Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Jaribu uoneMachqlii hayana lolote!
Ccm inawatiaga madole mpka ilibidi Lema akimbilie Cadana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu uoneMachqlii hayana lolote!
Ccm inawatiaga madole mpka ilibidi Lema akimbilie Cadana
Ni kawaida maana Tanzania inaongozwa na mazuzu na matahira asilimia 90%.Ndugu yangu Makonda ni national figure, halafu ana talent kubwa sana. Mtu ambaye alitamka kuwa Samia awe VP na ikawa, siyo wa mchezo.
Kwahiyo hawa wanaomjadili kwa dharau imekula kwao. Jamaa 2025 anaingia bungeni na anachukua uwaziri mapema sana
Nchi hii ukipata cheo jiangalie sana , Makonda hatakua na mda atatemwa maana ilionekana kuanza kuvamia kambi za watu wahuni kuliko anavyojua , ni swala la mda tu utasikia atapangiwa kazi nyingineMkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.
Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na huyo jamaa isiyoeleweka visifanye jambo kubwa litakaloathiri usalama bila kuwasiliana na Dodoma.
Najua jamaa akifika ataanza kutoa amri za vitisho, karaha kwa kila mtu aliyepo Arusha.
Hii watalii hawapendi. Ni angalizo tu
Hapana itakuwa wa Manzese kwa Mtogole🤣May be Rais wa sinza au manzese
sasa huyo makonda ndio big PUSHER hatariBiashara ya madawa ya kulevya imeota mbawa Arusha, tafuteni kazi zingine.
Onyo la Marekani litaanza kufanya kazi kwa wauwajiWatalii hawaji kwa kuangalia nani ni RC Arusha.
Nzi wa chooni kawekwa karibu na biriani la wageni.!!?Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.
Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na huyo jamaa isiyoeleweka visifanye jambo kubwa litakaloathiri usalama bila kuwasiliana na Dodoma.
Najua jamaa akifika ataanza kutoa amri za vitisho, karaha kwa kila mtu aliyepo Arusha.
Hii watalii hawapendi. Ni angalizo tu
Wewe unasemaje!! Huyu malaya wa GSM atampata na rchuga?Ac
Acha unyumbu wewe, hii ni ramli chonganishi, Makonda siyo mjinga kiasi hicho
Actualy sema arusha mjini ndio dogo kwa dar, ila kwa ukubwa wa ardhi arusha ni kubwa kuliko dar, just asilimia kubwa ya mji ni mapori including vivutio
Wewe unasemaje!! Huyu malaya wa GSM atampata na rchuga?
Lishangazi halina jipyaBiashara ya madawa ya kulevya imeota mbawa Arusha, tafuteni kazi zingine.
Lishangazi wakuteue mwenezi wa chama la vibakaNaona CHADEMA mnaweweseka sana na uteuzi wa Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Hii ni kwa kuwa mnatambua namna alivyo mchapa kazi na kiongozi mbunifu sana.hivyo mnafahamu kuwa ndio mwisho wa siasa zenu za janja janja .
Kaeni kwa kutulia maana mwamba akishakanyaga ardhi hiyo ya Arusha mtaona moto na mchaka mchaka wa maendeleo utakavyowaka hapo Arusha.
Hivi ule uchifu aliopewa Kusini Nyanda za juu na kwingineko wataupokonya au inakuwajeMkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.
Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na huyo jamaa isiyoeleweka visifanye jambo kubwa litakaloathiri usalama bila kuwasiliana na Dodoma.
Najua jamaa akifika ataanza kutoa amri za vitisho, karaha kwa kila mtu aliyepo Arusha.
Hii watalii hawapendi. Ni angalizo tu