Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

Ndugu yangu Makonda ni national figure, halafu ana talent kubwa sana. Mtu ambaye alitamka kuwa Samia awe VP na ikawa, siyo wa mchezo.

Kwahiyo hawa wanaomjadili kwa dharau imekula kwao. Jamaa 2025 anaingia bungeni na anachukua uwaziri mapema sana
Ni kawaida maana Tanzania inaongozwa na mazuzu na matahira asilimia 90%.
HIVI DUNIA IKISEMA VIONGOZI WENYE SIFA BORA ZA UONGOZI WATOKE MBELE TANZANIA MTAMTOA KIONGOZI HATA MMOJA!!??
LABDA MKAMFUFUE HAYATI NYERERE.
 
Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.

Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na huyo jamaa isiyoeleweka visifanye jambo kubwa litakaloathiri usalama bila kuwasiliana na Dodoma.

Najua jamaa akifika ataanza kutoa amri za vitisho, karaha kwa kila mtu aliyepo Arusha.

Hii watalii hawapendi. Ni angalizo tu
Nchi hii ukipata cheo jiangalie sana , Makonda hatakua na mda atatemwa maana ilionekana kuanza kuvamia kambi za watu wahuni kuliko anavyojua , ni swala la mda tu utasikia atapangiwa kazi nyingine
 
Kumpeleka muuaji na mtekaji watu kwenda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ambao ni kitovu cha utalii ni kosa la kiufundi. Makonda ni mtu ambaye hawezi kujirekebisha kamwe,siku zote anataka kujijenga yeye hata kama itagharimu kukichafua chama au serikali yeye anachojali ni sifa binafsi.
 
Sasa ROYAL TOUR ya Mama inaenda kuangukia pua ni Mmarekani gani ataenda Arusha au kwenye Mahoteli ya Mbugani kupitia Chuga?

Na sote tujuavyo Watalii kutoka Western Countries ndio wenye fedha.
 
Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.

Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na huyo jamaa isiyoeleweka visifanye jambo kubwa litakaloathiri usalama bila kuwasiliana na Dodoma.

Najua jamaa akifika ataanza kutoa amri za vitisho, karaha kwa kila mtu aliyepo Arusha.

Hii watalii hawapendi. Ni angalizo tu
Nzi wa chooni kawekwa karibu na biriani la wageni.!!?
 
Naona CHADEMA mnaweweseka sana na uteuzi wa Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.

Hii ni kwa kuwa mnatambua namna alivyo mchapa kazi na kiongozi mbunifu sana.hivyo mnafahamu kuwa ndio mwisho wa siasa zenu za janja janja .

Kaeni kwa kutulia maana mwamba akishakanyaga ardhi hiyo ya Arusha mtaona moto na mchaka mchaka wa maendeleo utakavyowaka hapo Arusha.
Lishangazi wakuteue mwenezi wa chama la vibaka
 
Bashite hajawahi kuwa mstaarubu popote anapopelekwa na huwa habadiliki.Ustaarabu pengine anakuwa nao kwa wiki baada ya hapo kichaa kinamuanza
 
Mama angempiga tu chini huyu bwege. Hafai kila upande. Kuwa mwenezi tu haijachukua muda anataka awe hata juu ya aliyemteua. Kuna uwezekano mkubwa mno huko Arusha akasababisha matatizo kutokana na watu huko pia kuwa wabishi. Kibaya zaidi CCM Arusha ina mamluki wengi sana wa CHADEMA.
 
Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.

Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na huyo jamaa isiyoeleweka visifanye jambo kubwa litakaloathiri usalama bila kuwasiliana na Dodoma.

Najua jamaa akifika ataanza kutoa amri za vitisho, karaha kwa kila mtu aliyepo Arusha.

Hii watalii hawapendi. Ni angalizo tu
Hivi ule uchifu aliopewa Kusini Nyanda za juu na kwingineko wataupokonya au inakuwaje
 
Back
Top Bottom