Kutokana na sera na misimamo yake, Donald Trump anaweza kuuawa wakati wowote

Kuna Kipindi akili yako inakua sawa mkuu na sio uchawa tu (kidding)...

By the way naunga mkono hoja yako, japo tusimuombea Mabaya bali tumuombee abadilike kimtazamo kwenye yale mambo yenye athari hasi kwa jamii akazie kuyaondoa. Ila yale ambayo ni faida kwa jamii ya walio wengi asiyaguse kabisa.

Kwa mfano

Ishu ya mashoga namuunga mkono
Ishu ya USAID namuunga mkono
IShu ya kumaliza vita Ukraine namuunga mkono
Ishu ya Gaza nampinga kwa nguvu zote
Ishu ya South Africa nampinga kwa nguvu zote
Ishu ya Panama nampinga kwa nguvu zote
Ishu ya Greenland nampinga kwa nguvu zote
 
Usinikumbushe JPM
 
U.S. President Donald Trump should be given extensive protection at a high cost, employing advanced technology.

His actions have been significant and beneficial for the American people.

In Tanganyika, we once had a leader akin to Trump, but we failed to appreciate the precious gift we had.

When he was taken from us, we were left with sorrow resonating across the nation, yet remembering him does not change our plight.

Now, we find ourselves with a large group of people who chant "mother, mother, mother," but we seem to make no progress.
 
Jama akikaza kwenye hizi ishu aisee sijui hali itakuwaje..dunia itakuwa ni ubabe ubabe bila mchezo
 
Jama akikaza kwenye hizi ishu aisee sijui hali itakuwaje..dunia itakuwa ni ubabe ubabe bila mchezo
Ila Trump anaweza kua na shida kwa ubongo... kuna wakati kujiamini kukizidi ujue kuna sababu za kichwani zaidi
 
Jpm alikua masikini, pia na roho ya chuki dhidi ya matajiri Trump ni tycoon sana anapenda matajiri wenzake hiyo ndo tofauti yao.
Tofautisha matajiri na mafisadi
 
Ila Trump anaweza kua na shida kwa ubongo... kuna wakati kujiamini kukizidi ujue kuna sababu za kichwani zaidi
... halafu kaweka jinga lingine linalofikiri lina akili!
... ANYWAY, LENGO NI KUPUNGUZA POPULATION DUNIANI NA KWA NJIA WANAZOTUMIA TAYARI WAMEISHAFAULU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…