Kutovunjwa hoteli ya Desderia na Mikakati ya Serikali ya Magufuli

Kutovunjwa hoteli ya Desderia na Mikakati ya Serikali ya Magufuli

Kwa kuongezea

Sisi tuliobahatika kuona utawala wa Rais Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli tunaona tofauti Sana namna Magufuli anavyotanguliza maslahi ya nchi.

Ijapokuwa sio perfect 100%, lakini kulinganisha anachofanya na viongozi wa nchi zingine wanachofanya "patriotism" inatia moyo Sana kwamba at last we have a president who portrays himself as a protector of our natural wealth.

Kunaweza kuwa na shida kwenye methodologies, lakini dhumuni lake ni mujarabu Sana. Mungu amsaidie afanikiwe!
Dogo unaota wewe!
Sheria mpya ya madini na alichofanya mkataba wa Twiga ndo mnaita protect natural wealth?
 
Mentality ya kuwachukia business men nadhani ilikuwa wrong approach on how the economics works.!! Of course kuna wafanya biashara fake, wahuni, wezi na wakwepa kodi hao siwaongelei, hao wakishughulikiwa sina neno, ila wale wafanya biashara halali, wema, inafaa serikali iwajengee mazingira wezeshi kukuwa zaidi na kulinda biashara zao zikue, kwani ndio source ya kodi..!! Nadhani serikali inajisahihisha kwa makosa yake ya 2015 to 2020 with regard to wafanya biashara..!!
 
Dogo unaota wewe!
Sheria mpya ya madini na alichofanya mkataba wa Twiga ndo mnaita protect natural wealth?
Nileteeni Gwajimaaaaa
Akimaliza #MitanoTena tumuongeze #MitanoZaidi
#MaendeleoHayanaVyama
 
Mentality ya kuwachukia business men nadhani ilikuwa wrong approach on how the economics works.!! Of course kuna wafanya biashara fake, wahuni, wezi na wakwepa kodi hao siwaongelei, hao wakishughulikiwa sina neno, ila wale wafanya biashara halali, wema, inafaa serikali iwajengee mazingira wezeshi kukuwa zaidi na kulinda biashara zao zikue, kwani ndio source ya kodi..!! Nadhani serikali inajisahihisha kwa makosa yake ya 2015 to 2020 with regard to wafanya biashara..!!
I concur
Kuna maeneo kweli hakufanya vizuri hususani kuchagiza ukuaji wa sekta binafsi. Pengine term yake ya pili atasahihisha hili.
 
Ahsante sana mkuu, ila natofautiana nawe. Kama Magufuli angekuwa kweli "very intelligent", asingeirejesha nchi katika maabara ya majaribio ambayo Nyerere na waliomfuata walishayafanya na matokeo yanajulikana. Kudharau sekta binafsi na kuivuruga kabisa, baada ya uwekezaji mkubwa uliofanyika, huku kila mtu mwwnye akili za kawaida tu alitambua hilo, sio kuonesha "intelligence" ya pekee. Haikuhitaji miaka 5 ya kubomoa ili ajenge tena.

Unawezaje kurundika tenda zote TBA? Au kutumia majeshi?

Lakini nakubali kwamba JPM ana uwezo mkubwa wa kukomaa hata kama kitu kinaumiza wengi . Mfano bomoabomoa, kubomoa maghorofa, makanisa, misikiti bila hoja za msingi, tena kwa kutumia sheria ya enzi za mwanzo za ukoloni, unawamaskiniza raia wako bila huruma? Aaaa, hapo hapana
Raisi magufuli Ni mjinga alidhani akiua matajiri ndo atatawala vizuri,
1985 nyerere alliikimbia ikulu akasingizia anamg'atuka
 
I concur
Kuna maeneo kweli hakufanya vizuri hususani kuchagiza ukuaji wa sekta binafsi. Pengine term yake ya pili atasahihisha hili.

Hizi siasa za majaribio ndio zinaturejesha nyuma.
 
Yeah

He said and it is happening!

Was it a lie? No, it wasn't!

Recently he said, yeyote atakaye kula pesa za umma, Naye ajiandae kuliwa. Na tunaona wakubwa "wanaliwa".

He does what he says...so proud of him!

Can we safely say Magufuli is an angel, no we cannot say that. He is a human and he is bound to make mistakes during his tenure!
You aren't real dude! Neurotics build castles in the air, psychotics live in them.
If you have built castles in the air, your work need not be lost; that is where they should be.
Idealism is like a castle in the air if it is not based on a solid foundation of social and political realism.
 
Ideal situation happens in a controlled laboratory environment.
Not in natural environment.
 
He is a human and he is bound to make mistakes during his tenure.
The president is obliged to work withini the limits of constitution. But look at your favourite president," is he abiding to and presiding over the mother law?

He bleaches one article after the other. And it is very unfortunate that in our country we don't have strong institutions, so his arrogance on constitution can't be corrected.

But as a nation we have to shower blames on our horrible constitution itself that prevents punitive measures against Magufuli when he makes mistakes in office.
 
Jiwe hajawahi wala hawezi kuwa na roho nzuri. Hana hiyo roho. Tusubiri kilicho nyuma ya pazia.
 
Magufuli anatumia mbinu za Kimachiavelli, Tengeneza tatizo kisha toa solution halafu watu wakuone mkombozi!
Ni mbinu zilizlopitwa na wakati hizo!
 
Sina ushahidi wa mashambulizi ya risasi kuwa ni maelekezo ya Rais Magufuli.
Under whose watch dude? Who has the impunity and the immunity?
Kama unao ushahidi, go ahead and make your case!
Seemed to be, is claimed to be and has proven to be!
Nijuavyo, from biblical time watawala wa Dunia hii -presidents, kings, queen- are entitled with licence to kill.
There you are...I rest my case.
Take it or leave it.
During the biblical times the earth was flat and not round, take it or leave it.
 
Mkuu

Hoja zako Matata Sana. Lakini JPM inaonesha anajua Sana like an intelligent person with a special agenda.

It is interesting to examine and scrutinize what, why, where, when and how he executes decisions. Simply unpredictable.

#WhereIsPrinceMakonda?
I doubt if the man is intelligent enough.Had it been so,he'd have stopped his bizarre and unscrupulous acts/behaviour .What he did of late is yet another trick aimed at gaining cheap popularity.
 
Those who argues that Magufuli is a tyrant, blood tyrant, I understand. It's not my position to change perspectives of their camp. Period!

Some of us who finds positives in Magufuli's effort, that's our perception! It's my humble opinion that he has decorated himself as a trustworthy, reliable and dependable leader our country has ever had. Is there a chance for my position to change in future? Probably yes, only if I gather new data that would nullify my current opinion.

Apparently #AkimalizaMitanoTena aongeze #MitanoZaidi
 
I doubt if the man is intelligent enough.Had it been so,he'd have stopped his bizarre and unscrupulous acts/behaviour .What he did of late is yet another trick aimed at gaining cheap popularity.

History remembers people with contrarian intelligence like JPM!

Strange, right?
 
Back
Top Bottom