Kutovunjwa hoteli ya Desderia na Mikakati ya Serikali ya Magufuli

Kutovunjwa hoteli ya Desderia na Mikakati ya Serikali ya Magufuli

Kwa kuongezea

Sisi tuliobahatika kuona utawala wa Rais Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli tunaona tofauti Sana namna Magufuli anavyotanguliza maslahi ya nchi.

Ijapokuwa sio perfect 100%, lakini kulinganisha anachofanya na viongozi wa nchi zingine wanachofanya "patriotism" inatia moyo Sana kwamba at last we have a president who portrays himself as a protector of our natural wealth.

Kunaweza kuwa na shida kwenye methodologies, lakini dhumuni lake ni mujarabu Sana. Mungu amsaidie afanikiwe!
Wewe ulikuwa mtoto wakati huo au ni wewe ni kabila lake kindakindaki kwa sifa za uongo unazotoa si bure.
 
Magufuli statistical acceptability
50% likes him
30% hates him
20% are undecided

Mbaya zaidi hakuna mbadala wa ukweli kumng'oa Magufuli!
Kumng'oa au kutokumng'oa si kazi yetu ila ni kazi ya Mungu hata Mgabe wananchi wake walishindwa kumng'oa lakini ilipofika muda wake aliondolewa na jeshi lake mwenyewe,Mseveni anaendelea kutamba amemwambukiza Magufuri lakini muda ukifika ni nani atakayebisha urais haufi katu ila rais hufa,huugua kwa hiyo hoja zako za kupamba ujinga zimepitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom