Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

Right on the money
 
Haya ndo tunaita mawazo huru, mawazo chanya yasiyofungamana na upande wowote ule.
Huu uzi umetulia sana,kuna hoja nzito zinatolewa na wengine tunajiongezea maarifa.
 
Timu USA imejaza humu inaongea nonsense
Na huku umeanza kupanic tena,tulia kwenye huu uzi shusha nondo tukusome,hizi lugha zipeleke kwa ule uzi wa LIVE,maana mmeshauharibu hadi tunakwenda nao kimzaha mzaha tu
 
Na huku umeanza kupanic tena,tulia kwenye huu uzi shusha nondo tukusome,hizi lugha zipeleke kwa ule uzi wa LIVE,maana mmeshauharibu hadi tunakwenda nao kimzaha mzaha tu
Sawa ila sijapanic[emoji23][emoji23]
 
Nyie team USA ningependa muangalie hii video kilichomtokea waziri mkuu wa Canada[emoji23][emoji23][emoji23]
Your browser is not able to display this video.
 

unatumia Syria kama uti wa mgogo wa hoja yako uku ukiacha mifano mingi na kikubwa.

US hajapoteza kitu Syria as hadi sasa yupo kwenye visima vya mafuta.

uko Afghanistan, Taleban walikuwa wakipata misaada ya vifaa vya kijeshi kutoka nchi za kiarabu Pakistan na Urusi(indirectly) kuipiga US.
anapopigana US ujue mrusi yupo direct ama indirectly.
Wakati (SOVIET) aliposimama nyuma ya nchi kadhaa za kiarabu US alimama nyuma ya nchi moja tu changa na jeshi dogo zaidi ila bado URUSI akapoteza na silaha zake.

Nb, hoja yangu ni kwamba:, ikiwa misaada ya west tu inaweza yumbisha nguvu ya jeshi la Urus , vipi west wenyewe waingie vitani na Urusi kuna hali gani itatokea?.
vifaa jeshi inayopewa Ukraine ni sehemu ndogo sana katika muungano wa west na sasa Urusi katepeta lakini bado mnataka tuamini kwamba Urusi ina uwezo wa kupiga nchi zote za Nato.
 
USA Hana visima vya mafuta Syria
 
Russia kama wangewaua marines 5 tu picha zao wangepeleka mpaka Umoja wa Mataifa. Mwezi unaisha sasa ngoma bado.
Ni kweli wapo na ndio hao wanauliwa alafu CNN wanasingizia kwamba ni waandishi wa habari wanauwawa kumbe ni Makomandoo wa USA
 
Hivi ni Urusi wanapigana Ukraine ama Russia na Ukraine?
Ahaaa. Yaani Russia walivamia jiran yao Ukrain. Lakini sasa inaonekana Russia nae ndio anaomba mazungumzo ya ukweli vita iishe.
Inaelejea Ukrain anampiga Russia sasa. Urusi ni Kiswahili.
Ila mkubwa hajambi, Pole putin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…