Kutokana na sera na misimamo yake, Donald Trump anaweza kuuawa wakati wowote

Trump hachukui mda kagusa watu pabaya sana,biashara ya kimataifa kashatia nyongo imagine umekuta watu wanafanya biashara zao unaongeza 10% ya tozo hakuna mfanya biashara atakuwa tayari kupoteza thumuni.
 
Kila mmoja ashinde mechi zake, na hizi ni ndoto za watu masikini na nchi masikini tu

Huyo Netanyahu aliyelianzisha huko Gaza na nchi zingine wamemfanya nini?

Kila nguvu inaukomo wake
 
Trump ni kichaa na dunia haiwezi kumuachaa kichaa aishi.
Ni suala la Muda tu.
Huwezi kuendesha nchi kama familia yako. Wamarekani wenye akili hawamtaki ila ni vile wajinga hawakosi wakamchagua Trump.
Mkuu mbona unafoka sana? Ni sera ipi imekuudhi? Kufukuza wahamiaji haramu? Kukatisha misaada isiyo na tija? Kupinga ndoa za jinsia moja? Au ni kipi kimekukera?
 
Trump ni kichaa na dunia haiwezi kumuachaa kichaa aishi.
Ni suala la Muda tu.
Huwezi kuendesha nchi kama familia yako. Wamarekani wenye akili hawamtaki ila ni vile wajinga hawakosi wakamchagua Trump.
Kwamba Elon Musk hana akili?
 
Sijawahi kuona uzi wako usitabirie wenzio vifo inaonekana wewe ni mshiriki mkubwa wa mauaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…