Kutokana na sera na misimamo yake, Donald Trump anaweza kuuawa wakati wowote

Trump hachukui mda kagusa watu pabaya sana,biashara ya kimataifa kashatia nyongo imagine umekuta watu wanafanya biashara zao unaongeza 10% ya tozo hakuna mfanya biashara atakuwa tayari kupoteza thumuni.
 
Trump amekuja na misimamo na sera zinazogusa na kuathiri watu wengi ndani ya Marekani na nje ya marekani.

Trump anagusa imani za watu, tamaduni za watu na sasa anakwenda mbali kutaka kushirkiana na Waisraeli kuwaondoa wapelestina huko Gaza maamuzi ambayo pia yataamsha hisia za kidini na hata hisia za chuki za kibaguzi kwa misingi ya rangi na asili ya watu.

Trump kagusa mashoga, wahamiaji haramu(blacks), waajiriwa katika mashirika ya misaada ya Marekani duniani na sasa anakwenda kugusa wapelestina(waislaumu) mambo ambayo yanaweza yasimuache salama.

Muda utasema.
Kila mmoja ashinde mechi zake, na hizi ni ndoto za watu masikini na nchi masikini tu

Huyo Netanyahu aliyelianzisha huko Gaza na nchi zingine wamemfanya nini?

Kila nguvu inaukomo wake
 
Trump ni kichaa na dunia haiwezi kumuachaa kichaa aishi.
Ni suala la Muda tu.
Huwezi kuendesha nchi kama familia yako. Wamarekani wenye akili hawamtaki ila ni vile wajinga hawakosi wakamchagua Trump.
Mkuu mbona unafoka sana? Ni sera ipi imekuudhi? Kufukuza wahamiaji haramu? Kukatisha misaada isiyo na tija? Kupinga ndoa za jinsia moja? Au ni kipi kimekukera?
 
Wiki hii atakuja tena na kauli nyingine Tata huyu Mzee ataendelea kuichangamsha dunia Hadi tuchanganyikiwe..dunia itaendelea Sana kujadili kauli zake huku wenyewe wakiendelea kujenga uchumi wao
Haha, huyu ndio anapitia mafaili sasa hivi
1000021811.jpg
 
Trump ni kichaa na dunia haiwezi kumuachaa kichaa aishi.
Ni suala la Muda tu.
Huwezi kuendesha nchi kama familia yako. Wamarekani wenye akili hawamtaki ila ni vile wajinga hawakosi wakamchagua Trump.
Kwamba Elon Musk hana akili?
 
Trump amekuja na misimamo na sera zinazogusa na kuathiri watu wengi ndani ya Marekani na nje ya marekani.

Trump anagusa imani za watu, tamaduni za watu na sasa anakwenda mbali kutaka kushirkiana na Waisraeli kuwaondoa wapelestina huko Gaza maamuzi ambayo pia yataamsha hisia za kidini na hata hisia za chuki za kibaguzi kwa misingi ya rangi na asili ya watu.

Trump kagusa mashoga, wahamiaji haramu(blacks), waajiriwa katika mashirika ya misaada ya Marekani duniani na sasa anakwenda kugusa wapelestina(waislaumu) mambo ambayo yanaweza yasimuache salama.

Muda utasema.
Sijawahi kuona uzi wako usitabirie wenzio vifo inaonekana wewe ni mshiriki mkubwa wa mauaji!
 
Back
Top Bottom