YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Maskini unafuata nini kwenye maonyesho ya biashara si tukae nyumbani kwako.Ela ni nyingi hiyo na usawa huu sio poa. Hivi ni kwa mikoa yote au hiyo entrance fee ipo mkoa uliopo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini unafuata nini kwenye maonyesho ya biashara si tukae nyumbani kwako.Ela ni nyingi hiyo na usawa huu sio poa. Hivi ni kwa mikoa yote au hiyo entrance fee ipo mkoa uliopo?
Maonesho ya biashara sio kwa ajili ya malofa na watu maskini uelewe hilo.Mkurugenzi yupo humu nadhani ni msikivu so next year anaweza kulifanyia kazi.
Lengo ni sisi maskini tujikwamuee tuwe wa kibiasharaMaskini unafuata mini kwenye maonyesho ya biashara si tukae nyumbani kwako
Upigaji haujaanza leo wala janaWewe tozo huzioni? Hadi nywele bandia na kodi ya kichwa, Mguu wa Chumba anaziandaa, soon zinaingizwa kwenye chaneli mtaani.
Upofu wa serikali huuoni? Upigaji wa kasi ya 10G hujauona? Miradi? Safari kibao za Uarabuni na Marekani kwenye Royo Tuwa? Wamaasai Serengeti & Loliondo? Machinga? Hivi soko la Kariakoo liko sehemu gani vile?
Halafu, mmekopa trilioni ngapi hadi sasa? Vipi kuhusu usimamizi wa mali za umma na udhibiti wa matumizi ya rasimali na fedha?

Kuna tofauti KUBWA SANA kati ya kujinasibu kisha kudiriki dhahiri shahiri kupambana dhidi ya upigaji, na kuwahamasisha ^war-who-knee^ wale kadiri ya urefu wa kamba zao. Huu ni ushamba wa kiwango cha Iskander.Upigaji haujaanza leo wala jana
Kuwepo toka Enzi sio sababu, hiki ni kizazi cha kudadisi mambo.Nyie mnaolalamika mmekuja Dar na malori ya magimbi..? Huo utaratibu upo tangu enzi na enzi. Sabasaba77 ni International Business Exhibition msifikiri ni maonyesho ya Siku ya Gulio Katerero au Kishumundu...
Umeachwa na mumeo nini?.Maonesho ya biashara sio kwa ajili ya malofa na watu maskini uelewe hilo.
Kiingilio kinasaidia kupunguza maskini kujazana kwenye maonyesho ya biashara.
Unaweka hadi kingereza ohh next year wakati lofa hela huna Elfu Tatu tu ya kiingilio unaona nyingi.
Acheni masihara kila mtu anawajua wabongo walivyo wakifuta kiingilio Mbagala na Temeke yote itahamia pale kutakuwa hamna pa kukanyaga masela mavi na vibaka watajazana vya kutosha.. Bora kiingilio kibaki.
Nitajie international business exhibition ambayo kuingia ni free..?Kuwepo toka Enzi sio sababu, hiki ni kizazi cha kudadisi mambo.
Tatizo maonyesho ya biashara wanadhani ni tourist attraction!!! Kwenda kuzurura kama out yaoNitajie international business exhibition ambayo kuingia ni free..?
Nyie wabongo punguzeni primitive mind, dunia haipo huko tena...
Unajua maana ya show?Sio kweli na wala si kwa kiasi hicho .
Mbona kariakoo si kiasi hicho ?
Mbona Mlimani City na Malls nyingine kubwa si kiasi hicho pamoja na kwamba watu wanaingia bure ?
Do not presume responsibilities.
Sabasaba huwa iko dar tuHela ni nyingi hiyo na usawa huu sio poa. Hivi ni kwa mikoa yote au hiyo entrance fee ipo mkoa uliopo?
Acha uongo kila mwaka Syria wanakuwa na trade show diamond jubilee ni bure kabisaUnajua maana ya show?
Mlimani City huwa wanaonyesha trade show?
Show ukiona hata za wana mziki huwa unalipia sembuse International trade show
Ukiona kuna mahali unaambiwa kuna show iwe music show,taarabbu show nk kaa nayo mbali kama wewe lofa jua kiingilio kipo.Sio bure