Kutovunjwa hoteli ya Desderia na Mikakati ya Serikali ya Magufuli

Kwani JPM aliongeza kodi yeyote katika kipindi chake cha kwanza??? Au ni wimbo wa "Saccos" kuhusu enforcement ya sheria za kodi na nidhamu kwa wafanyakazi kuongezeka au Wewe unapendelea watoza kodi wala rushwa na wazembe
Kwanza kabisa kulikuwa na ubambikizaji wa kodi, licha ya mbinu mbovu ya kujumuisha "ukwepaji kodi" na mtu kujikuta anadaiwa mabilioni, badala ya kuangalia uwezo wa mtu kulipa, ili asifunge biashara. Mwanzo biashara nyingi zilifungwa. Wapinzani na wadau wengine walipopiga kelele ndio jibu likaja kuwa hao ni wapiga dili.

Suala la watu kula rushwa sio suala la kwamba watu fulani ni wabaya. Ni suala la kuimarisha mifumo ili sasa watu wafanye biashara na taifa linufaike. JPM katika suala la kuimarisha mifumo hapo kazi ipo.

Serikali ya JPM imekuwa na kawaida ya kupandisha kodi kimyakimya, na ndio maana kumekuwa na ongezeko la bei za vitu, kuanzia ujenzi nk. Hii imekuwepo awamu ya kwanza na hata sasa. Tunashuhudia gharama za miamala katika Mitandao ya simu zinapanda, ujue JPM keshafanya yake, ndio maana humsikii akipiga kelele kivile
 
The president is obliged to work withini the limits of constitution. But look at your favourite president," is he abiding to and presiding over the mother law?

He bleaches one article after the other. And it is very unfortunate that in our country we don't have strong institutions, so his arrogance on constitution can't be corrected.

But as a nation we have to shower blames on our horrible constitution itself that prevents punitive measures against Magufuli when he makes mistakes in office.

I wish you knew!

Presidential powers overrides our constitutional framework! With the current constitution, The President is not only Everything, rather the President is the ONLY thing! On this subject, I humbly advising you to visit the work of John John Mnyika (and others)

Thus, knowing constitutional gaps and how President Magufuli discharges his duties, I am petrified.

#MitanoTena
 
Magufuli yupo smart sana!

Very humble president our country has ever had. When his term ends that's when we'll understand.
Ni kweli, mara nyingi uzuri wa mtu unaonekana anapoondoka. Lakini kuna watu walioleta "maendeleo" kwa gharama kubwa mno ya vifo, misery, vilio na mahangaiko ya watu wao. Na kwa sababu vitu vingi vingine wanavyoharibu siyo as visible as flyovers and SGRs and panoramic Stigler projects , they manage to get away with it. Kwa watu hawa, historia huwa inawatambua kwa hayo matendo yao.

Wapo marafiki zangu wanaofikiri kama wewe. Kwamba human rights zinachelewesha "maendeleo". Lakini kwa definition ipi ya maendeleo ? Ya Nyerere? Au ile ya Magufuli , maendeleo hayana vyama ?

Kuna wanaomshangilia Trump, ambaye, kama JPM, ameharibu instruments za Democracy kwa kiasi kikubwa sana
 
I wish you knew!

Presidential powers overrides our constitutional framework! With the current constitution, The President is not only Everything, rather the President is the ONLY thing! On this subject, I humbly advising you to visit the work of John John Mnyika (and others)

Thus, knowing constitutional gaps and how President Magufuli discharges his duties, I am petrified.

#MitanoTena
Acha kupotosha, kuna mambo ambayo rais, kwa mujibu wa katiba hii, hawezi kufanya bila kwanza kutangaza state of emergency. Rais amevunja katiba hii, pamoja na mapungufu yake, mara nyingi tu. Mfano mdogo, Katiba inasema nchi hii inafuatacdemokrasia ya vyama vingi. Rais anaendesha nchi kama de facto single party
 
Nawasoma vizuri sana.

Huyu JPM approach yake ni another level. Inasemwa 2023 atatuletea katiba pendekezwa ya Jaji Warioba. Kwa sasa Nami nifunge domo langu nikisubiri yajayo ya 2023.
Jenga hoja kwa kutumia solid data na evidence, siyo kutumia wishful thinking. Mimi wala sitamani mchakato wa katiba unaosimamiwa na JPM. Bora tusubiri rais atakayetufaa kwa kazi hiyo. Magufuli huyuhuyu aliyetuletea vioja vya chaguzi za marudio, uchaguzi wa serikali za mitaa, na huu wa 2020? Jamani ebu tuwe serious angakau kidogo
 
Tukio la hivi karibuni la Rais Magufuli kutoa agizo la kuzuia "uvunjwaji" wa hoteli kubwa ya nyota tatu, inayomilikiwa na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya, maarufu "Sugu", linaibua hoja mbalimbali.

Tukirejea miaka 5 ya kwanza ya Magufuli, DC Sabaya wa Hai, anaonekana alipewa "kazi" maalum ya "kumkaba" Freeman Mbowe ili asiweze kucheza mpira na hatimaye atolewe nje ya uwanja. Mbowe aliwekeza katika kilimo cha kisasa akitumia "Greenhouse". Uwekezaji huo ulivunjiliwa mbali kwa "kigezo" cha kuharibu chanzo cha maji, kama ilivyokuwa kwa hoteli ya Desderia.

Kipindi hicho nchi ilizizima kwa watendaji mbalimbali kila mmoja kujaribu kumpiku mwenzie, katika kuwatesa wapinzani, kuwaumiza, kuwadhibiti, na hata "kuwapoteza", ili kumfurahisha bwana mkubwa.

Wakati huo hatukumsikia mkulu akilia "Poo", bali tuliona vitendo hivyo vikishika kasi. Lengo? Kuua upinzani.

Kwa hiyo hii kali ya Desderia inatufanya tujiulize kulikoni?

Kuna hoja ya pili hapa. Miaka 5 ya kwanza, Rais Magufuli alionesha wazi chuki yake kwa wafanyabiashara kwa ujumla. Watendaji nao wakaunga mabehewa kwa kila mmoja kugeuka mtaalamu wa uwekezaji. Mwekezaji kuwekwa ndani masaa 48 ikawa jambo la kawaida. Adha za wapinzani ziliwasibu pia wawekezaji.

Mojawapo ya sera mbovu kabisa za JPM, ni kuhusu sera ya kodi, ambayo hata Rais Mwinyi wa Zanzibar kaikosoa hivi karibuni. Kwamba kupandisha kodi kunaleta madhara zaidi kuliko faida.

Magufuli mwenyewe ameazimia kufanya marekebisho katika kuvutia wawekezaji, kuwa na sera tofauti ya kodi, nk. Tumeshuhudia waziri wa fedha akichukua hatua kali kwa maafisa wa TRA. Inaonekana kale ka ushuzi ka "wanaofunga biashara ni wapiga dili", hata wao kamewachosha sasa.

Lakini inaonekana watendaji bado wanafikiria miaka 5 iliyopita, wakidhani kuharibu chochote kinachomilikiwa na mpinzani, ndio "maendeleo", tena ambayo "hayana vyama"

Kwa hili la Desderia, inaonekana Magufuli anakusudia kuua ndege angalau wawili kwa jiwe moja.

Kwanza kujifanya ni rafiki wa wapinzani. Hili limedhihirika pia kwa kauli ya Sugu "kumshukuru" mkulu, kurejewa kila kona, na wengine kutabiri Sugu atavuka mpaka na kuingia kwa Waggaggakikikoko.

Lakini inaonekana serikali ya Magufuli ni kama imeshituka katika mkakati wake wa "kuua" upinzani. Mojawapo ni ugunduzi kwamba kumbe kuna idadi ya wapinzani inahitajika bungeni. Ikalazimika kuibuka na mkakati wa COVID-19. Hivyo kwa pande hiyo karudisha majeshi nyuma. Pia hii "negative publicity" ya Lema na Lissu, ingeimarishwa zaidi kama Desderia "angeuwawa". Kwamba kweli wapinzani wanaandamwa.

Pili ni kukwepa sifa mbaya na kujiharibia katika mkakati wa kuvutia wawekezaji. Huko nyuma hakuyaona hayo? Watendaji walipodhalilisha wawekezaji kila kona ya nchi.
Tujadili
Katika majanga mabaya kuwahi kutokea ndani ya bongo,
La Kwanza vita ya Kagera,la pili Ugonjwa wa ukimwi,La tatu ajari ya mv bukoba,La nne ni Jiwe kuwa Raisi.
Hii ni Alnakba, catastrophe Kama wanavyosema Wapalestina.
 
Mleta mada nakubaliana nawe. Lkn na mm naongeza assumption yangu kuwa -yawezekana jiwe anajikomba kwa WanaMbeya kwa kujifanya anamtetea "rais" wao Sugu.

Kwasabb huyu huyu jiwe ndiye aliyemtuma Mnyeti kuharibu miundombinu ya kilimo Cha maua Cha Mbowe na kisha kumpatia uRC.
Sio mnyeti ni rc wa mtwara sasa
 
Isiingie makubaliano na kichaa yeyote, hawaaminiki, hawatabiriki
 
Mada hii AGAIN bado inaongelea utukufu wa no 1 ILA mtoa hoja haangalii upande wa pili wa story,Nchi inahitaji taasisi imara na huru sio strong no 1,hii issue ya Mr.Sugu ni ya kisheria ni mahakama ndio ingetoa hukumu au angalizo SIO no 1,watanzania tuamke kwa kutumia elimu yetu kutambua kuwa sio sahihi kwa president kuingilia issues za kisheria.
Hatujamtukuza, tunawananga wanaomsifu, kwa kuonesha true motive alizonazo.

Unaongea habari ya mahakama mkuu? Labda umesahau kwamba Sugu aliwahi "kutiwa hatiani" na hakimu ambaye ni partisan. Rufaa yake ilizungushwa muda mrefu sana, hata ingawa alishinda rufaa yake, tayari alishatumikia kifungo, na kwa kejeli akapewa "msamaha wa rais", hakimu yule mhuni akapata "Ujaji" wa mahakama kuu. Sadly , Sugu alimpoteza mama yake mzazi kwa sababu ya matukio hayo ya kutungwa.

Masuala yooote nchi hii sasa ni ya kisiasa. Unamuona hata Jaji mkuu, Spika, wote huhusishwa wakati wa matukio ya kiserekali, na Rais ndio anakuwa mgeni rasmi Siku ya Sheria, ambapo Jaji Mkuu ndio anatakiwa kukagua gwaride. Tumepiga hatua katika udikteta mkuu
 
Kwanza kabisa kulikuwa na ubambikizaji wa kodi, licha ya mbinu mbovu ya kujumuisha "ukwepaji kodi" na mtu kujikuta anadaiwa mabilioni, badala ya kuangalia uwezo wa mtu kulipa, ili asifunge biashara. Mwanzo biashara nyingi zilifungwa. Wapinzani na wadau wengine walipopiga kelele ndio jibu likaja kuwa hao ni wapiga dili.

Suala la watu kula rushwa sio suala la kwamba watu fulani ni wabaya. Ni suala la kuimarisha mifumo ili sasa watu wafanye biashara na taifa linufaike. JPM katika suala la kuimarisha mifumo hapo kazi ipo.

Serikali ya JPM imekuwa na kawaida ya kupandisha kodi kimyakimya, na ndio maana kumekuwa na ongezeko la bei za vitu, kuanzia ujenzi nk. Hii imekuwepo awamu ya kwanza na hata sasa. Tunashuhudia gharama za miamala katika Mitandao ya simu zinapanda, ujue JPM keshafanya yake, ndio maana humsikii akipiga kelele kivile
He wewe ni mojawapo wa watu walio bambikiwa kodi ? Au unafikra za kubambikiwa kodi.
He unajua jinsi kodi inavyokuwa calculated ??
Je ni jinsi gani mtu anaweza kubambikiwa kodi ??

Je una shauri vipi systems hizo zinaweza kuimarishwa ili watu waweze kutoa kodi na Rushwa kukomeshwa , au nini weakness za hii system ya sasa ??

Mwisho hizo kodi zilizoongezwa ni zipi ambazo zinadumaza ufanyaji wa biashara au maoni yako n9 fikra zako
 
Plotters wa Namba moja sijui hata wanafikiri nini, Nina shaka sio experienced kabisa matukio mengi wanafanya blender na kumuweka Njia panda Mtukufu. Wala Vumbi la Chaki aina ya KM na Mzee wa jalalani Sio watu wa kuwaamini wamejaa theory kiasi kwamba kuwatoa Jalalani haraka na kuwapa access kubwa ya information ni hatari sana, Wapo wazee wetu waliokulia ikulu kama Ukiambiwa fanya ivi ukakataa utapigwa tu they know well trendings
Kuna maamuzi yanafanywa ambayo huwaweka matatani Top officials mifumo yote lazima iwe balanced, Hakuna mkubwa kuliko system
Shida kubwa ni kwamba mkulu kwa makusudi kabisa, ameweka utaratibu huu ili yeye ndio awe mwenye nguvu zaidi. Mfano angalia Jaji Mkuu. Wapo majaji wazoefu, ambao kwa merit mmoja wao angekuwa ndio jaji mkuu. Sasa mkulu kamchomoa huyu toka chuo kikuu. Hana seniority yoyote na atakuwa mtii kwa rais.

Hata hao Katibu Mkuu na Kabudi, wote wanatoka nje ya mfumo, hivyo ni camp ya mkulu
 
Mleta mada nakubaliana nawe. Lkn na mm naongeza assumption yangu kuwa -yawezekana jiwe anajikomba kwa WanaMbeya kwa kujifanya anamtetea "rais" wao Sugu.

Kwasabb huyu huyu jiwe ndiye aliyemtuma Mnyeti kuharibu miundombinu ya kilimo Cha maua Cha Mbowe na kisha kumpatia uRC.
Hiyo ya kuwabembeleza wana Mbeya nayo ni ndege wa tatu kapigwa kwa jiwe moja. Uko poa.
 
Sexless nakuelewa mpenzi wangu!

Nikija TZ ukiwapo tuonane nikujuze nia njema ya huyu Baba kwenye nchi hii.

Mungu atujalie afya na uzima. insha'Allah!
Ok, kwa nini chaguzi zote kipindi cha JPM zimegubikwa na uporaji usio wa kawaida? Kwa nini atamke hadharani kwamba ana lengo la kuangamiza vyama vya upinzani?
Na kwanini wakati wa kampeni alikuwa na kawaida ya kuwatisha wananchi, ole wao wachague mpinzani?
Ukinifafanulia hapo , naamini na mimi hiyo "nia njema" ya rais nitaiona
 
Nasema uongo ndugu zangu?
20201228_115246.jpg
 
Tukio la hivi karibuni la Rais Magufuli kutoa agizo la kuzuia "uvunjwaji" wa hoteli kubwa ya nyota tatu, inayomilikiwa na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya, maarufu "Sugu", linaibua hoja mbalimbali.

Tukirejea miaka 5 ya kwanza ya Magufuli, DC Sabaya wa Hai, anaonekana alipewa "kazi" maalum ya "kumkaba" Freeman Mbowe ili asiweze kucheza mpira na hatimaye atolewe nje ya uwanja. Mbowe aliwekeza katika kilimo cha kisasa akitumia "Greenhouse". Uwekezaji huo ulivunjiliwa mbali kwa "kigezo" cha kuharibu chanzo cha maji, kama ilivyokuwa kwa hoteli ya Desderia.

Kipindi hicho nchi ilizizima kwa watendaji mbalimbali kila mmoja kujaribu kumpiku mwenzie, katika kuwatesa wapinzani, kuwaumiza, kuwadhibiti, na hata "kuwapoteza", ili kumfurahisha bwana mkubwa.

Wakati huo hatukumsikia mkulu akilia "Poo", bali tuliona vitendo hivyo vikishika kasi. Lengo? Kuua upinzani.

Kwa hiyo hii kali ya Desderia inatufanya tujiulize kulikoni?

Kuna hoja ya pili hapa. Miaka 5 ya kwanza, Rais Magufuli alionesha wazi chuki yake kwa wafanyabiashara kwa ujumla. Watendaji nao wakaunga mabehewa kwa kila mmoja kugeuka mtaalamu wa uwekezaji. Mwekezaji kuwekwa ndani masaa 48 ikawa jambo la kawaida. Adha za wapinzani ziliwasibu pia wawekezaji.

Mojawapo ya sera mbovu kabisa za JPM, ni kuhusu sera ya kodi, ambayo hata Rais Mwinyi wa Zanzibar kaikosoa hivi karibuni. Kwamba kupandisha kodi kunaleta madhara zaidi kuliko faida.

Magufuli mwenyewe ameazimia kufanya marekebisho katika kuvutia wawekezaji, kuwa na sera tofauti ya kodi, nk. Tumeshuhudia waziri wa fedha akichukua hatua kali kwa maafisa wa TRA. Inaonekana kale ka ushuzi ka "wanaofunga biashara ni wapiga dili", hata wao kamewachosha sasa.

Lakini inaonekana watendaji bado wanafikiria miaka 5 iliyopita, wakidhani kuharibu chochote kinachomilikiwa na mpinzani, ndio "maendeleo", tena ambayo "hayana vyama"

Kwa hili la Desderia, inaonekana Magufuli anakusudia kuua ndege angalau wawili kwa jiwe moja.

Kwanza kujifanya ni rafiki wa wapinzani. Hili limedhihirika pia kwa kauli ya Sugu "kumshukuru" mkulu, kurejewa kila kona, na wengine kutabiri Sugu atavuka mpaka na kuingia kwa Waggaggakikikoko.

Lakini inaonekana serikali ya Magufuli ni kama imeshituka katika mkakati wake wa "kuua" upinzani. Mojawapo ni ugunduzi kwamba kumbe kuna idadi ya wapinzani inahitajika bungeni. Ikalazimika kuibuka na mkakati wa COVID-19. Hivyo kwa pande hiyo karudisha majeshi nyuma. Pia hii "negative publicity" ya Lema na Lissu, ingeimarishwa zaidi kama Desderia "angeuwawa". Kwamba kweli wapinzani wanaandamwa.

Pili ni kukwepa sifa mbaya na kujiharibia katika mkakati wa kuvutia wawekezaji. Huko nyuma hakuyaona hayo? Watendaji walipodhalilisha wawekezaji kila kona ya nchi.
Tujadili
Wakati huo DESDERIA ya Sugu ilikuwepo au illkuwa haijajengwa!? That is the question here siyo ushabiki!
 
Au wameona lile deni hataweza kulipa yule yule atanyata na kuinunua !! Chuttle family
 
Back
Top Bottom