Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
The Six Days Waryom kippur war mlichukua muda gani pale mashariki ya kati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Six Days Waryom kippur war mlichukua muda gani pale mashariki ya kati
🤣🤣🤣 Urusi wamechokaaa....Wakikusikia watoto wa Putin watakushukia kama mwewe😀
Right on the moneykusaidiwa tu si tiket ya kushinda, Afghanistan walisaidiwa mafunzo, silaha zote za kijeshi na kifedha ila Taleban walikuja kwa miguu tu na A.K.A 47 serikali ikakimbia wakaacha vyote walivyosaidiwa na kufundishwa kwa miaka 20.
hiyo inatoa picha kwamba UTAMBULISHO wao tu TALEBAN kama Taleban ni ilikuwa ni kitisho tosha kwa serikali iliyoachwa na marekani.
picha hii tuliyoiona kwa Afghanistan ndiyo tulipaswa kuiona kwa Ukraine baada ya urusi kuivamia Ukraine.
hata yeye putin alitegemea kuona Ukraine ikisalimu Amri japo watakuwa na uhakika wa misaada toka west.
Urusi ni dhaifu na chochote kinachotoka mikono mwake ni dhaifu pia.
hata silaha zake zote alizokuwa anazipatia nchi kiarabu kuipigana na Israel hazikufanikiwa kwasababu ni dhaifu.
furthermore ukisema ni misaada ndiyo inaibeba ukrein basi inabidi ukubali kwamba west ina nguvu kuliko Urusi. ikiwa mpewa misaada tu anaiyumbisha Urusi namna hii vipi wao wenyewe waingia mazima, Urusi itasimama?.
Huu uzi umetulia sana,kuna hoja nzito zinatolewa na wengine tunajiongezea maarifa.Haya ndo tunaita mawazo huru, mawazo chanya yasiyofungamana na upande wowote ule.
Bila shaka ni T14 ArmataKuna mwanajf mmoja hapa aliwahi zungumza kuwa product nyingi za Russia sio bora kuliko za Ulaya. Nikisoma hapa na maelezo yako ndo nazid kuamin.
Na huku umeanza kupanic tena,tulia kwenye huu uzi shusha nondo tukusome,hizi lugha zipeleke kwa ule uzi wa LIVE,maana mmeshauharibu hadi tunakwenda nao kimzaha mzaha tuTimu USA imejaza humu inaongea nonsense
Sawa ila sijapanic[emoji23][emoji23]Na huku umeanza kupanic tena,tulia kwenye huu uzi shusha nondo tukusome,hizi lugha zipeleke kwa ule uzi wa LIVE,maana mmeshauharibu hadi tunakwenda nao kimzaha mzaha tu
Kuna jambo hulijui au unapotezea makusudi kama hulijui.
Kule Afghanistan Urusi alikuwa anapambana na majeshi/wanamgambo waliokuwa wanapewa msaada na wamarekani wa silaha, fedha na mafunzo.
Vivyo hivyo huko Ukraine wanasaidiwa na Marekani pamoja na wanachama wengine wa NATO silaha, pesa, mamluki na taarifa za intelijensia.
Lakini Marekani alipopigana Iraq, Afghanistan na kwingine kulikuwa hakuna nchi zilizo wasaidia hao adui waliokuwa wanapigana na Marekani. Wakati huo huo Marekani alikuwa anasaidiwa na nchi nyingi za NATO na zisizokuwa wanachama wa NATO.
Usahihi wa hoja yangu unapatikana Syria ambako Marekani na washirika wake wameshindwa kumuondoa Assad sababu alipewa msaada wa kijeshi na mengineyo toka kwa Urusi.
Wewe ni muhanga wa propaganda za western media.
USA Hana visima vya mafuta Syriaunatumia Syria kama uti wa mgogo wa hoja yako uku ukiacha mifano mingi na kikubwa.
US hajapoteza kitu Syria as hadi sasa yupo kwenye visima vya mafuta.
uko Afghanistan, Taleban walikuwa wakipata misaada ya vifaa vya kijeshi kutoka nchi za kiarabu Pakistan na Urusi(indirectly) kuipiga US.
anapopigana US ujue mrusi yupo direct ama indirectly.
Wakati (SOVIET) aliposimama nyuma ya nchi kadhaa za kiarabu US alimama nyuma ya nchi moja tu changa na jeshi dogo zaidi ila bado URUSI akapoteza na silaha zake.
Nb, hoja yangu ni kwamba:, ikiwa misaada ya west tu inaweza yumbisha nguvu ya jeshi la Urus , vipi west wenyewe waingie vitani na Urusi kuna hali gani itatokea?.
vifaa jeshi inayopewa Ukraine ni sehemu ndogo sana katika muungano wa west na sasa Urusi katepeta lakini bado mnataka tuamini kwamba Urusi ina uwezo wa kupiga nchi zote za Nato.
Hujanielewa mheshimiwa. Hebu pitia comment yangu upya.Kwani Ukraine kushare mpaka na Nato wamepata madhara gani? Lakini Ukraine anajuta kushare mpaka na Russia
Wewe uwa ni mkurupukaji.USA Hana visima vya mafuta Syria
Ni kweli wapo na ndio hao wanauliwa alafu CNN wanasingizia kwamba ni waandishi wa habari wanauwawa kumbe ni Makomandoo wa USA
Ahaaa. Yaani Russia walivamia jiran yao Ukrain. Lakini sasa inaonekana Russia nae ndio anaomba mazungumzo ya ukweli vita iishe.Hivi ni Urusi wanapigana Ukraine ama Russia na Ukraine?
Una uhakika au tunabisha na mtoto wa form 2 humu?USA Hana visima vya mafuta Syria
Acheni kuongea vitu ambavyo siyo kweli makampuni ya nchi za magaharibi hazipo Syria walishaondoka.Una uhakika au tunabisha na mtoto wa form 2 humu?
Acheni kupotosha watu.muwe mnatoa taarifa za kweli hakuna kampuni za nchi za magharibi.kampuni ya France imeshasepa huko kutokana na sunction.Wewe uwa ni mkurupukaji.
mchana mwema.