Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Jamaa ana logic kuna watu 500 kwao ni kipengele, je wakiibiwa watu 1000x500 = 500,000 kwa siku mara 365? tusibariki ujingaUnapewa control number unalipia online, sasa hiyo 500 unaibiwaje we ngosha?
Tafuta hela, 500 sio hela ya kuilalamikia kama kweli ungekuwa unaibiwa, narudia TAFUTA HELA, shwaini wewe!
Gharama za bodaboda nani analipa?Wanadhibitisha manually , unaenda kituo cha polisi kilicho karbu nawe, wakidhibitisha na mtandaoni inathibitika
SjuiGharama za bodaboda nani analipa?
Kaa kimya sister anguSjui
SawaKaa kimya sister angu
Hapana, ukipoteza mali kama vile line ya simu au vitambulisho kwa mujibu wa maelezo katika tovuti yao huna haja ya kuthibitisha manually, ila ukipoteza vitu vingine ndo utatakiwa kwenda kituo cha karibu.Wanadhibitisha manually , unaenda kituo cha polisi kilicho karbu nawe, wakidhibitisha na mtandaoni inathibitika
Mimi kwa kweli naona kuna shida sana kwa nchi hii hata ile mifumo ya electronic aliyoanzisha magufulia naona inakaribia kufa yaa paper work sasa ndo zinaibuka. Na hapa mapolisi ndo wanpenda hizi blabla maana Los report wanataka uwepo kati ya 1000 hadi 2000 eti kwa kuwa wanatumia bandoKupitia mfumo wa kutoa taarifa kuhusu mali zilizopitea jeshi la polisi huwaibia raia wengi sana shilingi 500.
Yaani unaweza kuwasilisha taarifa zako kwa usahihi kisha baada ya kufanya malipo mfumo unakwambia "Ripoti bado haijathibitishwa" hapo utasubiri hata siku 3 hakibadiliki kitu ndo umeibiwa hivyo.
Ukijaza mara yapili unalipia tena 500 unashangaa unapata kila kitu ndani ya muda mfupi, wapo ambao hurudia hata mara 3 ndipo wanafanikiwa.
Utapeli wa mfumo unakuja hivi:
Hizo shilingi 500 ambazo zinakatwa bila kuleta matokeo huwa hazirudishwi, yaani ndiyo imekula kwako ndugu raia.
Sijui kwanini hawa watu wamejaa utapeli tapeli wa kipuuzi. Nawasilisha.
Huu mfumo pia umegubikwa naxrushwa sanaJamaa ana logic kuna watu 500 kwao ni kipengele, je wakiibiwa watu 1000x500 = 500,000 kwa siku mara 365? tusibariki ujinga
Unachaguaje aina ya vitu ulivyopotezaHapana, ukipoteza mali kama vile line ya simu au vitambulisho kwa mujibu wa maelezo katika tovuti yao huna haja ya kuthibitisha manually, ila ukipoteza vitu vingine ndo utatakiwa kwenda kituo cha karibu.