Uko sahihi sana,mimi ninavifuatilia sana hivi vitu na imenisaidia kwa kiwango kikubwa kuwa nawahi matibabu...Kuna vitu vingi vidogo vidogo tunajisahau kuvichungua lakini ni muhimu sana kwa afya zetu kwa mfano
1.Kudisa/kudinda kama imepita muda hujapata ile morning erection basi kuna tatizo
2.Rangi ya mkojo
3.Rangi ya haja kubwa, ukubwa, harufu, rangi, ugumu, ulaini au hata mara ngapi unapata haja kubwa
4.Kiu
5.Njaa na hamu ya kula
6 Usingizi
7.Hamu ya Jimai
8.Kutokwa au kutotokwa na jasho
Hivi vyote vinaongea mengi kuhusu afya zetu kama tutavifuatilia kwa makini
Irua ItksweAsante sana sky
Hahajaja eka nnu varisinda....ukumbuke kukagua.Irua Itkswe
utakuwa na tezi dume au henia, siyo bure.Mimi nikijisaidia choo huwa na marenda nasumbuliwa, na maumivu upande wa kulia Chini ya mbavu nini tatizo?
Duu wewe usiwe unajibu kama hujui, this is professional issue,acha mihemko.utakuwa na tezi dume au henia, siyo bure.
Kwa ushauri zaidi nenda hospital mkuu huenda kuna mishipa midogo ya pembezoni imedhurikaHabari zenu jamani mwenye kujua hili tatizo aniambie, leo siku ya tatu nikienda kujisaidia aja kubwa mara baada ya kumaliza damu zinaanza kutoa kwa muda ule ambao nipo chooni, zinatoka utafikiri nimejikata, tatizo linaweza kuwa nini mnisaidie.
Choo ni kilaini tuChoo unachojisaidia ni kigumu?? Kunywa maji mengi, mboga mboga na matunda jamii ya maembe na mapapai
Kesho nawahi hospitalNenda hospital wewe acha ujinga.
Sijisikii maumivuKama umejikata? Kwamba maumivu kama umejikata au rangi ya damu ni fresh hivyo unadhani umejikata?
Wanasema kama rangi ya damu ni fresh inaweza kua bawasiri ila kama ni dark red vinaweza kua vidonda vya tumbo.
Nenda hospitalI.