Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Kupitia mfumo wa kutoa taarifa kuhusu mali zilizopitea jeshi la polisi huwaibia raia wengi sana shilingi 500.
Yaani unaweza kuwasilisha taarifa zako kwa usahihi kisha baada ya kufanya malipo mfumo unakwambia "Ripoti bado haijathibitishwa" hapo utasubiri hata siku 3 hakibadiliki kitu ndo umeibiwa hivyo.
Ukijaza mara yapili unalipia tena 500 unashangaa unapata kila kitu ndani ya muda mfupi, wapo ambao hurudia hata mara 3 ndipo wanafanikiwa.
Utapeli wa mfumo unakuja hivi:
Hizo shilingi 500 ambazo zinakatwa bila kuleta matokeo huwa hazirudishwi, yaani ndiyo imekula kwako ndugu raia.
Sijui kwanini hawa watu wamejaa utapeli tapeli wa kipuuzi. Nawasilisha.