Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mada mbona ipo poa jamaa kasema itafutwe pesa nje ya kiingilio ili watu waweze kuingia bure, binafsi kuna hoja ya msingi hapa kwa sababu washiriki wote huwa wanatoa fees fulan then bado kunakuwa na kiingilio kwanini?Huu utaratibu mbona upo miaka nenda! Saba saba na Nane nane, miaka yote huwa na kiingilio.
Kumbuka kuna kuna maandalizi ya hayo maonesho. Gharama za kufidia zitatoka wapi iwapo tutaingia bure?
Mada mbona ipo poa jamaa kasema itafutwe pesa nje ya kiingilio ili watu waweze kuingia bure binafsi kuna hoja ya msingi hapa kwa sababu washiriki wote huwa wanatoa fees fulan then bado kunakuwa na kiingilio kwa nn?
So kwa nn isichajiwe kwa uwingi wa watu watakao tembelea banda lako cha msingi ni control tu ziimarishwe ili kila mtu atakaenda kwenye banda fulan akinunua au kutembelea kuwe na tozo fulan iv inaenda Serikalini
Pia ikiwa bure watu wataongezeka sana na biashara ndani ya sabasaba itakuwa kubwa kwa sababu kuingia bure lakin atashawishika kununua chochote
Saba saba ipi watu walikuwa wanaingia bure .....Muhula huu wa utawala wa ^war-who-knee,^ manyang'au yamepania kuwapiga, kuwabinya, kuwaguyuguza na kuwakamua raia hadi furaha na shangwe yao ya the last five years ipotolee kusikojulikana. Ni mwendo wa ^REDO!^
Anyways, BETTER DAYS TO COME! Freedom is coming tomorrow!
Navyofahamu mimi kila mshiriki kwenye maonesho analipia gharama kulingana na ukubwa wa eneo analotaka kutumia.Huu utaratibu mbona upo miaka nenda! Saba saba na Nane nane, miaka yote huwa na kiingilio.
Kumbuka kuna kuna maandalizi ya hayo maonesho. Gharama za kufidia zitatoka wapi iwapo tutaingia bure?
Kwani wanatoza sh ngapi?
Hela ni nyingi hiyo na usawa huu sio poa. Hivi ni kwa mikoa yote au hiyo entrance fee ipo mkoa uliopo?Nyingi sana.
Gari kupaki kwa siku bila kujali muda ilikuwa 10,000 /- sijui safari hii,
Bila gari kichwa kati ya 3,000/- na kuendelea,
Fikiria mmeenda na wanafamilia kadhaa itakuwa shilingi ngapi?
Bado hamjaenda kula wala kunywa.
Hii hainaga tofauti na kutoza watu kuingia standKwanini wakulima na wafanyabiashara watozwe pesa kuingia kuangalia mambo siku ya sikukuu zao? Mbona wafanyakazi hawatozwi pesa kuingia viwanjani siku ya mei mosi?
Waandaaji watafute namna ya kupata pesa lakini siyo kuchaji wakulima na wafanyabiashara. Ni utapeli.
Mbona wanakuwa na wadhamini? hao wadhamini walipia uchapachaji wa tiketi tu au?Huu utaratibu mbona upo miaka nenda! Saba saba na Nane nane, miaka yote huwa na kiingilio.
Kumbuka kuna kuna maandalizi ya hayo maonesho. Gharama za kufidia zitatoka wapi iwapo tutaingia bure?
Dah! Furaha gani ilikuwepo kwenye miaka mitano iliyopita?Muhula huu wa utawala wa ^war-who-knee,^ manyang'au yamepania kuwapiga, kuwabinya, kuwaguyuguza na kuwakamua raia hadi furaha na shangwe yao ya the last five years ipotolee kusikojulikana. Ni mwendo wa ^REDO!^
Anyways, BETTER DAYS TO COME! Freedom is coming tomorrow!