Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
3000 kwa mtu mmojaKwani wanatoza sh ngapi?
Ni uhuni wa miaka mingi. Wanapata pesa nyingi kutoka kwa wenye mabanda na wanaofanyabiashara mule ndani.Huu utaratibu mbona upo miaka nenda! Saba saba na Nane nane, miaka yote huwa na kiingilio.
Kumbuka kuna kuna maandalizi ya hayo maonesho. Gharama za kufidia zitatoka wapi iwapo tutaingia bure?
Si ndiyo wanaweka na sehemu nyingine. Labda kiwilaya nkWakifanya bure kutakuwa na mafuriko ya watu ambapo kiusalama sio sawa kabisa. Wako sahihi kutoza pesa.
Mbona zamani nanenane tuliingia bure na hakukuwa na uhuni wowote! Kama watu wengi wafanye kila wilaya.Nadhani tukiachana na mapato basi ile fee ni njia ya kudhibiti idadi ya watu wanaoingia ndani sehemu hizo.
Sehemu kama Dsm ikiwa free kule ndani pangejaa mateja hata kukabwa tungekabwa
Cha bure ni hewa tu unayovuta vingine vinahitaji gharamaKwanini wakulima na wafanyabiashara watozwe pesa kuingia kuangalia mambo siku ya sikukuu zao? Mbona wafanyakazi hawatozwi pesa kuingia viwanjani siku ya mei mosi?
Waandaaji watafute namna ya kupata pesa lakini siyo kuchaji wakulima na wafanyabiashara. Ni utapeli.
Nilihudhuria Dubai Expro sikuona mtu akinidai kiingilio siku tatu mfululizo. Wanachohitaji ni kujisajili.Nyie mnaolalamika mmekuja Dar na malori ya magimbi..? Huo utaratibu upo tangu enzi na enzi. Sabasaba77 ni International Business Exhibition msifikiri ni maonyesho ya Siku ya Gulio katerero au kishumundu...
Badili mtazamo, kitu kuwepo tangu kitambo hakiwezi kuwa kigezo cha kuthibitisha uhalali wake. Mabadiliko hayana budi kuja ikiwa ni ya muhimu. -Wanaorusha matangazo ya 77 kwenye tv na redio wanalipia sh ngapi?Nyie mnaolalamika mmekuja Dar na malori ya magimbi..? Huo utaratibu upo tangu enzi na enzi. Sabasaba77 ni International Business Exhibition msifikiri ni maonyesho ya Siku ya Gulio katerero au kishumundu...
Pia kama kuna watu kutoka mataifa ya nje basi wawekewe utaratibu wao mbona kitu simple tu hii nchi kila sehemu ukigusa utasikia hii haiwezekan kuwa kipo tangu Nyerere huwa najiuliza sana dunia inaenda kasi kuna maeneo lazima twende sawa na duniaBadili mtazamo, kitu kuwepo tangu kitambo hakiwezi kuwa kigezo cha kuthibitisha uhalali wake. Mabadiliko hayana budi kuja ikiwa ni ya muhimu. -Wanaorusha matangazo ya 77 kwenye tv na redio wanalipia sh ngapi?
- wafanyabiashara wanaongesha biashara zao na ubunifu wao wanalipaje?
Wangeweza hata kuificha hiyo tozo kwenye bei ya kila bidhaa mtu anayonunua ili kuzuia wafanyabiashara wasitumie maonyesho kama sehemu ya kuuza hivyo kushika nafas kubwa ya kuweka bidhaa nyingi za aina moja hadi sehemu za kupita zinakuwa finyu, pale tuonyeshwe tu tukanunue huko kwao madukani
Uliingia kwa ticket ya "Standard" ambayo inakua limited na muda. Maonyesho ya Dubai yanaenda miezi zaid ya 3-6 ili kuruhusu watu kutoka mataifa mbalimbali kufika... Halafu ukumbuke ulienda kama mtalii/mgeni nchini Dubai, kwahio tayari kuna indirect fees wamekuchaji...Nilihudhuria Dubai Expro sikuona mtu akinidai kiingilio siku tatu mfululizo. Wanachohitaji ni kujisajili.
Halafu nikuulize, kwenye mikutano ya siasa mbona hamdai viingilio? Siku ya kuvunja matofali na kuonyesha silaha za kivita mbona hamdai viingilio?
Nitajie nchi yenye International Business Exhibition na kiingilio ni miguu yako?Pia kama kuna watu kutoka mataifa ya nje basi wawekewe utaratibu wao mbona kitu simple tu hii nchi kila sehemu ukigusa utasikia hii haiwezekan kuwa kipo tangu Nyerere huwa najiuliza sana dunia inaenda kasi kuna maeneo lazima twende sawa na dunia
Sasa kama ni hivyo ndio kufanyike changes kama hivyo au kulingana na mahitaj yetu kama nchiUliingia kwa ticket ya "Standard" ambayo inakua limited na muda. Maonyesho ya Dubai yanaenda miezi zaid ya 3-6 ili kuruhusu watu kutoka mataifa mbalimbali kufika... Halafu ukumbuke ulienda kama mtalii/mgeni nchini Dubai, kwahio tayari kuna indirect fees wamekuchaji...
Hakuna maonyesho ya bure duniani lazima charges ziwepo
Wabongo mnataka turudi enzi za ujima... Duniani kote hakuna Free entry ktk maonyesho ya kimataifa...Badili mtazamo, kitu kuwepo tangu kitambo hakiwezi kuwa kigezo cha kuthibitisha uhalali wake. Mabadiliko hayana budi kuja ikiwa ni ya muhimu. -Wanaorusha matangazo ya 77 kwenye tv na redio wanalipia sh ngapi?
- wafanyabiashara wanaongesha biashara zao na ubunifu wao wanalipaje?
Wangeweza hata kuificha hiyo tozo kwenye bei ya kila bidhaa mtu anayonunua ili kuzuia wafanyabiashara wasitumie maonyesho kama sehemu ya kuuza hivyo kushika nafas kubwa ya kuweka bidhaa nyingi za aina moja hadi sehemu za kupita zinakuwa finyu, pale tuonyeshwe tu tukanunue huko kwao madukani
Hata hewa yenyewe Mrusi anaelekea kuimalizia kwenye mitungi ya Iskander. Soon kila mtu atatembea na birika lake la gesi ya Oksijeni mgongoni, baada ya kulipia bili yake pale TRA Magogoni π π πCha bure ni hewa tu unayovuta vingine vinahitaji gharama
Ntakujibu tarehe kama ya leo, 2026. Hapo ndipo utanielewa nisemacho.Fala
Wewe tozo huzioni? Hadi nywele bandia na kodi ya kichwa, Mguu wa Chumba anaziandaa, soon zinaingizwa kwenye chaneli mtaani.Saba saba ipi watu walikuwa wanaingia bure .....
Ova
Gharama za maonyesho zinalipwa na waonyeshaji tatizo ni matumizi wizi mtupuHuu utaratibu mbona upo miaka nenda! Saba saba na Nane nane, miaka yote huwa na kiingilio.
Kumbuka kuna kuna maandalizi ya hayo maonesho. Gharama za kufidia zitatoka wapi iwapo tutaingia bure?