Kutokana na sera na misimamo yake, Donald Trump anaweza kuuawa wakati wowote

Trump ni kichaa na dunia haiwezi kumuachaa kichaa aishi.
Ni suala la Muda tu.
Huwezi kuendesha nchi kama familia yako. Wamarekani wenye akili hawamtaki ila ni vile wajinga hawakosi wakamchagua Trump.
Trump linakataa ushoga na kubadili jinsia kuna shiga gani katika hilo?? Trump anasema mkae makwenu mjenge nchi zenu serikali zenu ziwatumikie mlipe kodi huko kwenu kuna shida gani katika hilo?? Trump anasema watu wasituletee magonjwa ya kufikirika kama Covid na kuchukua mahela bila sababu kuna shida gani hapo?? Trump amekataa hela zao kuibiwa kupitia kitu kinaitwa USAID ambayo ni magenge ya kuiba hizo hela kwa kuleta miradi ya ajabu ikiwa nyuma yake ina kaneno kanaitwa Gender Equity literally means ushoga kuna shida??

kuhusu Palestina Dunia yote ni wanafiki pale DRC watu wanauwawa kila uchao hamsemi. Sudan wanauwawa hamsemi. Kenya kuna kuteka na kuua vijana , Tanzania watu wanapotea jumla jumla sasa hayo Trump afanye nini??
 

Kabisa maana amemwaga ugali na mboga za watu wengi , usifanye mchezo kwenye "UGALI na MPUNYENYE" wa watu.
 
Sasa hivi kawaingilia CIA kawapa option ya ku resign wote, CIA yote.

 
Hivi hao wa Marekani wamekua na akili kama za wabongo walivo sikia slogan yake ya "America first" wenyewe walikua wana elewa nini mpaka wamchague.
Aliwaambia jambo la kwanza nasafisha safisha illegal immigrants wote
 
Niliandika humu mtazika muda sio mrefu ....Hesabuni miaka minne kwanza ..Fikiria zile failed attempts mbili.

Ishu kama ataliwa kichwa: je ,Nan atabeba msala ? Iran awe makini sana na raia wake ..
 
Viva Donald Trump viva .
Viva Elon Musk viva.
Watamuua huyu.

Akimaliza miaka minne nitashangaa sana.

CIA wenyewe ndio huwa wanawatuma kuua viongozi wa nje, kwa hiyo wanajua mbinu zote za kumuua Trump.

Nina hakika kuna mtu anapanga kumuua Trump sasa hivi.
 
Hiyo ya kuwahamisha wa Palestine huko Gaza hatafanikiwa.Hata Adolf Hitler alitaka kuwauwa wa Israel wote lakini alishindwa.
Ameprndekeza, wasipotaka basi. Hajalazimisha mtu. Halafu muktadha wa Hitla na Trump ni tofauti.
Trump ameendekeza wahamishwe kwa muda ili pajenwe lakin watu hamtaki kuitamka sentesi yote, mmnaifupisha kama jina la mtu matokeo yake mnapotosha ujumbe uliokusudiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…