one!.

Hi sio picha nzuri!, ila nasisitiza kuna tatizo kidogo mahali Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda tuendelee kumpa muda, ata stabilize.

Hongera Paul Makonda kurudishiwa u RC, very soon itathibitika huyu aliyepo kwenye u RC wa Mkoa wetu hawezi!, soon utarudishwa RC DSM, jiji litanyooka!.
P
P
wakati unaandika mambo mengi hebu jipitishe kidogo kwenye shule ya sifa za kiongozi.
Makonda ni total disgrace!
Na ataendelea kukataliwa na kudumu popote katika hali ya kubebwa na unafiki katika kutumika na kutumiwa kisiasa.
Ni kama uwe na biashara haramu na unakaa karibu na liuaji ili ulitumie kudhibiti na kutisha ili biashara iende.
Damu za watu wasio na hatia na ukatili wake vitamtesa hadi kifo chake.
Wabaya wetu wanaweza kutumia mwanya huu kupenyeza agenda ya jamaa kuwa blacklisted na kufifisha utalii.
Naanza kuamini manongonezo ya historia nzuri kati ya mteua na mteuliwa.
 
Hana ubavu huo, aliweza wakati wa utawala wa jiwe, sasa hivi amechekecha kwenye chama tu wakam-flush, sasa hivi anatembea kwenye uzi mwembamba anajua mambo yako halijojo
Sasa mbona mke wa kipara unateseka nae sana?
 
Back
Top Bottom