Kutuma nauli siyo tiketi ya kufanya siku hiyo hiyo

Kama hakukula huyo jamaa nae ni wale wale,ingekuwa Mimi ni huyo jamaa sahizi niko mwepesiiiii.
 
KKi
Kwa namna hii maisha lazma yawe magumu
Kivipi?? Tatizo cyo kupata mbususu tatizo ni quality,
Ikijiweka quality utaipata quality na sometimes siled,bcoz u will looking gentle,na humble
#Nakupa hiyo,cyo unazipata za mwajuma ndalandefu
 
KKi

Kivipi?? Tatizo cyo kupata mbususu tatizo ni quality,
Ikijiweka quality utaipata quality na sometimes siled,bcoz u will looking gentle,na humble
#Nakupa hiyo,cyo unazipata za mwajuma ndalandefu
Mbususu n mbususu tu mkuu. Yan kipndi nasoma niliwahi kwenda fanya utafiti usio rasmi kwenye madanguro. Nlichotoka nacho ni wanajiuza na tulio nao mtaa ni wale walee issue ni umekutana nae wapi.
Wote wanafanana.
Ukibishia hili tembelea kote wanakojiuza ulete mrejesho hapa
pisi kali anajiuza na mwajuma ndalale nae anajiuza ila wote malaya tu
 
Tukutane hata mara 10 hivi ana kwa ana, halafu tuwe tunapiga stories muda usiopungua saa 3,hapo nakuzoea na hata ukihitaji sasa nakupa bila tatizo
Duh nyie ndio mkifika 30 mnaanza kumsumbua Mwamposa
 
Khaa
 
Ulichofanya siyo sawa, kama ulikuwa humtaki basi hizo pesa zake za vocha usingekuwa unazitumia, ungemrudisha mwenyewe hata kama alikupa kwa hiari yake ujaomba. Lakini kitendo cha kufika mpaka lodge sidhani kama mlipanga kumeet na kupiga story tu dear. Na kama ulitaka story tu bila sex, basi ungemweleza kabla ya kumeet ,kuwa nahitaji tukutane sehemu open, tuzungumze kwanza kwa Leo. Hivyo yeye mwenyewe angechuja kama akubali atume nauli uende au lah!!. Otherwise basi humpendi na ndiyo maana ukakataa kwenda naye step nyengine. Mimi huwa kama sihitaji ku do huwa ninasema kabisa kabla ya kupanga mipango ya kumeet sehemu Fulani, iwe open kabisa, sasa yeye achuje akubali au lah iharishwe. Mambo ya kuzungushana yamepitwa na wakati dear.
 
Umenikosha sana kama hutojari ni pm
 
Kuna mshikaji wangu jana alimpiga romance girl mpya,mara pah akashangaa anakutana na kitu kigumu kutoa demu kumbe kaka maragwe,sasa ndo shid ya kuokoteza,maintain your status utapata quality,
Na siled zitakuja achana na hz za kununua namaanisha quality ambazo hazina hizo mambo zipo kwa ajir ya refreshment au maisha
 
Ulienda hadi kwake kufanya nini sasa?
Sema hujamwelewa mwamba.

Na umekutana na mtu mzembe kidogo.
 
Tukutane hata mara 10 hivi ana kwa ana, halafu tuwe tunapiga stories muda usiopungua saa 3,hapo nakuzoea na hata ukihitaji sasa nakupa bila tatizo
Na huo muda anakuwa anatafuta Hela?we toa mzigo mwache jamaa aendelee kuzisakaa....achez kudanganywa na hizo movie za kiphilipnes
 
Hivi vitoto vya 20s haviwez kuelewa TY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…